CHADEMA washtukia mchezo mchafu unaofanywa na CCM!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
SIRI IMEFICHUKA BAADA YA CHADEMA KUSHTUKIA MCHEZO MCHAFU UNAOENDESHWA NA CCM KWA KUWAHONGA MAKADA WA CHADEMA ILI WAJIUZURU KWA MARENGO YA KUSHINIKIZA KURUDISHWA KWA ZITTO KATIKA NYAZIFA ZAKE!!;

Barua za matamko ya waliokuwa wanachama wa chadema wanaojiuzuru zimeandikwa na mtu mmoja, katika barua hizo mambo yote yanashabihiana,

1-Wote wanapinga maamuzi ya kamati kuu ya Chadema,

2-Wote wanamzungumzia mtu mmoja Mh Zitto,

3-Wote wametumia font moja,

4-Wote wamekosea herufi za mwisho badala ya kuandika kujiuzuru wao wameandika kujiudhuru,

5-Wote baada ya kujiuzuru uongozi wamesisitiza kubaki wanachama,

je Barua hizi ni kwanini zinafanana sana??

je ziliandikwa na mtu mmoja na wao wakapewa wasome tu??

je nikwanini hawakuwahi kunun'gunika kabla au kulalamika??

Interenjensia ya Chadema ipo makini kabisa na soon wanaoratibu jambo hilo watakuwa hadharani,

WE SHALL OVERCOME.
 
Hizo ni sarakasi za mwisho mwisho za masalia...wanadhani wataokoka kwa propaganda hizo...vipi siku 14 bado tu?
 
SIRI IMEFICHUKA BAADA YA CHADEMA KUSHTUKIA MCHEZO MCHAFU UNAOENDESHWA NA CCM KWA KUWAHONGA MAKADA WA CHADEMA ILI WAJIUZURU KWA MARENGO YA KUSHINIKIZA KURUDISHWA KWA ZITTO KATIKA NYAZIFA ZAKE!!;

Barua za matamko ya waliokuwa wanachama wa chadema wanaojiuzuru zimeandikwa na mtu mmoja, katika barua hizo mambo yote yanashabihiana,
1-Wote wanapinga maamuzi ya kamati kuu ya Chadema,

2-Wote wanamzungumzia mtu mmoja Mh Zitto,

3-Wote wametumia font moja,

4-Wote wamekosea herufi za mwisho badala ya kuandika kujiuzuru wao wameandika kujiudhuru,

5-Wote baada ya kujiuzuru uongozi wamesisitiza kubaki wanachama,

je Barua hizi ni kwanini zinafanana sana??

je ziliandikwa na mtu mmoja na wao wakapewa wasome tu??

je nikwanini hawakuwahi kunun'gunika kabla au kulalamika??

Interenjensia ya Chadema ipo makini kabisa na soon wanaoratibu jambo hilo watakuwa hadharani,

WE SHALL OVERCOME.
Sijui unachokisema hapa kama ni sahihi inabidi chama kiangalia sana kwa makini maana tulikuwa tunategemea 2015 kuingia ikulu lakini kama ni mwenendo huu IIKULU kwa chadema itaka historia.
 
Hawa masalia hawana bahati hata kidogo na kama wanataka na wajiuzulu tu hatuoni tija ya kuwepo na wanafiki ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo.

Intelejensia ya CDM tunaikubali na tuko nao bega kwa bega mwanzo mwisho.

WANAFIKI HAWANA BAHATI NG'O!
 
Mpo kwaajili ya Mwenyekiti ili muendelee kunufaisha matumbo yenu... kweli kwenu maisha bila unafiki hayaendi.
 
Nyinyi ni watunzi hodari wa uongo wa kitoto... msiwafanye watanzania wajinga.
 
