CHADEMA wanahangaika na mikutano ya mitaani wakati hawana hata balozi mmoja hivi vyama vinaongozwa na watu wenye IQ ndogo sana

CHADEMA wanahangaika na mikutano ya mitaani wakati hawana hata balozi mmoja hivi vyama vinaongozwa na watu wenye IQ ndogo sana

Hii coment uiandike sehemu kama kumbukumbu..
Hapa ni swala la mda tu na hivi karibuni ccm unayoikubali inaenda kubaki na samia na mtoto wake mmoja mwingne atahamia chadema, wabunge mliowaweka hapo watachukuliwa na chadema wengne wataresign kazi, madiwani wote tz watavaa gwanda la chadema wewe tulia ni swala mda tu.
 
Back
Top Bottom