CHADEMA, Wanachosubiri wanachama wenu mnakijua: Ni uchaguzi dhidi ya dola au umma

Nilichogundua ukiwa mtu wa kufuatilia haya mambo sijui viti maalum ,sijui mdee mara sijui Mbowe na mnyika unaumiza ubongo wako bure ni bora tu mtu ufanye mambo yako
 
CHADEMA wakiwafukuza wakina Mdee watapoteza mashabiki wao tu ambao sio wengi. BAWACHA karibu yote imewakana.
CHADEMA wakiwasamehe watapoteza imani ya wengi na hata BAWACHA wataamini kuwa kuna wenye chama chao.

Mbaya zaidi juhudi za ziada zinafanywa ili kuonyesha Mbowe yuko upande wao na Mnyika ndio mbaya. Wakisamehewa mzigo wote atatwishwa Mbowe na atabaki yeye, hao aliowatetea na system inayowapigia kifua.

Amandla...
 
Nyie jamaa wafuasi wa CHADEMA wote ni WAPUMBAVU na sitachoka kuwakumbusha. Hivi hamjiulizi yote yaliyotokea Mbowe yupo kimya!?.. Kama mnataka kuamini huu ni mchezo wa viongozi wa CHADEMA wakishirikiana na CCM, baada ya leo hutaona Mnyika akinyanyua domo lake kuongea lolote, ingawa kinyume chake alitakiwa mpaka Sasa hivi atoe tamko la kuishtaki tume kugushi sahihi yake. Ila NYUMBU zitaendelea kuitetea CHADEMA mitandaoni. Kuna watu huwa nadhani walitakiwa kuwa ng'ombe, hawawezi kutumia common sense.
Mpumbavu ni mumeo
 
Aisee
 
Kuna wakati sio wa kusikiliza wanachama kwa matakwa yao

Viongozi wanaangalia mambo kiundani zaid,

Nikupe mfano mmoja, wabunge 20 kila mmoja akitoa Milion 2 kwa mwez kwa miaka mitano chama kina Bilion plus

Hapo chama kimepata faida na mtaji wa kuanzia uchaguzi mkuu ujao

Je wanachama wanaweza kuchanga hizo ela? Tukianza na ww
Chama ni itikadi siyo fedha zilizojaa damu za wanachama wetu.

Chama chetu kinathamini haki na utu wa wanachama wetu.

Hatuwezi kamwe kwenda kuungana na mtu ambaye kashikilia maelfu ya wanachama wetu kinyume cha sheria.

Never
 
Kama.nchi hii inafuata utawala wa sheria na haki hapa kuna watu wangekwenda jela. Kama mnyika anakana kwa nafasi yake chama kutoshiriki huyo aliyepeleka majina ni nani na alipataje huo ujasiri??? Ingeundwa time huru kuchunguza na kila muhusika awajibishwe kwa nafasi yake kuanzia speaker na hao TISS waliomtoa mtu usiku gerezani

Chama ni itikadi siyo fedha zilizojaa damu za wanachama wetu.

Chama chetu kinathamini haki na utu wa wanachama wetu.

Hatuwezi kamwe kwenda kuungana na mtu ambaye kashikilia maelfu ya wanachama wetu kinyume cha sheria.

Never
Hiyo itikadi yenu ndio itaweka Gari za viongozi mafuta?

Hiyo itikadi yenu ndio italipa mishahara kwa wafanyakazi?

Hiyo itikadi yenu ndio italipa ukumbi wa mikutano?
 
Back
Top Bottom