CHADEMA wasafirisha miili ya marehemu kwa maziko. Familia yaikataa serikali

Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,975
9,566
Wana Jf,

Kama mtakumbuka waziri mkuu juzi alitoa kauli ya serikali kuwa itagharamikia mazishi ya waliofariki katika milipuko ya mabomu na risasi Arusha.

Taarifa iliyothibitishwa ni kwamba Ndugu wa Marehemu wote wawili wamekataa serikali kujihusisha na mazishi ya ndugu zao.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti ndugu hao wamesikitishwa na kitendo cha kushawishiwa kuwakataa CHADEMA, wamesema wao wapo na CHADEMA kwa kuwa wao pia ni wafiwa katika tukio ambalo lilitokea kwenye mkutano wao.

Leo hii miili ya marehemu wote zimesafirishwa kwenda makwao Tanga na Tabora, ambapo Mbunge Rose Kamili ndiye aliyeshughulikia taratibu zote ikiwa pamoja na kulipia gharama za usafiri, chakula na malazi kwa wote waliosafirisha miili ya ndugu zetu waliotangulia mbele ya haki.

Coster zote zimeondoka mapema leo kuelekea kwenye maziko.
 
Wana Jf,

Kama mtakumbuka waziri mkuu juzi alitoa kauli ya serikali kuwa itagharamikia mazishi ya waliofariki katika milipuko ya mabomu na risasi Arusha.

Taarifa iliyothibitishwa ni kwamba Ndugu wa Marehemu wote wawili wamekataa serikali kujihusisha na mazishi ya ndugu zao.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti ndugu hao wamesikitishwa na kitendo cha kushawishiwa kuwakataa chadema, wamesema wao wapo na chadema kwa kuwa wao pia ni wafiwa katika tukio ambalo lilitokea kwenye mkutano wao.

mods tunaomba msiunganishe hii thread ya Mungi na ya waziri mkuu ,hazijafanana na zaidi siyo rahisi kuiona kwani hiyo ya waziri mkuu ipo toka jana.
 
Last edited by a moderator:
Wana Jf,

Kama mtakumbuka waziri mkuu juzi alitoa kauli ya serikali kuwa itagharamikia mazishi ya waliofariki katika milipuko ya mabomu na risasi Arusha.

Taarifa iliyothibitishwa ni kwamba Ndugu wa Marehemu wote wawili wamekataa serikali kujihusisha na mazishi ya ndugu zao.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti ndugu hao wamesikitishwa na kitendo cha kushawishiwa kuwakataa chadema, wamesema wao wapo na chadema kwa kuwa wao pia ni wafiwa katika tukio ambalo lilitokea kwenye mkutano wao.

Leo hii miili ya marehemu wote zimesafirishwa kwenda makwao Tanga na Tabora, ambapo Mbunge Rose Kamili ndiye aliyeshughulikia taratibu zote ikiwa pamoja na kulipia gharama za usafiri, chakula na malazi kwa wote waliosafirisha miili ya ndugu zetu waliotangulia mbele ya haki.

Coster zote zimeondoka mapema leo kuelekea kwenye maziko.

kwa kumkabidhi hiyo shughuli Rose kamili chadema walicheza kama pele , huyo mama hizo shughuli za kijamii especial misiba kwa tunaomfahamu hizo shughuli anazimudu kwani huwa anajitolea kwa hali na mali.
 
Tunawaombea Mungu awape faraja zake wale wote wanaoguswa na misiba hii na kuwaongezea imani. Vilevile tunawaombea wasafiri salama na kuwapumzisha ndugu zetu kwa amani. Mungu azilaze roho za marehemu hawa pema peponi, amina.
 
very goood decision chadema never make a mistake to them ccm to this events .people are badly angry with them ....shout..............shame shame on ccm
 
Daaah, afadhali ndugu zetu waende wakapumzike kwa amani maana haya maCCM yalitaka kuzishambulia hadi maiti hiyo jana. Ahadi yangu kwa hao marehemu ni kuwa nitajitoa kwa hali na mali katika kuifuta CCM hapo 2015 kupitia sanduku la kura na baada ya hapo muuaji wao Bw Mwigulu Nchemba atakamatwa na serikali ya CHADEMA na kuhukumiwa kunyongwa.
 
Wana Jf,

Kama mtakumbuka waziri mkuu juzi alitoa kauli ya serikali kuwa itagharamikia mazishi ya waliofariki katika milipuko ya mabomu na risasi Arusha.

Taarifa iliyothibitishwa ni kwamba Ndugu wa Marehemu wote wawili wamekataa serikali kujihusisha na mazishi ya ndugu zao.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti ndugu hao wamesikitishwa na kitendo cha kushawishiwa kuwakataa chadema, wamesema wao wapo na chadema kwa kuwa wao pia ni wafiwa katika tukio ambalo lilitokea kwenye mkutano wao.

Leo hii miili ya marehemu wote zimesafirishwa kwenda makwao Tanga na Tabora, ambapo Mbunge Rose Kamili ndiye aliyeshughulikia taratibu zote ikiwa pamoja na kulipia gharama za usafiri, chakula na malazi kwa wote waliosafirisha miili ya ndugu zetu waliotangulia mbele ya haki.

Coster zote zimeondoka mapema leo kuelekea kwenye maziko.

Mungu awalaze marehemu wote mahala pema peponi, amina
 
SDC18116.JPG

CCM maarufu kwa kushikana mabega!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom