CHADEMA wanapoandamana kumtaka Mbowe atoe maelezo kuhusuiana na kifo cha Wangwe

This is democracy at work. N matumaini yangu uongozi wa Chadema utapokea maneno hayo badala ya kutaka kuunda tume na kuyafanyia kazi. Miye nasubiri kuona wanachama wa CCM watakapoandamana kutaka uongozi wa chama chao kuwajibika kutokana na mlolongo wa kashfa za:

IPTL
Richmond
EPA
Ndege
Ripoti ya CAG
Wizi wa Benki Kuu
Buhemba
Matumizi ya nguvu Tarime
n.k

Maana wale wachache waliopiga kelele Tanga walikemewa vikali. Je CCM au kuna mwana CCM mwenye uwezo wa kufanya kile walichofanya Chadema Dar? Miye nawapo big ups hawa jamaa na Mtanzania yeyote yule ambaye haoni aibu kutaka mtu awajibike kwa sababu ya kuogopa chama, sura, jina, cheo, au hadhi ya mtu huyo. Je wana CCM wako tayari kuitisha mafisadi na viongozi wanaotuhumiwa kashfa wajiuzulu? Halafu Makambe ndiye aende kupokea maandamano hayo?

Hapa Chadema wanawafundisha CCM kuwa hakuna kuogopwa mtu, kupendelewa au kuonewa haya. Ila viongozi hawa wakitokea wanachama wengine wa Dar wakitaka wajiuzulu wasing'ake maana kuwajibika ni kuwajibishana.
 
Kwa mifano michache tuliyoisikia kwa kweli upande wa CCM ni ngumu......tuanzie kwa Kolimba, Mrema, Nape na juzi juzi kijana Mwita Waitara.
 
Hivi SAKINA bado hajaunda kamati ya kuchunguza jinsi chadema walivyoilangua ITV.?
 
Mtikila aombe tu ....nadhani kamati itaundwa. Chadema wao walilamika rasmi na ndio wakaundiwa tume. Hata kwenye baraza la habari huwa wanapokea malalamiko rasmi na ndipo uchunguzi unaitishwa.
 
This is democracy at work. N matumaini yangu uongozi wa Chadema utapokea maneno hayo badala ya kutaka kuunda tume na kuyafanyia kazi. Miye nasubiri kuona wanachama wa CCM watakapoandamana kutaka uongozi wa chama chao kuwajibika kutokana na mlolongo wa kashfa za:

IPTL
Richmond
EPA
Ndege
Ripoti ya CAG
Wizi wa Benki Kuu
Buhemba
Matumizi ya nguvu Tarime
n.k

Maana wale wachache waliopiga kelele Tanga walikemewa vikali. Je CCM au kuna mwana CCM mwenye uwezo wa kufanya kile walichofanya Chadema Dar? Miye nawapo big ups hawa jamaa na Mtanzania yeyote yule ambaye haoni aibu kutaka mtu awajibike kwa sababu ya kuogopa chama, sura, jina, cheo, au hadhi ya mtu huyo. Je wana CCM wako tayari kuitisha mafisadi na viongozi wanaotuhumiwa kashfa wajiuzulu? Halafu Makambe ndiye aende kupokea maandamano hayo?

Hapa Chadema wanawafundisha CCM kuwa hakuna kuogopwa mtu, kupendelewa au kuonewa haya. Ila viongozi hawa wakitokea wanachama wengine wa Dar wakitaka wajiuzulu wasing'ake maana kuwajibika ni kuwajibishana.

This is a very important note.CHADEMA wameonyesha ujasiri kwa kweli.Kuna mambo ambayo husubiri kuambiwa yaani unayaona nje nje kabisa kwamba CHADEMA kina ukabila ambao unahitajika kuondolewa maana once tribalism takes a toll yatakuwa mambo ya Rwanda Genocide.
 
hapa ukiangalia haya maandamano kuna mkono wa rostam la zizi , wahindi ndo huwa wanaliwa kwa kuandaa vtu feki hivi
 
This is democracy at work. N matumaini yangu uongozi wa Chadema utapokea maneno hayo badala ya kutaka kuunda tume na kuyafanyia kazi. Miye nasubiri kuona wanachama wa CCM watakapoandamana kutaka uongozi wa chama chao kuwajibika kutokana na mlolongo wa kashfa za:

IPTL
Richmond
EPA
Ndege
Ripoti ya CAG
Wizi wa Benki Kuu
Buhemba
Matumizi ya nguvu Tarime
n.k

Maana wale wachache waliopiga kelele Tanga walikemewa vikali. Je CCM au kuna mwana CCM mwenye uwezo wa kufanya kile walichofanya Chadema Dar? Miye nawapo big ups hawa jamaa na Mtanzania yeyote yule ambaye haoni aibu kutaka mtu awajibike kwa sababu ya kuogopa chama, sura, jina, cheo, au hadhi ya mtu huyo. Je wana CCM wako tayari kuitisha mafisadi na viongozi wanaotuhumiwa kashfa wajiuzulu? Halafu Makambe ndiye aende kupokea maandamano hayo?

Hapa Chadema wanawafundisha CCM kuwa hakuna kuogopwa mtu, kupendelewa au kuonewa haya. Ila viongozi hawa wakitokea wanachama wengine wa Dar wakitaka wajiuzulu wasing'ake maana kuwajibika ni kuwajibishana.

Ungekuwa na uwezo wa kutofautisha Chama cha Siasa, Serikali, na Chama tawala ungekuwa na msaada mkubwa sana katika kupambana na matatizo yaliyopo. Au kwa kuwa unajua watu wanaosoma mawazo yako wanaamini chochote unachooandika? Labda tu nikuulize ni kwa nini EPA hukuiingiza kwanye wezi wa BOT au ulitaka kuongeza idadi ya kashfa? Please eti nk.
Let say viongozi wa CCM ameitikia wito wako wa kujiuzuru ni vipi itatatua matatizo yaliopo? Tutakuwa tuna recycle watu tu hakuna chochote kitachotokea. Nitakupa orodha ya viongozi wa CCM hapo chini.
Na kivipi CHADEMA wanawafundisha CCM na siyo TLP au NCCR?
Ukiingalia kwa undani utagundua wana-CHADEMA wameandamana kwa sababu wameona kuwa hayo mambo yanadhoofisha chama chao. Labda tu nikuulize ni kivipi EPA imeathiri CCM isipate kura ya 80% kwenye uchaguzi wa 2005?
Mwanakijiji, hizo kashfa ulizozitaja kama tukiendelea kuzitafutia ufumbuzi kwa njia tunayotumia sasa kuatakuwa hakuna ufumbuzi wowote. Ngoja nikupe mfano labda utanielewa, kwa mfano umeacha $100 mezani na mtu pekee unayeishi naye ni mke wako, uliporudi ukakuta imepotea hapo moja kwa moja utakayemhisi ni mke wako na hapo kuna kesi ya kujibu. Ila kama ulimpa hiyo hela wakati unaondoka na kumuambia akakununulie pipi na baadaye unaporudi anakupa pipi yako na receipt inayoonyesha kuwa amenunua pipi kwa $100 na ulipoenda dukani wakakudhibitishia kuwa wamemuzia pipi $100. Huu mfano una cover kashfa tatu IPTL, Richmond, EPA, Ndege. As a nation, this is the challenge we are facing, kama tukijaribu kufanya hizi ni political agenda au personal attach, we are not going anywhere in anytime soon.

Viongozi wa CCM wanaotakiwa kujiuzuru na Mwanakijiji.

Mwenyekiti wa CCM
Ndugu Jakaya Kikwete

Katibu Mkuu wa CCM
Ndugu Yussuf R. Makamba

Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara)
Ndugu Jaka Mwambi

Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar)
Ndugu Salehe Ramadhan Ferouz

Katibu wa Uchumi na Fedha wa CCM Taifa
Ndugu Amos Gabriel Makala

Katibu wa Organaizesheni wa CCM Taifa
Ndugu Kidawa Hamid

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa
Ndugu John Zefania Chiligati

Katibu wa Siasa na Uhusiano wa Kimataifa wa CCM Taifa
Ndugu Bernard Kamilius Membe
 
Viongozi wa CCM wanaotakiwa kujiuzuru na mwanakijiji

Mwenyekiti wa CCM
Ndugu Jakaya Kikwete

Katibu Mkuu wa CCM
Ndugu Yussuf R. Makamba

Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara)
Ndugu Jaka Mwambi

Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar)
Ndugu Salehe Ramadhan Ferouz

Katibu wa Uchumi na Fedha wa CCM Taifa
Ndugu Amos Gabriel Makala

Katibu wa Organaizesheni wa CCM Taifa
Ndugu Kidawa Hamid

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa
Ndugu John Zefania Chiligati

Katibu wa Siasa na Uhusiano wa Kimataifa wa CCM Taifa
Ndugu Bernard Kamilius Membe

kama kawaida unaniwekea maneno mdomoni na nikitaka useme ni wapi niliyasema unakimbia. You are not worthy my time.
 
Mkamap and Masatu is the same guy with double IDs? naona kwanza kwa nicknames yanatokea mkoa mmoja, na itikadi kwenye mijadala ni mmoja...hata lugha zao zafanana ...hebu ufafanuzi jamani...

U. ROMBO
 
Kuna kitabu kimoja kinaitwa WEAPONS OF MASS PERSUATIONS, THE SELLING OF IRAQ WAR.

nafikiri kinafundisha vitu vingi zaidi kuliko yaliyoandikwa ndani yake hasa kwa jamii kama zetu, CCM wanajua kabisa hawatashinda tarime hata kidogo lakini nia yao ni kushinda kwa gharama yeyote na ndio maana wameshasema kuwa watashinda kwa njia yeyote hiwe ya kuwashawishi wananchi wawapigie kura au kuwalazimisha wananchi wawapigie kura.

Siasa za tazania siku hizi zimeshakuwa za kutumia mamilioni ya sh. kwenye kampeni kwa ajiri ya kushawishi wapiga kura ikiwa ni pamoja na kuwaonga viongozi wa vyama vya upinzani ili kudhoofisha viongozi wao wakuu na kuleta migogoro ndania ya vyama.

kwa hawa walioandamana sio tatizo kwani inawezekana wamepata tayari malipo yao ambayo wangeendelea kukaa chadema wasingeyapata hata kwa maisha yao yote.

tatizo lingine linaloleta tabu tanzania ni umasikini, CCM wataendelea kutawala siku zote kwani wanatumia umasiki wa watanzania kama mtaji wa kupata kura, nina uhakika kesho matokeo yanaweza kushangaza watanzania wote wanaotegemea CHADEMA kushinda.

Lets wait and see.
 
kama kawaida unaniwekea maneno mdomoni na nikitaka useme ni wapi niliyasema unakimbia. You are not worthy my time.

I didn't know if you set the time limit for my answers. From my understandings the future has no limit. Usiwe na wasiwasi ndugu yangu humu kwenye forums haondoki mtu tutakuwepo mpaka mwisho. Majibu ya maswali yote watu walioniuliza humu yatajibiwa huko mbeleni. Nakumbuka na ile issue ilikuwa kwa members tu labda tu ningewaomba watu ambao hawajajiunga na JF wajiunge ili wasikose huo uhondo.
Kuna siku nilikuwa naweza kusema "a debate" na co-worker. Hoja yake ilikuwa ni kwamba yeye hapendi kutumia SMS kwa sababu eti haimpi uwezo wa ku-express his feelings kuliko kuongea. Kwa upande wangu nadhani kwa kusoma kitu mtu alichoandika una uwezo kupata feelings zake au hata maana yake nyingine kama ameandika lugha ya kificho. On my side, what you write is less important than what you mean. Naweza kukupa mfano kutoka kwenye post yako ya mwisho umetumia neno "nikitaka useme". Nikitaka is the command word. You position yourself in the characteristic of high rank or importance that's why you are commanding even the president of United Republican of Tanzania and the members of his cabinet. Siwezi kusema ni kitu kibaya lakini hilo neno linaelezea vizuri jinsi unavyojisikia.
 