SIRI IMEFICHUKA BAADA YA CHADEMA KUSHTUKIA MCHEZO MCHAFU UNAOENDESHWA NA CCM KWA KUWAHONGA MAKADA WA CHADEMA ILI WAJIUZURU KWA MARENGO YA KUSHINIKIZA KURUDISHWA KWA ZITTO KATIKA NYAZIFA ZAKE!!;

Barua za matamko ya waliokuwa wanachama wa chadema wanaojiuzuru zimeandikwa na mtu mmoja, katika barua hizo mambo yote yanashabihiana,

1-Wote wanapinga maamuzi ya kamati kuu ya Chadema,

2-Wote wanamzungumzia mtu mmoja Mh Zitto,

3-Wote wametumia font moja,

4-Wote wamekosea herufi za mwisho badala ya kuandika kujiuzuru wao wameandika kujiudhuru,

5-Wote baada ya kujiuzuru uongozi wamesisitiza kubaki wanachama,

je Barua hizi ni kwanini zinafanana sana??

je ziliandikwa na mtu mmoja na wao wakapewa wasome tu??

je nikwanini hawakuwahi kunun'gunika kabla au kulalamika??

Interenjensia ya Chadema ipo makini kabisa na soon wanaoratibu jambo hilo watakuwa hadharani,

WE SHALL OVERCOME.

Na anayeratibu uongo wa kitoto kuwachafua wanachama wengine?? Mnachochea kuni mbichi jisafisheni... Mnadhalilisha chama chenu.
 
Kosa walilofanya sekeritariati ya cdm tangia mwanzo ni kujua juu ya huu usaliti na wakachukua hatua lakini wakasahau kukiondoa chanzo kikuu. Hatuwezi kuwalaumu sana kwa maana waliamini busara ingesaidia kumaliza hili jambo na kupelekea kufanya maamuzi magumu wakiwa wamechelewa kwa kiasi fulani. Kosa kubwa zaidi litakuwa ni kurudi nyuma.
 
MSIMAMO WA CHADEMA MKOA WA SINGIDA

(i)Tunalaani, kuipinga na kuikemea kamati kuu ya chama dhidi ya maamuzi yao haya ya kipuuzi yaliyojaa chuki, hofu na wasiwasi mwingi kuelekea uchaguzi mkuu wa ndani ya chama

(ii)Tunamtaka mwenyekiti na katibu mkuu waitishe mara moja mkutano wa baraza kuu la chama kutolea maamuzi suala hilo.

(iii)Tunamtaka katibu mkuu awazuie wakurugenzi na maafisa wake aliowatuma kusambaa mikoani kusambaza waraka wa siri unaowachafua zitto na kitila na kwamba kufanya hivyo ni kujidharirisha wao wenyewe.

(iv)
Tunampa onyo kali katibu mkuu Dkt. Slaa kuwa asithubutu kukanyaga SINGIDA ikiwa bado hajayafanyia kazi maelekezo yetiu hapo juu, kuzunguka kwake mikoani baada ya kumvua vyeo zitto ni kwenda kuthibitisha kuwa amefanya makusudi mpango wake huo.

(v)Tunapenda wanachadema na watanzania watambue kuwa
Hatuna Imani na Mwenyekiti wa Taifa wa chama, Katibu Mkuu wa Chama, Kamati kuu kwa ujumla na tunamuagiza mbowe aivunje mara moja kisha nay eye ajiudhuru.

MWISHO, Kutokutii maamizio yetu haya ni kusababisha mgogoro usiokuwa na kikomo ndani ya chama hiki,Singida tunasema kuwa ''
kamati kuu inaweza kumvua zitto kabwe uongozi, inaweza kumuondolea heshima yake ndani ya jamii, inaweza pia kumsingizia kila aina ya uwongo itakavyo, lakini kamwe kamati kuu haiwezi KUZUIA MPASUKO NDANI YA CHADEMA.''
 
Wameshakaa vikao vyao vya kuja humu kuwahadaa watanzania... Mnapinga mikakati ya wenzenu kipindi ambacho na nyie mna mikakati yenu.
 
Back
Top Bottom