CHADEMA wanaenda kuiongoza nchi, kinachochelewesha ni wananchi kuwa na hali ya "Fear of The Unknown" na "Resistance to Change"

Haiondoi ukweli chadema sio chama
Basi Jaji Mutungi ni mpumbavu, Ameambiwa asajili vyama vya siasa yeye kasajili hicho msemacho.
Spika wa Bunge ni chokoraa, wanaingia watu wanajiita wabunge wa chama cha siasa kumbe sio wa chama cha siasa bali wa hicho mnachokiita nyie sijui nini!
Rais naye sijui tusemeje maana anawatambua wabunge wasio wa chama cha siasa bali msemavyo.
Nadhani hapa cha hovyo itakuwa ni huo mfumo na sio hicho msemacho sio chama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati wa utoto kuna muda hadi nilikuwa nikifikiri kwamba ccm ikitoka madarakani basi Tanzania itakuwa kama Marekani huko na ulaya,tatizo ni ccm tu ndio kikwazo. Kwa upande wangu ilikuwa ni utoto ila kwa jinsi navyoona watu walivyojijaza chuki tu na kupania kuona ccm ikitoka madarakani ni wazi kuna watu bado wana mawazo kama niliyokuwa nayo utotoni kwangu.
 
Back
Top Bottom