CHADEMA waongea na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama

Nilifikiri wanaongelea hali ya maisha ya wananchi yalivyo sasa kuiambia serikali kumbe ni schedule
Kuna mahali hapako sawa
Safari bado ni ndefu...
Hakuna chama kimetoka kusemea wananchi kuhusu ugumu wa maisha swala la mafuta kuja na takwimu kuwafahamisha wananchi tunathamini vikao
Tutafika mwako 2060
Ficha ujinga wako basi..hiyo agenda namba 4 imeandikwa nini?!!
 
Nilifikiri wanaongelea hali ya maisha ya wananchi yalivyo sasa kuiambia serikali kumbe ni schedule
Kuna mahali hapako sawa
Safari bado ni ndefu...
Hakuna chama kimetoka kusemea wananchi kuhusu ugumu wa maisha swala la mafuta kuja na takwimu kuwafahamisha wananchi tunathamini vikao
Tutafika mwako 2060
Si utoke wewe uwasemee au wewe huna mdomo?
 
Nilifikiri wanaongelea hali ya maisha ya wananchi yalivyo sasa kuiambia serikali kumbe ni schedule
Kuna mahali hapako sawa
Safari bado ni ndefu...
Hakuna chama kimetoka kusemea wananchi kuhusu ugumu wa maisha swala la mafuta kuja na takwimu kuwafahamisha wananchi tunathamini vikao
Tutafika mwako 2060
Ahaa wewe si uende chama chako chakavu cha Lumumba, unataka chadema ikusemee nini?!
 
Mapema kabisa MWALLA niko hapa
je ikitokea baraza likatoka na kauli moja ya kuwasamehe COVID 19 kisha ikawataka wajivue ubunge waliopachikwa na yule mgonjwa NDUGAYY warudi wawe wanachama wa kawaida tu yaani waanze upyaaaaa kisha chama kiteue upya wabunge wapya njje ya hawa COVID 19... JE ITAKUA NI MAAMUZI SAHIHI?
 
Kwenye kura mnaipigia CCM lakini majukumu mnataka kuivisha chadema
1652246239646.png
 
Back
Top Bottom