CHADEMA wanataka mikutano ya hadhara wakati wanatangazia dunia nzima kuwa Tanzania kuna CORONA. Hivi wazungu watawaelewa hawa watu?

Hili ni jukwaa la siasa, unawekaje pembeni mahaba ya kisiasa ukiwa ndani ya jukwaa hili?
Kwahiyo wewe ukimuona mtu hotelini anakula unahitimisha anapenda sana kula ndio maana yupo hotelini anakula?
 
CHADEMA Wanataka mikutano ya hadhara wakati wanatangazia dunia nzima kuwa Tanzania kuna CORONA!! Hivi wazungu watawaelewa hawa watu?

Lissu amekuwa akihojiwa na vyombo kibao vya kimataifa akisema Tanzania kuna Corona kweli kweli nyingi ya kutosha ila serikali inaficha taarifa!!! Ulaya sababu ya Corona mikutano ya hadhara ni marufuku

Hata leo hii mazishi ya Prince Phillip wa Uingereza yatakayofanyika kuanzia saa sita na nusu yatahudhuriwa na ndugu wa karibu wa familia ya Kifalme 30 tu

Sasa hata watanzania hivi CHADEMA tuwaelewaje? Mbowe mwenyewe kasema Corona Tanzania iko kibao serikali ilete chanjo yeye keshachanja!!! Halafu hapo hapo wanataka mikutano ya hadhara wanata kuua watu kwa Corona au?
Kwa mujibu wa katiba yetu, kila mtanzania anayo haki ya kukutana na wengine , freedom of assembly. Haki hiyo imekuwa ikifinywa hasa na serikali ya awamu ya tano, ambayo licha ya kuwa serikali ya kibabe na kimabavu kuliko serikali zote zilizotangulia, viongozi wake bado walijawa na hofu kubwa mno.

Pia sheria ya vyama vya siasa inavihakikishia vyama vya upinzani haki ya kufanya mikutano, kuandamana, kuipinga serikali na kutoa mawazo mbadala. Magufuli alidai hawezi kuleta maendeleo wakati vyama vya siasa vikiwa huru kufanya kazi zao kwa mujibu waheKatiba na sheria za nchi. Kwa maneno mengine, Magufuli alikirivkwamba hawezi kuongoza nchi kwa Katiba aliyoapa kuilinda, ila kwa kutumia hisia zake. Hiyo ni zahama kubwa.

Nije kwenye hoja yako. CHADEMA na vyama vingine wanayo haki ya kufanya mikutano yao. Kama wataamua kuahirisha kuitumia kwa sababu zozote, hiyo ni jui yao. Hivyo kudai kwamba eti CHADEMA wanadai kukutana wakati kuna korona, ni kutojua Katiba na Sheria zetu.
 
CHADEMA Wanataka mikutano ya hadhara wakati wanatangazia dunia nzima kuwa Tanzania kuna CORONA!! Hivi wazungu watawaelewa hawa watu?

Lissu amekuwa akihojiwa na vyombo kibao vya kimataifa akisema Tanzania kuna Corona kweli kweli nyingi ya kutosha ila serikali inaficha taarifa!!! Ulaya sababu ya Corona mikutano ya hadhara ni marufuku

Hata leo hii mazishi ya Prince Phillip wa Uingereza yatakayofanyika kuanzia saa sita na nusu yatahudhuriwa na ndugu wa karibu wa familia ya Kifalme 30 tu

Sasa hata watanzania hivi CHADEMA tuwaelewaje? Mbowe mwenyewe kasema Corona Tanzania iko kibao serikali ilete chanjo yeye keshachanja!!! Halafu hapo hapo wanataka mikutano ya hadhara wanata kuua watu kwa Corona au?
MATAGA hamnazo kabisa.
 
Hapo hapo Mbowe amepata chanjo ya corona na anafanya social distance kwa Joyce Mkuya.

Sijawahi kuona kiumbe kijinga kama Chadema.
Mara hii umeshachoka kumtetea mwenda zake anaeliwa na funza? Ila Mungu fundi nyie. Imagine kina Lissu saivi wanakunywa bia ila mwingine huko saivi anachezea vitasa kutoka kwa kiongozi wa malaika orijino. Just imagine tu. Jifunzeni na ninyi kmmk zenu
 
Ili kuielewa Chadema inabidi unywe K-vant iliyochanganywa na The Kick

Yaani miaka nenda miaka rudi wanafanya makosa ya kimkakati bigtime
 
Mara hii umeshachoka kumtetea mwenda zake anaeliwa na funza? Ila Mungu fundi nyie. Imagine kina Lissu saivi wanakunywa bia ila mwingine huko saivi anachezea vitasa kutoka kwa kiongozi wa malaika orijino. Just imagine tu. Jifunzeni na ninyi kmmk zenu
Wewe unaongea tu mwenzio alikuwa mzima kama wewe ila sasa ana kilema.
 
CHADEMA Wanataka mikutano ya hadhara wakati wanatangazia dunia nzima kuwa Tanzania kuna CORONA!! Hivi wazungu watawaelewa hawa watu?

Lissu amekuwa akihojiwa na vyombo kibao vya kimataifa akisema Tanzania kuna Corona kweli kweli nyingi ya kutosha ila serikali inaficha taarifa!!! Ulaya sababu ya Corona mikutano ya hadhara ni marufuku

Hata leo hii mazishi ya Prince Phillip wa Uingereza yatakayofanyika kuanzia saa sita na nusu yatahudhuriwa na ndugu wa karibu wa familia ya Kifalme 30 tu

Sasa hata Watanzania hivi CHADEMA tuwaelewaje? Mbowe mwenyewe kasema Corona Tanzania iko kibao serikali ilete chanjo yeye keshachanja. Halafu hapo hapo wanataka mikutano ya hadhara wanata kuua watu kwa Corona au?

YEHODAYA umekufa nini? Mbona huonekana jukwaani, au mliofadi keki ya taifa kipindi cha dhalimu, kwa sasa mama kawapotezea?
 
Back
Top Bottom