CHADEMA wanafikiria namna bora ya kujitoa kwenye kinyang'anyiro cha ubunge Kinondoni na Siha

Baada ya kuona Hali tete kwao sasa chadema wanajipanga kutimua mbio na kujitoa kinondoni.
Taarifa toka ndani inasema mkakati unapangwa na viongozi wa chama icho kuleta fujo kisa kujitoa.
Majuzi walipanga kuendesha kampeni kupitia misikiti lakini hata hiyo inaonekakana waumini wengi wakislam wamegoma kuwaelewa.
Mipango yao ya mwisho kwa sasa ilikuwa kuwanunua mawqkala wa ccm.
Check hapa picha ya mkutano wa ccm tandale Leo.
Ccm oyeeee
48aa17850af2e94b2bd6520724cf47d6.jpg
8bf3ee78a1d9a8ac0804246012879ebe.jpg
5b2d6ca4e7f7b2cc19a352fae8616a0b.jpg
ni mtulia tena kinondoni ccm mbele kwa mbele ushindi wa kimbungaaa
makarai peleka kwenye ujenzi hapa kazi tu.wapinzani na muisome namba.
 
Unaanza kwa kashfa dhidi ya upinzani halafu unaunganisha na picha za kampeni..

Chama cha majitaka
 
Hivi kwa nini CCM wanatumia nguvu sana humu mitandaoni kuhusu Kinondoni? Siha sioni, kuna nini? Nasikia wamekataa kuwaapisha mawakala wa CDM! Kuna mtu anaitwa Wandamba nadhani anaweka machapisho si chini ya 1000 kwa siku hapa JF
Mbona na nyie singinda mlisusa lakini kinondoni mpo?
 
Baada ya kuona Hali tete kwao sasa chadema wanajipanga kutimua mbio na kujitoa kinondoni.
Taarifa toka ndani inasema mkakati unapangwa na viongozi wa chama icho kuleta fujo kisa kujitoa.
Majuzi walipanga kuendesha kampeni kupitia misikiti lakini hata hiyo inaonekakana waumini wengi wakislam wamegoma kuwaelewa.
Mipango yao ya mwisho kwa sasa ilikuwa kuwanunua mawqkala wa ccm.
Check hapa picha ya mkutano wa ccm tandale Leo.
Ccm oyeeee
48aa17850af2e94b2bd6520724cf47d6.jpg
8bf3ee78a1d9a8ac0804246012879ebe.jpg
5b2d6ca4e7f7b2cc19a352fae8616a0b.jpg
Rubbish.
 
Muwape mawakala barua ..leo tumemzika aliyekuwa meneja kampeni msaidizi marehemu Tambwe..
Kesho tunarejea..

Yani huu uzushi waaminishe wasio wana kinondoni.

Awamu hii hapa kinondoni CCM mtakimbia nawaambia.
Vijana tupo mitaani nyumba kwa nyumba. Hii ni style iliyowachanganya sana CCM.
 
Vijana wa kiume na visichana vya KINONDONI ndio wanashindana. Tukukumbuke vijana wa kiume ni wavivu sana kwenye kupiga kura. Na CCM wanamtaji mkubwa sana kwa hilo.
 
Back
Top Bottom