CHADEMA wanaamini ikipatikana Katiba mpya CCM itaondolewa madarakani kidemokrasia kitu ambacho siyo kweli

Katiba ina mambo mengi na swala la Tume ya uchaguzi na taratibu zake ni sehemu kipande tu cha katiba.

Chadema wanapigania Katiba mpya kwa maslahi ya kimadaraka zaidi na siyo maendeleo ya jamii, ndio maana kilio chao kikuu kimekuwa ni Tume huru ya uchaguzi.

Niwakumbushe tu Chadema kuwa Katiba mpya siyo turufu ya kuitoa CCM madarakani bali vinahitajika vyama vya upinzani Imara visivyoendekeza njaa kuweza kuikabili CCM.

Ukiwa na vyama visivyo na njaa hata kwa katiba hii uchaguzi utakuwa huru kwa sababu wenye vyama vyao watalinda kura zao na hii tuliiona 2015 kule Iringa, Kawe, Mbeya, Arusha, Tunduma na Ubungo kwa Saed Kubenea.

Maendeleo hayana vyama!
Mbona usiseme CCM inaamini ikija Katiba mpya itaondoka madarakani?
 
Ccm hawakuasisi mchakato wa katiba mpya, bali baada ya uchaguzi wa 2010 ccm kusumbuliwa na hoja ya katiba mpya na cdm, JK kwa shingo upande ikabidi akubali mchakato wa katiba mpya ili kupooza joto lilikuwepo. Usichanganye JK kukubali mchakato wa katiba mpya kama rais, na uasisi wa hoja hiyo. Jitahidi kutengenisha mambo hayo.
Km kuasisi hoja ya katiba ya mpya iliasisiwa tangu enzi za mchonga ndio stering
 
Katiba ina mambo mengi na swala la Tume ya uchaguzi na taratibu zake ni sehemu kipande tu cha katiba.

Chadema wanapigania Katiba mpya kwa maslahi ya kimadaraka zaidi na siyo maendeleo ya jamii, ndio maana kilio chao kikuu kimekuwa ni Tume huru ya uchaguzi.

Niwakumbushe tu Chadema kuwa Katiba mpya siyo turufu ya kuitoa CCM madarakani bali vinahitajika vyama vya upinzani Imara visivyoendekeza njaa kuweza kuikabili CCM.

Ukiwa na vyama visivyo na njaa hata kwa katiba hii uchaguzi utakuwa huru kwa sababu wenye vyama vyao watalinda kura zao na hii tuliiona 2015 kule Iringa, Kawe, Mbeya, Arusha, Tunduma na Ubungo kwa Saed Kubenea.

Maendeleo hayana vyama!
Yaja siku moja ambapo dua la kuku litakuwa limeratibiwa uzuri na litampata mwewe pamoja na umahiri wake wote na umwamba wake wa kuelea angani na kushambulia kuku na vifaranga na wanyama wadogo wadogo.

Au kuku huyohuyo ataweka dau kubwa ambalo Mwewe hawezi kulikwepa.
 
Kikwete hakuikana ila aliyempokea kijiti hakuiweka ktk vipaumbele vyake
Ww kwanza una umri gani?,eti aliempokea, ni kweli aliempokea haikuwa kipaumbele chake lkn Kikwete aliufanya ule mchakato dk za mwisho ila ndio hivyo wabunge wa ccm wakaufanyia figisu
 
Katiba ina mambo mengi na swala la Tume ya uchaguzi na taratibu zake ni sehemu kipande tu cha katiba.

Chadema wanapigania Katiba mpya kwa maslahi ya kimadaraka zaidi na siyo maendeleo ya jamii, ndio maana kilio chao kikuu kimekuwa ni Tume huru ya uchaguzi.

Niwakumbushe tu Chadema kuwa Katiba mpya siyo turufu ya kuitoa CCM madarakani bali vinahitajika vyama vya upinzani Imara visivyoendekeza njaa kuweza kuikabili CCM.

Ukiwa na vyama visivyo na njaa hata kwa katiba hii uchaguzi utakuwa huru kwa sababu wenye vyama vyao watalinda kura zao na hii tuliiona 2015 kule Iringa, Kawe, Mbeya, Arusha, Tunduma na Ubungo kwa Saed Kubenea.

Maendeleo hayana vyama!
Nafikiri ni vyema ulione suala la katiba mpya kwa upeo mpana zaidi. Vyama vya siasa ni vyombo muhimu katika kuwezesha maisha bora kwa watanzania LAKINI mfumo mzima wa utawala bora ni muhimu zaidi katika kuhakikisha Watanzania wanakuwa na sauti na uwezo wa kujitegemea na kujitengenezea maisha bora zaidi kila kukicha. Kuwepo madarakani kwa CCM au CHADEMA au chama chochote hakusaidii taifa endapo mazingira ya kiuchumi, kijamii na kisiasa yataendelea kuwa ovyo kama yalivyo sasa. Inasikitisha kuona hata chama tawala na bunge wanasubiri Rais atoe mawazo ndipo washangilie na kuunga mkono badala ya kumpa ushauri na miongozo makini juu ya mambo yanayotakiwa kufanyika.

Kurekebisha mazingira hayo ndilo lengo kuu la kuwa na katiba mpya makini. Sio utaratibu wa sasa ambapo mtu akiwa Rais peke yake anaamua nini kifanyike - hahitaji wala halazimiki kuzingatia ushauri na maamuzi ya mihimili mingine au taasisi muhimu zinazohusika na masuala anayoyaamua. Anaweza kutupilia mbali mipango ya kitaifa na vipaumbele vya miradi ya maendeleo alivyokuta vimeandaliwa na kupitishwa rasmi na kuamua vyake. Anaweza akapangua muundo (structure) wote wa serikali na taasisi za umma, akavuruga miongozo, taratibu na kanuni za uteuzi, ajira na utendaji kazi na kuzipanga anavyojisikia. Halazimiki kuzingatia katiba wala sheria. Anachoamua ndicho hupewa uzito (precedence). Watu wote wanalazimishwa kutii kila anachoamua kifanyike hata kikiwa na madhara kiasi gani kwa wananchi. Hiyo ni virtual state dictatorship (of the executive). Ni hatari sana kwa mustakabali wa taifa.

Katiba mpya inalenga kuondoa huo mushkeli mkubwa sana katika taifa hili. Ni vyema wakati mwingine uwasahau CHADEMA na kuiona hii PICHA KUBWA. CCM yenyewe haiko salama kwa mfumo wa sasa. Mwendazake alionyesha vizuri sana jinsi mtu mmoja anavyoweza kusambaratisha kwa wiki moja taasisi kubwa iliyojengwa kwa miongo kadhaa.
 
Ukweli ni upi na uongo ni upi Sasa, au ule mpango wa malipo kwa utetezi umefufuka.
 
Wanajukwaa miongoni mwa kazi kubwa iliyo mbele yetu ni kuwasaidia walio wengi kutambua matatizo yeti kama taifa na suluhu za shida iliyopo kwa kuanzia kwenye katiba mpya ambayo itatuelekeza kuyakabili matatizo mengine mengi yanayochangiwa na udhaifu uliopo ukihanikizwa zaidi na aina ya katiba tuliyo nayo hivi sasa.
 
Katiba ina mambo mengi na swala la Tume ya uchaguzi na taratibu zake ni sehemu kipande tu cha katiba.

Chadema wanapigania Katiba mpya kwa maslahi ya kimadaraka zaidi na siyo maendeleo ya jamii, ndio maana kilio chao kikuu kimekuwa ni Tume huru ya uchaguzi.

Niwakumbushe tu Chadema kuwa Katiba mpya siyo turufu ya kuitoa CCM madarakani bali vinahitajika vyama vya upinzani Imara visivyoendekeza njaa kuweza kuikabili CCM.

