CHADEMA wamtolea uvivu Gwajima

Duh...!.
Kama hata Kamati tendaji ya tawi tuu inaweza kulaani, then Chadema kila mtu ni kambale ana sharubu.

Askofu Gwajima kaomba kibali kwa PM, anakwenda kumaliza tatizo la Corona kwa kuponyesha wagonjwa wote mahospitalini waliolazwa kwa Corona.

Askofu Gwajima Atoa Kali, Aomba Kibali Serikalini Kuponya Wagonjwa wa Corona Mahospitalini, kwa Kutumia Miujiza ya Nguvu za Mungu!. - JamiiForums
P
Kwa pamoja tunalaani kitendo cha mchungaji Gwajima cha kuwashambulia viongozi wa CHADEMA katika madhabahu ya kanisa lake la ufufuo na uzima Jumapili iliyopita!

Aidha tunapenda kumjulisha Gwajima kwamba viongozi wetu wa CHADEMA wanamwamini Mungu na kumtumaini pia!
Pamoja na hayo viongozi wetu hawana desturi ya kuangamizwa kisa kukosa maarifa!
 
Maisha yanakimbia, wakati Gwajima anashinda NECTA kutafuta vyeti vya Bashite Chadema kuanzia Mbowe hadi Yericko kila jumapili walikuwa wanawahi siti za mbele
Ukichagua kuwa Jiwe daima utabakia kuwa Jiwe

In God we Trust
 
Nikikumbuka wkt Gwajima anashangiliwa humu akiwa na ugomvi na Makonda haaaa haaaa kweli binadamu hatari sana! Ilikuwa mpaka watu wanapanga jpili flani wataenda kusali kwa Gwajima washangilie akimpolomoshea matusi Makonda Leo naona iko upande wao sasa!

Wale tusio na upande wa kushangilia tunawaangalia tu!

Sent using kidole gumba
Makonda unamjuwa wewe

In God we Trust
 
Kamati tendaji viongozi wa matawi wanachama wapenzi na mashabiki wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kata ya Somangila

Kwa pamoja tunalaani kitendo cha mchungaji Gwajima cha kuwashambulia viongozi wa CHADEMA katika madhabahu ya kanisa lake la ufufuo na uzima Jumapili iliyopita!

Aidha tunapenda kumjulisha Gwajima kwamba viongozi wetu wa CHADEMA wanamwamini Mungu na kumtumaini pia!
Pamoja na hayo viongozi wetu hawana desturi ya kuangamizwa kisa kukosa maarifa!

CHADEMA tunaamini kwamba kama tunaweza kulala katika vyandarua vyenye dawa ili kujilinda na malaria vivyo hivyo kuna haja ya kujikinga na vyanzo vya corona! Kama malaria haizungushiwi uzio wa moto kadhalika na corona haitazungushiwa!

Viongozi wa CHADEMA kwakujua umhimu wa kuchukua tahadhari walipendekeza wabunge wote wapimwe corona lakini hakuna utekelezaji uliofanyika kisa chuki binafsi dhidi ya upinzani hususani CHADEMA!

Mchungaji Gwajima wewe kinacho kukera ni kukosa moyo wa huruma kwa watanzania ambao wako wanakufa kwa corona nanyi mkisingizia mapenzi ya Mungu!

Uliposikia kwamba makanisa yafungwe kwa muda wewe akili yako ikawazia sadaka na mafungu ya kumi kuliko uhai wa waumini wake!

Dhana ya Gwajima ya kuwahadaa waumini wake kwamba amewazungushia uzio wa moto ili wasipatwe na corona nyumayake kuna roho ya Kibwetele!

Sisi kama CHADEMA kata ya Somangila tunamtaka Gwajima azungushie uzio huo wa moto katika shule na vyuo ili watoto wetu waendelee na masomo!

Aidha CHADEMA kata ya Somangila tuna mashaka na uchungaji wa Gwajima kwamba maana hata kauli mbiuyake ya WAPIGWE EE! Sio ya kichungaji!

Mbaya zaidi ni kwamba inashabihiana na matamko ya viongozi wa serikali ya chama cha Mapinduzi kuliagiza jeshi la polisi kuwapiga wapinzani hususani CHADEMA

Gwajima tangu watanzania walipo anza kupotea kutekwa kupigwa risasi kupewa kesi kuzuia shughuli halali za kisiasa ikiwa ni pamoja na mikutano mbona hukusimama na kukemea wakati unajua kabisa kwamba hiyo ni dhuluma??
Hakika Gwajima wewe ni mchungaji wa mshahara kondoo unawakamua lakini hujali maisha yao dhidi ya corona! Yoh 10:12

Mwisho kabisa CHADEMA kata ya Somangila tuna wasihi waumini wa kanisa la ufufuo na uzima mwe macho corona ipo na ina ua chukueni hadhari hakuna uzio wa moto mlio zungushiwa mtakufa kizembe kwa kukosa maarifa!

By Afisa habari Somangila

View attachment 1446180

In God we Trust
Dini biashara kwa hii mtu sijui kwann kondoo hawastuki pamoja na uno kwa kondoo wake
 
Unajua hawa wajinga wa wapi...wakipata nafasi ni hatari sana. Askofu wa wajinga adhibitiwe huyu.
 
Kwa pamoja tunalaani kitendo cha mchungaji Gwajima cha kuwashambulia viongozi wa CHADEMA katika madhabahu ya kanisa lake la ufufuo na uzima Jumapili iliyopita!

Aidha tunapenda kumjulisha Gwajima kwamba viongozi wetu wa CHADEMA wanamwamini Mungu na kumtumaini pia!
Pamoja na hayo viongozi wetu hawana desturi ya kuangamizwa kisa kukosa maarifa!
Hilo halina ubishi kuwa viongozi wa cdm hawawezi kuangamia kwa kukosa maarifa.

Mfano halisi ni jinsi gani wabunge wetu walivyo amua kusamehe posho na marupurupu mengine na kwenda makwao ili kujilinda na corona

In God we Trust
 
Alipokuwa akimshambulia Makonda na dk slaa mlikuwa mnapiga makofi kwa miguu sasa wembe kaugeza mnasema mnakatwa tulieni mnyolewe na makonzi yawaingie dadeeeki bado yule kigogo nae akija kujivua ngozi yake na kuvaa halisi mtatafutana!
Tuwe tunatafakari watu wanaunga nini mkono.Kwani si kweli bashite hakuonyesha vyeti vya elimu Kama watumishi wengine?Sasa azungushie wa moto nchi nzima ili corana iungue?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom