CHADEMA wanataka kuvunja muungano kwa kukosa ushawishi Zanzibar

Mtoa mada 1. haelew historia ya union 2. kauliza & kujijib mwenyewe!!! A. Lisu hakumaanisha kuvunja muungano: u shuld understand kuwa katiba ya union inajumuisha union maters & non union maters ambayo ni ya Tanganyika. Hivyo kuwa na ushiriki saw, hasa wa kiimamuz ambako rais wa zenji anashiriki pia si sawa b'se other issues ni 4 Tanganyika only, why shuld he b involveld?
B. Union structure bado ni prob, hata ccm wanajua, wanafumbia macho tu, mf last year zenj wamebadili katiba na kumpa rais wao more na kuingilia nguv za union president, pia kujtangazia mipaka ya nchi as if wao ni sovereignty state: ajabu top leaders + bunge wamekaa kimya hadi leo, na hata hadi milele. Sasa akitokea mtu mmoja kuyasema anaonekana m,baya, no, we need to change
 
Hawa Wazanzibar Wapewe Uhuru Wao Huyu Kikwete Sijui anawependea nini hawa Wazanzibar,MUUNGANO hauna Chochote Katika Pande zote mbili.
 
nataka kujua haya!1. Sbb za muungano huu 2. Faida za muungano 3. Hasara za mungano4.kero za muungano 5. Je zanzibar wanataka muungano? 6. Watanganyia wanauhitaji hu muungano? 7. ......?
 
waliopeleka barua UN walikuwa watanganyika au wazanzibari? Wanaolalama kukataa muungano kila siku ni akina nani? Waliochana muswada mbele ya sita kuwa haukukidhi mahitaji yao ni cdm au wazanzibari?
 
Kwanza, CHADEMA ni chama kinachokua haraka na hakitegemei ushawishi onaoonekena leo bali hoja za msingi wanazopeleka kwa wananchi. Ndio maana kule Igunga walikuwa ni kama hawakuwepo kabisa lakini kwa muda mfupi wakawepo na kufanya yale uliyoyaona.
Pili, huo MUUNGANO unaoujua wewe kati ya Zanzibar na Tanganyika ni upi? Wazanzibari wana Serekali yao na mwaka jana walibadilisha katiba yao bila hata kuomba ridhaa kutoka kwa serekali ya muungano unaoujua wewe, Zanzibar ina bendera yao, Zanzibar ina wimbo wao wa taifa lao. Zanzibar wana jeshi lao, wanaita vikosi. Niambie KMKM sio jeshi?
Kinachotakiwa hapa ni kurekebisha MUUNGANO kama tunautaka au KUUVUNJA kitu ambacho CCM hawakitaki kwa sababu ya masilahi yao na si masilahi ya wananchi. Tunataka tuujadili Muungano ambao utaridhiwa na wananchi wa Zanzibar na wale watanganyika bila woga na vitisho.
 
Wao ndo wamwshavunja muungano tulio nao. Kulingana na Katiba iliyopo ni wapi Maalim Seif atajwa katika katiba ya Muungano. Je, ZAnzibar ni nchi au ilikuwa nchi? mbona ina rais, mbona inabendera yake, mbona inawimbo wake wa nchi, Je, Shein ni Amiri jeshi mkuu; Mbona huwa anakagua gwaride wakati Kikwete amekaa jukwaani; Mbona Pinda ambaye ni Waziri wa Jamhuri hatambuliki kama kiongozi mkuu zanzibar. Nani amevunja muungano kati ya Lisu na walalahoi hao wa CCM.
 
Sio kwamba CHADEMA wanataka kujunja muungano, bali Wazanzibari wenyewe hawautaki muungano! Kwani ni mara ngapi tumewasikia wakilalama kuhusu huu muungano? Mbona wazanzibvar wakilalamikia kero za muungano hakuna anaye nyooshea mtu kidole? Sie pia tunaitaka Tanganyika yetu ndio muungano utafuata kama bado kuna wengi watakaotaka uwepo.
 
Hata Wazanzibari wenyewe hawautaki huo Muungano! Kila mwenye akili timamu anajua huo muungano unang'ang'aniwa na CCM kwa masilahi yao! Ni wakati muafaka sasa huo muungano feki uvunjwe!
 
Kuna tatizo katika akili za watu wetu!
Inawezekana hata mleta thread ukaangukia kwenye mkumbo watu wa aina yako!
Tatizo hili limefika hadi kwa kada makini sana za nchi kama Bunge na waandishi wa habari na baadhi ya wanaharakati,
tatizo hili la akili linatufanya wengi wetu hao niliowataja kutokuangalia hoja kwa uzima wake na badala yake kuangalia vipande vya hoja jinsi vilivyoamsha mihemko yao na kuwasisimua,
hii mara zote humtoa mtu katika kufikiri na badala yake mtu huzama kwenye hisia, baada ya kusoma post yangu nakuombea kwa imani yangu wewe mleta thread ubadilike na uponywe toka kwenye ugonjwa huo.
Naamini utaisoma hiyo nukuu ya Lissu kama ulivyoiweka hapa na utagundua kwamba ni wewe ndiye uliyeangukia kwenye kale kaugonjwa ila mda huo utakuwa umepona.
Umshukuru Mungu wako sana maana alama za nyakati zinaonyesha watu wenye ugonjwa huo kwenye nchi hii ndio ambao hawautaki huu Muungano kuliko "watanganyika" wanaohoji uhalali kwa lengo la marekebisho ili kujenga UMOJA IMARA!
Hebu changanua.
 
"Kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza, je muungano ukivunjika hii inchi itatawalika? Lakini pia si kweli kwamba CHADEMA wana lengo la kuvunja muungano kwa vile wamekosa ushawishi Zanzibar?

Wrong analysis hence wrong conclusion. Election is a game of number, Kwanini CDM ipoteze
nguvu kushawishi wapiga kura wa Zanzibar ambao ni sawa tu wa Jimbo la Ubungo? CCM wamesha
litambua hilo ndiyo maana toka multi party election imeanza haitatokea hata siku moja CCM wakamsimamisha
mgombea urais wa JMT kutoka Zanzibar. Mtaji wa kura uko Tanganyika kusimamisha mgombea kutoka
Zanzibar is a political suicide.

FYI CDM inaweza kushinda tena a landslide victory bila hata kura moja kutoka Zanzibar.

Ninafikiri magamba kweli mmeshikwa pabaya na sasa mnatapatapa. Mlianza CDM ni chama cha kichagga,
ni cha watu wa kasikazini, mkaja ni cha wakiristu hizo singles zimeshindwa ku hit top ten na sasa mnakuja na
single nyingine CDM inataka kuvunja muungano. I wish ungejua, believe me kama wazanzibari wakikusikia
kuhusu madai hayo basi ujue 2015 kura zote za ZNZ ni CDM. Wazanzibari hawataki kabisa huu muungano
ni viongozi wao kwa masilahi binafsi.

It seems you're coming from a different planet and you're disconnected with geopolitics of Tanzania.
 
Wale wanzanzibari waliopeleka barua UN kuomba kujitenga walitumwa na CHADEMA?
 
Kuna tatizo katika akili za watu wetu!
Inawezekana hata mleta thread ukaangukia kwenye mkumbo watu wa aina yako!
Tatizo hili limefika hadi kwa kada makini sana za nchi kama Bunge na waandishi wa habari na baadhi ya wanaharakati,
tatizo hili la akili linatufanya wengi wetu hao niliowataja kutokuangalia hoja kwa uzima wake na badala yake kuangalia vipande vya hoja jinsi vilivyoamsha mihemko yao na kuwasisimua,
hii mara zote humtoa mtu katika kufikiri na badala yake mtu huzama kwenye hisia, baada ya kusoma post yangu nakuombea kwa imani yangu wewe mleta thread ubadilike na uponywe toka kwenye ugonjwa huo.
Naamini utaisoma hiyo nukuu ya Lissu kama ulivyoiweka hapa na utagundua kwamba ni wewe ndiye uliyeangukia kwenye kale kaugonjwa ila mda huo utakuwa umepona.
Umshukuru Mungu wako sana maana alama za nyakati zinaonyesha watu wenye ugonjwa huo kwenye nchi hii ndio ambao hawautaki huu Muungano kuliko "watanganyika" wanaohoji uhalali kwa lengo la marekebisho ili kujenga UMOJA IMARA!
Hebu changanua.
Hivi cdm kukosa ushawishi kwa kanchi kenye watu wasiozidi milioni moja kuna hasara gani!!! Hoja haina mashiko kabisa. Imejaa upuuzi tu.
 
Haya mambo ni makubwa kama kweli wanataka tutatue kasoro za muungano tujadili kwa kina na kama wanataka kutuburuza nahisi itafika mwisho.Siku moja nilimuoji mzanzibar fulani jina simtaji nikamuliza vipi mafuta yanaendeleaje huko zanzibar natumaini mafuta yatashuka bei kwani yanachimbwa Tanzania aling'aka yale mafuta ni ya wazanzibar siyo ya bara mbona ninyi mmechimba dhahabu, almasi na tanzanite mlishawahi kusema ya kwetu wote mmeona mafuta mnataka yawe yetu wote hapo hatukubali na hamyapati ng`o .mimi naona wana mantiki kweli ni ya kwao kama wanaserikali wana katiba wan bendara yao kwakweli hili jambo tulifanyie kazi.
 
Natamani hii katiba iwe chanzo cha kuvunjika huu Muungano wa Nyerere na Karume (Sr.) Watanganyika daini nchi yenu. imefikia hadi kuuita uhuru wa Tanganyika, uhuru wa Tanzania. Huko ni kuchanganyikiwa au ndio mumelipenda sana jina la kuoelwa.
 
Back
Top Bottom