CHADEMA wanapoandamana kumtaka Mbowe atoe maelezo kuhusuiana na kifo cha Wangwe

He he he,Naona hauko kawaida wewe. Acha kudandia gari,kumbe nawe unakurupuka hivi.

Mbona wewe usianze kujenga hoja? You are very shallow,ni wapi nimesema kwamba mtu akiisema CHADEMA ni mgonjwa,hebu acha vituko bibi.

Nimesoma thread nyingi na nimeona kwako wewe CHADEMA isiguswe!
Nimeona anaeisema CHADEMA anatoa na sababu!sasa wewe badala ya kupangua na wewe kwa sababu zako basi unaishia tu kusema watu wapimwe akili kabla ya kujiunga!Kwanza hilo oni lako la kupimwa akili kabla ya kujiunga linaonyesha jinsi ulivyo shallow tena kwenye kijiko!

Haya endeleeni kukata nyanga!
 
Kwa bahati mbaya Chadema imekuwa na wafuasi wengi ambao kwao upanzani ni kuishambulia ccm bila na wao kukubali kupingwa na kujirekebisha....niliwapa mifano mitatu ya uzembe wa makao makuu ya chadema...mfano ni kuwa toka mwaka 2005 rufaa ya kiongozi wa chadema wilaya ya igunga haijasikilizwa dhidi ya kupinga kwake kuvuliwa madaraka...hivyo hakuna uongozi wa wilaya kwa kipindi chote hali kadhalika mkoa wa morogoro mpaka sasa hakuna uongozi wa mkoasasa chama hiki itakuwaje kinapokabidhiwa nchi yenye matatizo lukuki ya ardhi mlundikano wa wafungwa magerezani na matatizo ya uchumi.nadhani wataruka juu na chopa
 
Nimesoma thread nyingi na nimeona kwako wewe CHADEMA isiguswe!
nimeona anaeisema CHADEMA anatoa na sababu!sasa wewe badala ya kupangua na wewe kwa sababu zako basi unaishia tu kusema watu wapimwe akili kabla ya kujiunga!Kwanza hilo oni lako la kupimwa akili kabla ya kujiunga linaonyesha jinsi ulivyo shallow tena kwenye kijiko!
Haya endeleeni kukata nyanga!

Hilo tatizo lako,usituambukize. Mbona hujengi hoja,unalialia tu hapa.?

Fisadi Mtoto,

Leo huoni aibu kuja kwenye hii thread? Manake jambo ambalo wanachama wa CHADEMA wamefanya halijawahi kufanywa na watu wa CCM including you guys,hamna ujasiri wa kufanya maandamano ya aina hiyo.Chadema ingetawala kungekua na Demokrasia.

Leo hii Nchimbi kawafisadi,bado mnasimama mnamuita mwenyekiti

Chenge kaifisadi Nchi bado mnamuita mwenyekiti wa maadili

Rostam ndiyo msiseme

Makamba nae ni katibu kilaza bado mnamgwaya,mtu wa std seven anawapeleka kama boya.

Waache CHADEMA wasimamie demokrasia,ninyi hao mnawaona kama watovu wa nidhamu.Aibu tupu. sasa sijui utasema vipi hapo.
 
Ben now you ere talking....kwanza hakuna ubaya wa ufisadi kama unavyojaribu kuonyesha wewe hapa...hakuna nchi duniani ilipata kuendelea bila kuwepo primitive accumulation of capital ambayo ikatumika kufanya investment....wakati huo kulikuwa na utumwa kama ambavyo marekani iliwatumia kukua,makoloni ambayo yaliwezesha nchi nyingi pia kukuwa pamoja na merchant period....kwa sasa hakuna namna unaweza kufanya hayo tena bali kuchukua pesa kutoka serikalini ambayo ilikuwa imekaa tu bila bot na kuinvest ili kujenga uwezo wa nchi....angalia matunda ya ufisadi huo ni gazeti bora la mwananchi linalifichua maovu mengi hapa nchini na limetoa ajira kwa watanzania zaidi ya mia tatu....angalia kiwila coal mine ilikuwa imekufa na sasa inatoa ajira kwa zaidi ya watanzania mia tano na umeme inadhalisha sasa,angalia bank m inalipa mishahara mizuri kuliko bank yoyote hapa tanzania,pia ni bank pekee kwa sasa inayotoa mikopo mikubwa kwa wakulima na kwa sasa deposit interest ni 14% ambayo hakuna bank imepata kufanya hivyo....sasa tungewapa pesa hizi nyinyi kizazi cha walalahoi mngeishia kuowa tu wake watatu au wanne.
 
hiyo tuseme sera zenu za maendeleo ni kuwaachia wezi wanufaike na raslimali za wa Tanzania kama ulivoleza kwenye huu upuuzi wako hapa juu? Sisi kila siku tunapingana na ufisadi lakini wewe unakuja kusema eti walitoa ajira kwa watanzania?

Mkuu,ina maana ile ilani yenu ya uchaguzi mliitoa wapi?Somalia au Burundi mkuu?

Umesema mimi mtoto wa mlalahoi,well. i'm proud for that,kwani nina moyo wa uzalendo wa kuipenda nchi yangu.Nataka mabadiliko na LAZIMA YATOKEEE.Hata kama hupendi mkuu.
 
mabadiliko kamwe hayawezi letwa na wewe ambae ulikuja mara ya kwanza dar ulipokuja kusoma udsm na hujarudi tena kijijini kwenu mpaka leo.unajidai nawe wa mjini eti.....polisi na jeshi ni kwa ajili ya kulinda tabaka tawala lisifanyiwe fujo na tabaka tawaliwa.hakuna namna mnaweza kumuondoa mtu kwa demokrasia mbona zenj cuf wameshinda uchaguzi zaidi ya mara mbili na hawajatawala?zimbabwe mbona hawajatawal?kenya pia the same acha ndoto za abunuwasi kaka
 
Mkuu,kwanza unaonyesha jinsi ulivyo mtu wa kukurupuka na unafanya guess work.Mimi sijasoma UDSM mkuu,kuhusu sula la mimi kuwa Dar,Arusha,Moshi au kwingine si hoja ya msingi na haliwezi kuzui mabadiliko yoyote.Mabadiliko kama ni kufanyika yatafanyika nikiwa popote

Pili, unajionyesha jinsi ulivyo ignorant na mshamba kufikiria mjini ni kila kitu.na mageuzi ni lazima yaletwe na watu wa mjini pekee,ulimbukeni mtupu and very shame bro!

Tatu,Umesema kwamba polisi na jeshi liko kwa ajili ya tabaka tawala.This proves how narrow minded you are!

Kwa hiyo eti polisi hawako kwa ajili ya usalama wa raia? Yaani unaona jinsi hapa Tanzania hizo state organs zinavyokua-misused unahalalisha.Sikulaumu kwa sababu wewe ni ignorant.

Mabadiliko ni LAZIMA.Hizo nchi unazitolea mfanao kwa sababu unafikiri ni lazima tuige njia walizotumia kuleta mabadilko.Yaani mzee unajidharau kweli na unawadharau watanzania kwamba hawawezi kufanya kitu walichoshindwa wengine? Hebu tupishe,usituambukize hizo inferiority complex zako hapa.

Wewe mkuu ni hasara ya taifa,it's like you are not existing! Pole sana
 
Mkamap and Masatu is the same guy with double IDs? naona kwanza kwa nicknames yanatokea mkoa mmoja, na itikadi kwenye mijadala ni mmoja...hata lugha zao zafanana ...hebu ufafanuzi jamani...

U. ROMBO

Ushirombo,

Are you really serious on this one? You don't need to spend even ten minutes to find out that Masatu and MkamaP are two different individuals.

