MAMMAMIA
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 3,811
- 1,603
Sina hakika na msimamo wa CDM kwa mauaji ya Pemba na kwa kweli ni shutuma nzito. Ili kuachaan na hadithi za vijiweni, kwanza ningemuomba Ritz aweke chapisho la gazeti, sauti ya radio au picha ya video juu ya kauli za kiongozi/viongozi wa CDM kuunga mkono vitendo vya polisi Pemba/Unguja. Pia ningependa kusikia viongozi/wakereketwa wa CDM kuzitolea maelezo shutuma hizi za Ritz.FJM,
Mie sipo humu kulitetea Jeshi la Polisi, natetea utaifa, ni kweli wanauwa ni polisi, leo hii polisi alifyatua bomu na kumuua mwandishi anafikishwa mahakamani, kwa ni Chadema walikuwa upande wa polisi kwenye mauji ya Pemba?
My take:
- Ikiwa Ritz hakutoa ushahidi wa shutuma zake, nitaamini kuwa anamwaga propaganda zisizo na msingi.
- Na ikiwa kiongozi/viongozi/wakereketwa wa CDM watauchuna kwa hili, nitaamini kuwa vifo vya Wapemba havikuwauma CDM kwa sababu wale ni/walikuwa wafuasi wa mahasimu zao - CUF - bila ya kujali kama walikuwa ni Watanzania.
Last edited by a moderator: