CHADEMA wanafikiria namna bora ya kujitoa kwenye kinyang'anyiro cha ubunge Kinondoni na Siha

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Igwe wanaJF

Mambo ni hivi!! huenda wanamikakati wa Chadema sasa wanafikiria namna bora ya kuutangazia umma wa watanzania kuwa wanajitoa kwenye kinyang'anyiro cha ubunge Kinondoni na Siha. Kwa sasa itabidi waje na sababu mpya maanake ile ya kuminywa demokrasia wananchi wameichoka.

Wengi walimshauri Mbowe kutoshiriki ili kuepuka aibu na angeendelea na ile ile sababu ya kuwa wao 'wananyanyaswa na kuuawa' lakini kwa sasa baada ya uchaguzi siri itafichuka kumbe hata kwenye kata 43 na Longido wananchi waliwakataa.

Sasa mambo ni hivi..hivi....hiviii! Ni wakati was kuacha kujiaminisha Kongo na kuukubali ukweli kwamba Chadema imefubaa.

Naam,namaliza kwa kusisitiza....Chadema mambo ni hiviii!
 
Ujinga wako unafanya watanzania wote tuonekane wajinga.UKWELI ULIO WAZI NI KUWA CCM ILIKUFA TOKA 2013.....SAIVI CHADEMA WANASHINDANA UCHAGUZI NA POLISI,USALAMA WA TAIFA NA TUME.......CCM HAKUNA CHAMA.
Mambo ni hiviii.. Hivi
 
Mkuu udaku haufai kwenye siasa uzi umekaa kimbea mbea kuanzia heading hadi content ukipata Jambo tulia litafakari na ulete uandishi unaoeleweka sio kila mtu jf ni mdaku
 
Mambo ni hivi
Mshukuru Sudi Brown na shilawadu yake kwa kukupatia msemo vinginevyo wewe na kadegree kako ka chupi mambo ni ya hovyo upstairs! Huna ulijualo juu ya propaganda zaidi ya kuuza sura na umbea! Kwa mtazamo wako finyu unaamini kuwa ccm itashinda ilihali asubuhi na mapema cdm inatangaza mshindi! Vipi msaada wa Slaa unawapovusha ubongo? Slaa hana tofauti na mamba kwani kumeza bila kutafuna ni desturi yake na usisahau hafugiki na hana urafiki!
 
Igwe wanaJF

Mambo ni hivi!! huenda wanamikakati wa Chadema sasa wanafikiria namna bora ya kuutangazia umma wa watanzania kuwa wanajitoa kwenye kinyang'anyiro cha ubunge Kinondoni na Siha. Kwa sasa itabidi waje na sababu mpya maanake ile ya kuminywa demokrasia wananchi wameichoka.

Wengi walimshauri Mbowe kutoshiriki ili kuepuka aibu na angeendelea na ile ile sababu ya kuwa wao 'wananyanyaswa na kuuawa' lakini kwa sasa baada ya uchaguzi siri itafichuka kumbe hata kwenye kata 43 na Longido wananchi waliwakataa.

Sasa mambo ni hivi..hivi....hiviii! Ni wakati was kuacha kujiaminisha Kongo na kuukubali ukweli kwamba Chadema imefubaa.

Naam,namaliza kwa kusisitiza....Chadema mambo ni hiviii!
Subiri tarehe 17 ifike ndio ulete huu upuzi wako.
 
Vyovyote itakavyokua,

CDM wajue tu hawapambani na chama cha mapinduzi, hasa nyakati hizi, wanapambana na taasisi yenye ushirika wa kudumu na taasisi nyingine zenye nguvu kama polisi, mgambo, watu wasiojulikana, wakati mwingine jeshi na raia wachache aliojitoa ufahamu na kunywa maji ya bendera ya kijani kwenye kiangazi.

Cha maana sana kwa CDM ni kudumisha UKAWA na kuacha uchama, kumsimamisha anayekubalika na UKAWA kwa ujumla kuliko anayekubalika na CDM huku hakubaliki na CUF ama chama kingine cha siasa. UKAWA lazima ujiimarishe uwe na ngome Imara huku wakitambuana kikamilifu. Hapa naamini wataweza kua na fikra mtambuka na lazima matokeo watayaona hata kama siyo Siha na Kinondoni basi angalau 2020.

Najua CCM ilishakufa kitambo na yamebaki matambo na ubabe ila UKAWA msipojitathmini na kuchukua hatua hakika hamtabaki salama.

Yangu macho maana siku hazigandi.
 
Aibu waziri anawashwa washwa. Mpango wenu wa kuwanyima mawakala wa CHADEMA wasiapishwe hadharani. Jitayarisheni kwa kimbunga
 
Baada ya kuona Hali tete kwao sasa chadema wanajipanga kutimua mbio na kujitoa kinondoni.
Taarifa toka ndani inasema mkakati unapangwa na viongozi wa chama icho kuleta fujo kisa kujitoa.
Majuzi walipanga kuendesha kampeni kupitia misikiti lakini hata hiyo inaonekakana waumini wengi wakislam wamegoma kuwaelewa.
Mipango yao ya mwisho kwa sasa ilikuwa kuwanunua mawqkala wa ccm.
Check hapa picha ya mkutano wa ccm tandale Leo.
Ccm oyeeee
48aa17850af2e94b2bd6520724cf47d6.jpg
8bf3ee78a1d9a8ac0804246012879ebe.jpg
5b2d6ca4e7f7b2cc19a352fae8616a0b.jpg
 
Back
Top Bottom