Chadema wamvutia pumzi lowasa,wasema hawababaiki,hana jipya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema wamvutia pumzi lowasa,wasema hawababaiki,hana jipya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Imany John, Mar 18, 2012.

 1. Imany John

  Imany John Verified User

  #1
  Mar 18, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,776
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  MWENYEKITI wa Chama cha
  Demokrasia na Maendeleo,
  (Chadema), Freeman Mbowe
  amesema chama chake
  kinamgonja kwa hamu Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward
  Lowassa katika kampeni za
  uchaguzi mdogo wa jimbo la
  Arumeru Mashariki mkoani
  Arusha.

  Kauli ya Mbowe
  inatokana na habari zilizoenea Arumeru ambazo pia
  zimethibitishwa na watu
  walio karibu na Lowassa,
  zikisema Mbunge huyo wa
  Monduli (CCM) wakati wowote
  atatua Arumeru Mashariki kumpigia kampeni mgombea
  wa chama chake, Sioi Sumari. “Mzee (Lowassa) ni kweli
  kwamba ana mpango wa kuja
  hapa kumpigia kampeni
  mgombea wetu wa CCM,
  inaweza kuwa ni wiki ijayo au
  wiki ile nyingine, nadhani bado anajipanga.

  Ila taarifa za
  uhakika ni kwamba
  atakuja,”alisema mmoja wa
  makada wa CCM jana asubuhi.

  Chanzo: mwananchi.
   

  Attached Files:

 2. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Nildhani EL atakuwa kwa bedrest for sometimes!
   
 3. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #3
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Wapi. Mwenyewe kasema yuko fit kwa mapambano!
   
 4. K

  Kaseko Senior Member

  #4
  Mar 18, 2012
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Lowasa sisi tunamheshimu sana kama anaona kuwa madonda ya uwaziri mkuu yamepona na makovu yamefutika aende Arumeru, Na sisi tutaenda kuwaambia wananchi kuwa kama ana uchungu sana wanameru aliwafanyia nini kipindi akiwa waziri mkuu.
  Na ardhi ya wameru ilihodhiwa na walowezi kipindi akiwa waziri wa ardhi, kama hana mshipa wa soni aende tu asije akakimbilia mahakani kama anavyovifanyia vyombo vya habari.
   
 5. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #5
  Mar 18, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Huyu EL nina hofu kapoteza network full!
   
 6. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #6
  Mar 18, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,929
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Siyo hivyo tu ... Hata mke wake kasema mumewe yupo fiti!


   
 7. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #7
  Mar 18, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,075
  Likes Received: 6,538
  Trophy Points: 280
  Anatafuta balaa. amulize mkapa yaliyomkuta.
   
Loading...