CHADEMA wanataka kuvuruga amani ya nchi, tuwe nao makini kama Taifa

Ukweli ni kuwa walishapoteza direction kwa muda wa miaka sita toka uchaguzi wa mwaka 2015 na mpaka sasa hawa gea ya kuwapa kick ya kuweza kuwini watanzania.

Wanataka kupitia hoja ya kudai katiba mpya kama njia ya kuonekana wanatetea wananchi ili kuchafua amani ya taifa letu.

Hawa watu ni watu wabaya sana tuwe nao makini. Maana wameshajua hakuna upenyo wa kuikaba serikali ya Ccm.

My take: They should be shackled by all means necessary.

Idugunde nikiwa Dar mapumzikoni baada ya kuvuna mpunga.
Cdm wanataka wananchi wapate Katiba mpya CCM NDIO inaotaka kuvurunga nchi Kwa kutotaka wananchi wapate Katiba mpya
 
Back
Top Bottom