Vijana wanaojaribu kuiimarisha CHADEMA wanapoteza muda wao.CHADEMA sio chama siasa, CHADEMA is a strategic union of clearly defined comrades. Wanachadema wengi kabla yenu wamegundua kuwa walikuwa wanapoteza muda wao pale wanapokaribia close to "the true CHADEMA decision makers" ambao wana VETO isiyoelezewa popote kwenye katiba ya CHADEMA!wewe unayejiunga leo kazi yako ni kukitetea chama tu na sio kushiriki kwenye maamuzi ya msingi ndani ya chama.

Hakuna haja ya kuandamana wakati mnafahamishwa kuwa CHADEMA inamilikiwa kama kampuni binafsi na nyinyi mmekubali kuwa wanachama wa kampuni hilo, ni muhimu kutambua kuwa katika kampuni mwenye share nyingi ndio anayekuwa na nguvu zaidi kwenye maamuzi. Je nyinyi mnaoandamana, kwenye kampuni hiyo mnamiliki share sawa na "comrade" Mbowe?
 
Vijana wanaojaribu kuiimarisha CHADEMA wanapoteza muda wao.CHADEMA sio chama siasa, CHADEMA is a strategic union of clearly defined comrades. Wanachadema wengi kabla yenu wamegundua kuwa walikuwa wanapoteza muda wao pale wanapokaribia close to "the true CHADEMA decision makers" ambao wana VETO isiyoelezewa popote kwenye katiba ya CHADEMA!wewe unayejiunga leo kazi yako ni kukitetea chama tu na sio kushiriki kwenye maamuzi ya msingi ndani ya chama.

Hakuna haja ya kuandamana wakati mnafahamishwa kuwa CHADEMA inamilikiwa kama kampuni binafsi na nyinyi mmekubali kuwa wanachama wa kampuni hilo, ni muhimu kutambua kuwa katika kampuni mwenye share nyingi ndio anayekuwa na nguvu zaidi kwenye maamuzi. Je nyinyi mnaoandamana, kwenye kampuni hiyo mnamiliki share sawa na "comrade" Mbowe?[/QUO

zemarcopolo, Sijakuelewa kabisa unamaana gani labda utumie lugha nyepesi, CHADEMA si chama cha siasa duuuu hapo nadhani unataka kuweka comedy!! siwezi kukuelewa basi Tanzania hakuna chama cha siasa....kw mtazamo wako finyu! kampuni ipi? nadhani uko kwenye usingizi wa pono hujui hata ulichoandika, next time jenga hoja usije ka mwizi kuvizia bro, usilo lijua ni usiku wa kiza....Basi nanyie muandamane kupiga ufisadi...do I need to say more?

U .ROMBO
 
Ndiyo maana nika-suggest watu kabla ya kuingia hapa wawe wanapimwa akili.Otherwise hapa kuna baadhi yao ni wagonjwa
 
Mkamap and Masatu is the same guy with double IDs? naona kwanza kwa nicknames yanatokea mkoa mmoja, na itikadi kwenye mijadala ni mmoja...hata lugha zao zafanana ...hebu ufafanuzi jamani...

U. ROMBO

Keep on dreaming....
 
Ndiyo maana nika-suggest watu kabla ya kuingia hapa wawe wanapimwa akili.Otherwise hapa kuna baadhi yao ni wagonjwa

watu wakiisema CHADEMA basi waginjwa!pangua hoja zao sio kuwapakazia wagonjwa!kama ni ugonjwa basi wewe ni mgonjwa mahututi tena upo ICU!oooh pole sana
 
Masatu Says Thank You to First Lady For This Useful Post:
 
watu wakiisema CHADEMA basi waginjwa!pangua hoja zao sio kuwapakazia wagonjwa!kama ni ugonjwa basi wewe ni mgonjwa mahututi tena upo ICU!oooh pole sana

He he he,Naona hauko kawaida wewe. Acha kudandia gari,kumbe nawe unakurupuka hivi.

Mbona wewe usianze kujenga hoja? You are very shallow,ni wapi nimesema kwamba mtu akiisema CHADEMA ni mgonjwa,hebu acha vituko bibi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom