Chadema wanapata ruzuku kutoka nje ya nchi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema wanapata ruzuku kutoka nje ya nchi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ray jay, Aug 14, 2012.

 1. r

  ray jay JF-Expert Member

  #1
  Aug 14, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 60
  Taarifa za kibank zinaonesha kuwa mara baada ya uchaguzi mkuu 2010 chadema wametoa shilingi milioni hamsini na sita tu (56,000,000/=) kutoka katika akaunti ya chama kwa ajili ya matumizi ya mikutano na kuendesha chama..!!!

  Swali:
  Je ni kweli kwamba mikutano yote ya vuguvugu la m4c na operesheni sangara imegharimu kiasi hiki kidogo cha fedha au kuna vyanzo vingine visivyo rasmi?

  Nawakilisha...!!
   
 2. S

  Simbamwene JF-Expert Member

  #2
  Aug 14, 2012
  Joined: Jun 22, 2008
  Messages: 287
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Benki gani isiyo na maadili na kutoa siri za mteja? Huu udaku utawapeleka watu pabaya? akaunti ya CHADEMA inawahusu kwa namna gani? Kama si upashukuna?
   
 3. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #3
  Aug 14, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,936
  Likes Received: 673
  Trophy Points: 280
  Thread kama hizi tunaziita "thread mbuzi"

  It is best to ignore an ignorant
   
 4. m

  mamajack JF-Expert Member

  #4
  Aug 14, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  kwa kulinganisha na g'harama ya maandalizi ya mkutano ule wa nyinyiemu jangwani walitumia bilion moja na usheee kweli ni ndogo sana!
  mie naamini mipango ni matumizi espacialy ukiwa na pesa.
   
 5. r

  ray jay JF-Expert Member

  #5
  Aug 14, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 60
  Inapokuja swala la maslahi ya taifa hakuna siri...kwa ni mkaguzi wa hesabu za serikali huwa anapata wapi taarifa za mapato na matumizi ya taasisi za serikali?...taarifa za akaunti ya taasisi kama chadema haiwezi kuwa siri kwani wanachama wanapaswa kujuwa mapato na matumizi ya chama chao...
   
 6. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #6
  Aug 14, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Kama wameamua kutoa takwimu, basi watoe takwimu za vyama vyote ili wananchi tuweze kupima. Hii pia ni mbinu hafifu sana ya kuchafuana, tunahitaji utatuzi wa matatizo yetu na siyo kupakana matope.
   
 7. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #7
  Aug 14, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Unafahamu maana ya neno Ruzuku? nifafanulie kwanza hiyo heading yako ili niweze kuchangia hii mada yako.
   
 8. Kingmairo

  Kingmairo JF-Expert Member

  #8
  Aug 14, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 4,977
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Labda utuwekee na kiasi kilichokuwa deposited kwasababu tumeshudia wakikusanya michango katika mikutano mingi tu ya M4C je kama hiyo ndio waliyoitumia? japokuwa kwa upande wa financial management sio sahihi. CHADEMA kama taasisi walipaswa revenue zozote ziingie kwanza benki ndo zitolewe kwa utaratibu uliopo wa kifedha. Lakini bado hoja yako haitoshi kuhitimisha kuwa kutotoa fedha kwenye akaunti hiyo basi wanapata fedha sehemu nyingine. Ukumbuke taasisi nyingi zina akaunti zaidi ya moja, je umeshajua CHADEMA wana akaunti ngapi?
   
 9. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #9
  Aug 14, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Kwenye mikutano wanachama na mashabiki wa cdm wanaenda gharama zao CCM wanapata posho na usafiri
   
 10. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #10
  Aug 14, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  VATICAN is the top donor, followed by German's Christian Democratic Union and Israel's Likud in the third place
   
 11. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #11
  Aug 14, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Unafahamu kwamba nchi hii siyo kila kitu kinawekwa wazi? Kwa taarifa yako matumizi iliyoyafanya CCM wakati wa uchaguzi wa 2010 ilikuwa ni Bn180, baadhi ya matumizi ni haya hapa; Tshirt zili printiwa 8,200,000 kila moja ilighalimu Tshs5000 Total ni Bn41, Track suits pair 2,000,000 kila moja ilighalimu 20,000 total ni Bn40, Kofia 8,200,000 kila moja ilighalimu Tshs2,000 Total ni Bn16.4.