MkamaP is using his real name; he said many times here that he has nothing to hide. I know him in real life and I can confirm that he is using his real name.

Masatu is from the golden age, old is gold. You may not agree with him but he is articulate, astute and hilarious at the same time. JF without people like Masatu, Game Theory and others won't be the same.

So let's stop looking for the identities of the messengers and instead concentrate on the arguments in front of us.
 
Kama mwenye Busara vile,

Mbona wewe umeendeleza majadala kwa kuchangia hiyo post? Suppose Ushirombo akaja hapa nae akasema anawafahamu personally?

Jikite kwenye hoja,ishu si nani anamfahamu nani hapa.

I'm out!
 
Ushirombo,

Are you really serious on this one? You don't need to spend even ten minutes to find out that Masatu and MkamaP are two different individuals.

MkamaP is using his real name; he said many times here that he has nothing to hide. I know him in real life and I can confirm that he is using his real name.

Masatu is from the golden age, old is gold. You may not agree with him but he is articulate, astute and hilarious at the same time. JF without people like Masatu, Game Theory and others won't be the same.

So let's stop looking for the identities of the messengers and instead concentrate on the arguments in front of us.

Mtanzania,

U nailed it! hoja zikisha wanatafuta id's wakati kimsingi jf inaendeshwa on anonymous basis, sasa hawa wapiga ramli wanao taka muamini Masatu ndio Mkamp wasiku shughulishe waache wahangaike.
 
Mkuu,unapenda matusi sio? I'll come back.

Na mtu yeyote asiniulize kitu,coz huyu jamaa anatukana na kuangaliwa tu.
 
Mkuu,unapenda matusi sio? I'll come back.

Na mtu yeyote asiniulize kitu,coz huyu jamaa anatukana na kuangaliwa tu.

Nenda rudi utanikuta hapa short-sighted... ukitukanwa utajua wewe? nenda shule kwanza ukasome ujue maan crap halafu ndio uje hapa ku argue hapa....
 
Ushirombo,

Are you really serious on this one? You don't need to spend even ten minutes to find out that Masatu and MkamaP are two different individuals.

MkamaP is using his real name; he said many times here that he has nothing to hide. I know him in real life and I can confirm that he is using his real name.

Masatu is from the golden age, old is gold. You may not agree with him but he is articulate, astute and hilarious at the same time. JF without people like Masatu, Game Theory and others won't be the same.

So let's stop looking for the identities of the messengers and instead concentrate on the arguments in front of us.

Mtanzania

Connecting dots suggests MkamaP and Masatu might be the same individual, from names, their language and even their thinking abilities....probably they are not identical twins......I agree with you JF without Mtanzania, Kada, Masatu, Mwanakijiji, FMES, Mwafrika wa Kike and others JF could be a boring place...... Tarime vipi mkuu am in limbo waiting to know what happening there!!
 
Nenda rudi utanikuta hapa short-sighted... ukitukanwa utajua wewe? nenda shule kwanza ukasome ujue maan crap halafu ndio uje hapa ku argue hapa....

Ungeweka lile tusi ulilofuta,kumbe ulikurupuka?
Wewe kilaza unajiona mjanja kutukana,hujui chochote zaidi ya mzaha na matusi.Halafy mtu mwingine huko anakurupuka eti 'Masatu yupo kwenye Golden age". Useless
 
Mtanzania

Connecting dots suggests MkamaP and Masatu might be the same individual, from names, their language and even their thinking abilities....probably they are not identical twins......I agree with you JF without Mtanzania, Kada, Masatu, Mwanakijiji, FMES, Mwafrika wa Kike and others JF could be a boring place...... Tarime vipi mkuu am in limbo waiting to know what happening there!!

Angalia jamaa huyu naye.Huruma
 
Note this:penye moshi ndipo moto unapowaka.Na wakusanyikapo tai ndipo walipo mizoga.Lazima mbinu maalumu za kukiua zifanywe maana Chama hiki ndo tishio lao
 
Back
Top Bottom