CHADEMA wapinga muswada wa mchakato wa katiba mpya

Ni kweli tunatakiwa tupate katiba ya kisasa tusikubali kupelekwapelekwa,naunga mkono hoja ya dkt
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Hivi hatuwezi kujiunga wana jf naamin wako kila kona tumtoe kikwete magogoni maana hii hela inavyoshuka thamani ni balaa

1.Kila mwanajf akipata watu 50 tukutane jangawani
2.Kukae pale huku tunapanga mikakati ya kwenda magogoni
3.Tujiandae na mavyakula na ela za kutosha

Tukimchekea kikwete tutaenda dukani na ela kwenye kapu
 
Lazima tuwe midomo na sauti za mamilioni ya watanzania wasio na elimu wala ufahamu wa maana ya katiba na jinsi inavyogusa maisha yao ya kila siku. Hongera Dr. Slaa kwa kuwa kiongozi kwa vitendo, tuko nyuma yako. God bless Tanzania.
 
nafikiri jamaa wa gamba wanahamu na Bengazi. sisi hatuitaji NATO tutamaliza mchezo wenye
 
Hv hatuwezi kujiunga wana jf naamin wako kila kona tumtoe kikwete magogon'maana hii ile inavyoshuka thamani ni balaa
1.kila mwanajf akipata watu 50 tukutane jangawani
2.tukae pale huku tunapanga mikakati ya kwenda magogoni
3.tujiandae na mavyakula na ela za kutosha
tukimchekea kikwete tutaenda dukani na ela kwenye kapu

Niko Tayari
 
kura wachakachue, EPA wale wao, mafisadi wawalinde wao na katiba pia watuundie. No way out we should act. kwa gharama yeyote ile
 
Zambia serikali ilichakachua kama wanavyotaka kufanya hapa' ikafikia hatua katiba ikasema mshindi wa urais si lazima afikie 50% wembe huo huo Sata amewakatia waliousuport na yupo Ikulu!
 
Nimejisikia kuogopa sana kwa mchezo ambao Serikali inaufanya kuhusu Katiba. Kwa mchezo huu ni wazi kuwa Serikali haijiamini, Rais haijiamini, na CCM ni vivyo. Hivi likitibuka Watawala watafanya nini? Ni wazi watatumia nguvu nyingi sana za dola kupambana na umma na gharama yake wataenda kuilipa The Hague.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Kwanza nieleze kuna mambo mengi ambayo CUF na Chadema wanakubaliana, mojawapo ni uundwaji wa serikali ya Tanganyika na tume huru ya uchaguzi. Ukisoma mswada ulioletwa, bila CUF na Chadema kukubali hakuna katiba mpya.

Ili katiba ipite, lazima 2/3 ya wazanzibari wapitishe kwenye bunge la katiba na 50% wapitishe kwenye referundam. Bila CUF, CCM haiwezi kupata kura hizo. Pili, huku bara pia CCM hawataweza kupata idadi ya wabunge 2/3 kupitisha katiba. Sasa nashauri ifuatavyo:

(i) CUF kumbukeni mmeteseka sana kutokana na katiba mbovu. Kuwa kwenye serikali ya mseto hakuondoi ukweli kwamba kuna matatizo makubwa ya kikatiba. Ni muhimu kuungana na Chadema kupinga katiba ambayo haitekelezi yafuatayo
(a) kuunda serikali ya tanganyika
(b) Kuunda tume huru ya uchaguzi
(c) kupunguza madaraka ya rais na mengine.

CUF mtakuwa wasaliti kama mtaikubali katiba ambayo haina maslahi kwa nchi kwa vile tu mna ushirika na CCM. Kumbukeni, ushirika wenu na CCM ni wa muda mfupi ila katiba ya nchi na wananchi ni wa kudumu
 
Tatizo ni ndoa yao.Cuf wataambiwa wasipopitisha katiba mpya watapewa talaka.Kama sio ndoa kusingekuwa na tatizo
 
nafikiri jamaa wa gamba wanahamu na Bengazi. sisi hatuitaji NATO tutamaliza mchezo wenye

Duu! Watz na vurugu za mdomoni hamjambo. Mgekua mnajitokeza kweli kwenye kila mkakati mmekalia propaganda za Jf tuu.
 
Hv hatuwezi kujiunga wana jf naamin wako kila kona tumtoe kikwete magogon'maana hii ile inavyoshuka thamani ni balaa
1.kila mwanajf akipata watu 50 tukutane jangawani
2.tukae pale huku tunapanga mikakati ya kwenda magogoni
3.tujiandae na mavyakula na ela za kutosha
tukimchekea kikwete tutaenda dukani na ela kwenye kapu

Mimi nitakuunga mkono iwapo utanipa mrejesho kuwa tutafanikisha nini na kwa kiasi gani? Hoja ya Dr. Slaa ina mkakati, watekelezaji na raslimali. Itaungwa au teyari inaungwa mkono na Watanzania wengi tukiwepo mimi na wewe. Naomba tuiunge mkono hoja hiyo.
 
Hoja ya Dr. Slaa ina mkakati, watekelezaji na raslimali. Itaungwa au teyari inaungwa mkono na Watanzania wengi tukiwepo mimi na wewe. Naomba tuiunge mkono hoja hiyo.[/QUOTE]
Naunga mkono hoja
 
Nimejisikia kuogopa sana kwa mchezo ambao Serikali inaufanya kuhusu Katiba. Kwa mchezo huu ni wazi kuwa Serikali haijiamini, Rais haijiamini, na CCM ni vivyo. Hivi likitibuka Watawala watafanya nini? Ni wazi watatumia nguvu nyingi sana za dola kupambana na umma na gharama yake wataenda kuilipa The Hague.

Asiye sikia la mkuu mguu huota tende....Naona jinsi ndege injini yake inavyoanza kukoroma kabla haijashika moto angani!
 
Back
Top Bottom