  Hapa hamna taarifa za mabango ya kumtambulisha Jk, Transport, ghlama za wanamuziki, Ze comedy na kadhalika. Hizi pesa inasemekana zilichotwa Serikalini nadhani linapokuja swala la pesa za kuendesha vyama hapa nchini CCM ikae kimya tuu maana ipo siku kila kitu kitawekwa wazi hata kama Wahasibu wa CCM wametishiwa kuuawa ili wasitoe siri
   
 12. Alfred Daud Pigangoma

  Alfred Daud Pigangoma Verified User

  #12
  Aug 14, 2012
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,779
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Duh! Utazani gazeti la Amani, Kasheshe, Kiu, Sani, Uwazi na mengine ya UDAKU....... Kwani kichwa cha habari akiendani na uliyoandika ndani.

  USHAURI: Kajiunge na hayo magazeti niliyoyataja hapo juu au pitia pale skuli ya elimu watakujuza namna ya kuandika Insha.....
   
 13. r

  ray jay JF-Expert Member

  #13
  Aug 14, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 60
  Ishu hapa sio mapato,,ishu ni matumizi...chadema wanaweza kuwa wanapata kiasi kikubwa cha ruzuku na mapato mengine ya michango ya wanachama na wafadhali kama wanavyodai...ishu inakuja kwenye matumizi ya fdha hizo...taarifa za bank zinaonesha matumizi kidogo sana ya fedha ukilinganisha na kazi zinazofanywa..kama wanapata fedha nyingi za harambee mbona bank statements hazineshi matumizi sahihi ya fedha hizo..?kwa wale wenye taaluma ya kibank waniambie kama ni sahihi mapato ya chama yanaweza kutumika kabla ya kupitia bank!!!!
   
 14. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #14
  Aug 14, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mkuu, fedha ambazo chadema inazipata kutoka nje kama alivyosema Lema kupitia star tv ni ndogo na ya kawaida sana. Na zaidi ni michango ya watz waishio nje. Hoja ya msingi ni kama 30% (mabilioni) ya bajeti ya serikali ya ccm inayotoka kwa wazungu, ina agenda ya siri ya kuchota madini yetu au la.

   
 15. r

  ray jay JF-Expert Member

  #15
  Aug 14, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 60
  Kumbe we ni muelewa...umeonesha mwenyewe mapato na matumizi ya ccm..unaweza kutoa mapato na matumizi ya cdm kwenye kampeni zake za m4c na operesheni sangara?...sidhani kama unaweza coz ndani ya cdm hakuna transparent...ni ngumu sana kufahamu ishu za fedha ndani ya chama hiki...
   
 16. r

  ray jay JF-Expert Member

  #16
  Aug 14, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 60
  Mkuu hoja hapa ni matumizi ya hicho kinachopatikana hata kama ni kidogo!!!ukweli ni kwamba kunamatumizi mengi yanafanywa na viongozi wa juu wa cdm bila kutuata utaratibu wa kifedha...
   
 17. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #17
  Aug 14, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Weka na CCM hapo ambao hawana hata mikutano watakuwa wametumia zaidi ya hiyo hivyo ujue Chama kinamatumizi ya pesa.......
  Kumbuka DR Slaa na Mbowe walishakiri kutumia hata pesa zao kwaajili ya shughuli za chama.

  Mleta maada ujue chama cha Chadema si sehemu ya kuvuna pesa kama ilivyo kwa CCM
   
 18. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #18
  Aug 14, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mkuu,
  Chadema haipati ruzuku kutoka nje, kilichosemwa kupitia star tv ni kuwa tunapata misaada toka marafiki zetu wa nje na zaidi ni watz wanaoishi majuu. Hata hivyo, sina hakika kama zaidi ya 30% ya misaada (+ mikopo) inayopewa serikali ya ccm haina agenda ya kuchota madini yetu nyuma yake.
   
 19. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #19
  Aug 14, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  ray jay,
  Hoja yako ni msingi inaitaji majibu ya kina.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. r

  ray jay JF-Expert Member

  #20
  Aug 14, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 60
  Zipuwawa mimi sikatai kuhusu kiwango cha matumizi...nachohoji hapa ni kwanini taarifa za bank zinaonesha matumizi kidogo sana ya fedha ukilinganisha na shughli halisi zinazofanywa na chama...?fedha yakuendeshea hizi kazi za ujenzi wa chama wanapata wapi kama bank hawatoi fedha?
   
Loading...