Ukiwa na vyama visivyo na njaa hata kwa katiba hii uchaguzi utakuwa huru kwa sababu wenye vyama vyao watalinda kura zao na hii tuliiona 2015 kule Iringa, Kawe, Mbeya, Arusha, Tunduma na Ubungo kwa Saed Kubenea.

Maendeleo hayana vyama!
mkuu shule ulienda kusomea UJINGA?
 
Ukweli ni Kua, kwa pamoja Policcm wanajua fika, chini yao kuna watu wameumizwa, wameteswa, wamepotea ,wamefilisiwa nakila aina ya Uovu.

Wanajua, siku Upinzani Ukichukua Nchi, Aliyesamehe Makaburu ni Nelson Mandela tu na hatotokea mwingine.

Kwa mantiki hiyo....ni mkataba wa maisha...POLISI Kuipigania CCM ..na CCM kuwatetea Polisi.

Nahiyo ndio Tanzania.!!!........

Tunaposema KATIBA MPYA , kwa wenye akili , hatuangalii tu suala LA CDM kushinda uchaguzi,,Bali kwa faida ya Taifa zima kupitia mambo mbali mbali ambayo kwa sasa, kila mmoja anasema hiiiiiiiiiiiiiiiii!! .
moja ya lengo kuu la Chama cha siasa ni kushika dola, hili la kwanza kabisa. Unafahamu hili kweli?
 
Mleta uzi kama unaamini katiba mpya haiwezi kuwatoa CCM madarakani, basi naomba uwe wa kwanza kudai katiba mpya , katiba mpya ni mwiba kwa CCM , wakiruhusu utawachoma
 
Wanaohitaji Katiba mpya siyo Chadema peke Yao hata ndani ya CCM wapo na wale wasio na vyama. Lengo kuu ni Katiba itakayapunguza Madaraka ya Rais.

Hivi sasa Rais wa Chama tawala anaamua tu kuzuia vyama vingine visifanye mikutano ya hadhara ili viweze kujijenga Kisiasa pamoja na kujitafutia wanachama wapya.

Pili Rais kuwateua watendaji wa Mhimili mwingine yaani Mahakama. Hii ndiyo kero kuu kwa wale wote wenye kupenda utawala wa sheria haki na usawa kwa wote.
 
Bila katiba mpya Tz kupata maendeleo ni ndoto. Kuna Sheria nyingi sana za ovyo na ndio mwiba ktk kuleta maendeleo. Sheria inayozuia kushitakiwa kwa baadhi ya viongozi kwa makosa yao waliotenda wakati wakiwa madarakani, ndio mwiba mkuu unaotudumaza
 
Sina kumbukumbu nzuri, ila nafikiri ni Moja ya mabadiliko ya Sheria yaliyofanyika kwa miswaada Ile ya hati ya dharua awamu Ile ya 5.chini ya mkuu wa muhimili wa bunge chini ya uongozi wa mkuu wake wa Sasa ambaye pia ni mnufaika wa Kinga ya kutoshitakiwa kwa matendo yake akiwa uongozini.
 
Sina kumbukumbu nzuri, ila nafikiri ni Mmoja ya mabadiliko ya Sheria yaliyofanyika kwa miswaada Ile ya hati ya dharua awamu Ile ya 5.chini ya mkuu wa muhimili wa bunge chini ya uongozi wa mkuu wake wa Sasa ambaye pia ni mnufaika wa Kinga ya kutoshitakiwa kwa matendo yake akiwa uongozini.
Sheria ya kijinga sana, yahaani watawala wametufanya watawaliwa wote mazezeta. Na Ile Sheria ya kutokupinga mahakamani matokeo ya uchaguzi ya kura za urais ni ya kutupilia mbali. Sametimes huwa nikizikiria HIZI sheria huwa najiuliza sisi tz tumelogwa au nini, kwanini hatukuzikataa HIZI sheria on the first place??
 
Wakulaumiwa wanakijani, na wale wale wote ambao ni wazalendo maslahi huku, wakiwadanganya wadanganyika kuwa wao ni wazalendo wa kweli na wanawapenda wadanganyika.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom