peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 12,799
- 21,370
Cdm wanataka wananchi wapate Katiba mpya CCM NDIO inaotaka kuvurunga nchi Kwa kutotaka wananchi wapate Katiba mpyaUkweli ni kuwa walishapoteza direction kwa muda wa miaka sita toka uchaguzi wa mwaka 2015 na mpaka sasa hawa gea ya kuwapa kick ya kuweza kuwini watanzania.
Wanataka kupitia hoja ya kudai katiba mpya kama njia ya kuonekana wanatetea wananchi ili kuchafua amani ya taifa letu.
Hawa watu ni watu wabaya sana tuwe nao makini. Maana wameshajua hakuna upenyo wa kuikaba serikali ya Ccm.
My take: They should be shackled by all means necessary.
Idugunde nikiwa Dar mapumzikoni baada ya kuvuna mpunga.