Chadema wanapata ruzuku kutoka nje ya nchi?

Thread kama hizi tunaziita "thread mbuzi"

It is best to ignore an ignorant
Mkuu ndiyo mana mimi sichangii,mwanzilishi wa thread akili yake inafanana na wale jamaa wa chama cha dying horse(Magamba)
Wazee wa state forest(mavepande).
 
Taarifa za kibank zinaonesha kuwa mara baada ya uchaguzi mkuu 2010 chadema wametoa shilingi milioni hamsini na sita tu (56,000,000/=) kutoka katika akaunti ya chama kwa ajili ya matumizi ya mikutano na kuendesha chama..!!!

Swali:
Je ni kweli kwamba mikutano yote ya vuguvugu la m4c na operesheni sangara imegharimu kiasi hiki kidogo cha fedha au kuna vyanzo vingine visivyo rasmi?

Nawakilisha...!!
samahani nauliza kuna kiongozi wa chadema alihusika, epa, richmond, na kashfa ya rada? au yale ma b ya uswiss akina mboe nao wamo? nauliza tu!
 
Tuache siasa katika nchi zozote duniani vyanzo vya mapato kwa vyama ni muhimu kufahamika kwa usalama wa taifa lolote.aliyeanzisha hoja aeleze kwa uwazi ushahidi alionao ili wananchi waufanyie kazi.lazimaieleweke wazi kuwa nchi ya Tanzania kwa resources iliyo nazo external impact ni muhimu kuwa care nayo.tusije kuruka mkojo tukakanyaga***vi.
 
Kama wanaochanga hawalalamiki hamna shida...........naona magamba ishu ya kuchanga na kuzunguka kata na vijiji vya nchini inawapasua kichwa kweli, kwao hoja sio hela bali hofu yao kwa M4C cuz wanajua madhara yake
 
Acheni wivu wa kike na nyie mbona kila siku jk anazunguka na bakuli lake dunia nzima lakini atuambiwi mapato na matumizi ya hicho anachopata. Tulieni mjipange upya acheni propaganda feki.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom