CHADEMA wamruhusu Zitto kufanya apendacho

KadaMpinzani versus Mwanakijiji? Hapa na wapi!

Tena sio embe dodo versus, nini? starfruit ... if you know what I mean!

Mkjj, hata kujitetea kwako katika mambo kama hayo kunakuchafulia jina. It is not for you to......., let open minded people judge by what is on record in JF.
 
NAPENDA KUTOA RAI

Mnajua wengine tumekimbia vijiwe vya siasa, kukataa mambo kama haya!!!

kwamba mimi ni chadema/ccm/cuf/tlp/ (sijui na vingine vinaitwaje) lolote linaloashiria maslahi kwa chama changu (sometimes hata kama lina athari kwa taifa) basi nami naunga mkono tu. Na kama hoja haiungwi nkono na chama changu au haina maslai kwetu basi huo ni uzushi, fitna, ufisadi, wizi nk nk. Huwa hatusutwi na nafsi zetu na hata bila woga mara nyingi tunatumia uongo, kupandikiza chuki, nk ili muradi kutimiza azma zetu hizo.

Mara nyingi ukisoma mijadala ya kisisasa humu JF unaona kabisa kuwa hata wale ambao wamekuwa msitari wa mbele kuelimisha kwa busara na hekima umuhimu wa uzalendo huwa wananasa katika mtego wa SISI TUKO SAHIHI, WAO LA HASHA!!! Mbaya zaidi mijadala mingi ambayo mingi inahusu mambo nyeti ya taifa huishia ama kwa malumbano ya ushindani wa kivyama au mara nyingine hata mada hubadilika kabisa. Inasikitisha kuwa haya yanafanyika humu humu jamboforum na baadhi yetu bila kutanguliza manufaa kwa taifa kwanza.

Kama Mzee mkjj ni CHADEMA hiyo ni stahili yake, KADA nae kama ni CCM hiyo pia ni stahili yake. Hawa wote nawaheshimu sana, sio kama wao bali kwa mchango wao mkubwa humu Jambo forum. Kitu ambacho nawakumbusha kuwa si stahili yao ni pale watapoweka uchama wao mbele ya Utanzania wao kama (kwa mfano mmoja tu kati ya mingi)vile anavyofanya mwafrika wa kike!! Si dhambi kuwa na chama, si dhambi kutetea chama chako, si dhambi pia kunadi sera za chama chako humu JF. Kosa ni pale unapotumia Bites za JF kupost uovu kwa taifa tu kwakuwa unataka kukiweka chama chako vizuri mbele ya wapiga kura.(pengine hapa mkitaka kunielewa vizuri basi angalia tofauti kati ya Mnyika na M/Kike)

Niliwahi kusema kuwa YAWEZEKANA SIKU MOJA UKAWA SI CCM/CHADEMA TENA ILA HAIWEZEKANI UKAWA SI MTANZANIA. HATA UKIUKANA URAIA, DAMU YAKO SIKU ZOTE ITABAKIA KUWA YA-BONGO TU!

Tuache ushabiki tujadili mambo!!!!!!! Utaifa mbele!!!

NAPENDA KUWAKILISHA RAI
 
Poor Bokassa,

yaani hadi unatia huruma.

mwafrika wa kike amekufanya usisome siasa?
Tafuta sababu nyingine ila hii unachemsha.

Kama unafikiri kuwa kuweka na kuchambua mkataba wa buzwagi, iptl, richmonduli, wizi wa BOT, rada, kiwira, safari za JK, wizi wizara ya ujenzi, nk yote yamefanyika sio kwa kujali utaifa wa Tanzania basi inabidi utafute maana mpya ya utaifa.

Laiti ungejua kitu gani kiliendelea behind the scene kabla hii mikataba yote haijawekwa hapa. Laiti ungejua jinsi Mwanakijiji, Invisible, na wengine walivyoweka mambo mengi kwenye line ili hiyo mikataba iwe hapa.

laiti ungejua ni siri ngapi za serikali zinapita hapa JF kupitia PM na kwenda kwenye magazeti ya bongo bila kubandikwa na yoyote hapa? Laiti ungejua kuwa ilionekana kuwa maisha yangu na baadhi hapa yalikuwa hatarini siku chache kabla baadhi yetu hatujaamua kuweka parts za Buzwagi hapa kwa kutumia ID zetu?

hata hivyo sidhani kama unayajua haya. Ni vyema hata hivyo kama ukifikiria unavyotaka. Kila mtu anafanya mambo yake hapa kwa namna anaona bora katika kulijenga taifa. watu wote hatufanani na haitatokea hata siku moja tukawa sawa.

Mimi nitakuwa hapa JF nikifanya ninachofanya for a long time as longer as niko alive na JF iko hewani. Inabidi sasa ujifunze tu kuishi na mimi maana la sivyo una safari ndefu sana mbele yako.
 
Duh, nilidhani ushapumzika mama!!

Ila ni RAI tu, ukiwa kama mkjj au mnyika utapendeza zaidi!!
Kweli dear mchango wako mkubwa!!!
 
Poor Bokassa,

Mimi nitakuwa hapa JF nikifanya ninachofanya for a long time as longer as niko alive na JF iko hewani. Inabidi sasa ujifunze tu kuishi na mimi maana la sivyo una safari ndefu sana mbele yako.

Itabidi ameza vidonge tu, atafanyeje sasa. Yaani anajifanya mtu wa mabusara kumbe hamna lolote!
 
Poor Bokassa,

yaani hadi unatia huruma.

mwafrika wa kike amekufanya usisome siasa?
Tafuta sababu nyingine ila hii unachemsha.

Kama unafikiri kuwa kuweka na kuchambua mkataba wa buzwagi, iptl, richmonduli, wizi wa BOT, rada, kiwira, safari za JK, wizi wizara ya ujenzi, nk yote yamefanyika sio kwa kujali utaifa wa Tanzania basi inabidi utafute maana mpya ya utaifa.

Laiti ungejua kitu gani kiliendelea behind the scene kabla hii mikataba yote haijawekwa hapa. Laiti ungejua jinsi Mwanakijiji, Invisible, na wengine walivyoweka mambo mengi kwenye line ili hiyo mikataba iwe hapa.

laiti ungejua ni siri ngapi za serikali zinapita hapa JF kupitia PM na kwenda kwenye magazeti ya bongo bila kubandikwa na yoyote hapa? Laiti ungejua kuwa ilionekana kuwa maisha yangu na baadhi hapa yalikuwa hatarini siku chache kabla baadhi yetu hatujaamua kuweka parts za Buzwagi hapa kwa kutumia ID zetu?

hata hivyo sidhani kama unayajua haya. Ni vyema hata hivyo kama ukifikiria unavyotaka. Kila mtu anafanya mambo yake hapa kwa namna anaona bora katika kulijenga taifa. watu wote hatufanani na haitatokea hata siku moja tukawa sawa.

Mimi nitakuwa hapa JF nikifanya ninachofanya for a long time as longer as niko alive na JF iko hewani. Inabidi sasa ujifunze tu kuishi na mimi maana la sivyo una safari ndefu sana mbele yako.

Mwafrika wa Kike,

Naona umejitetea kweli kweli. Hakuna haja ya kuogopa kutoa mawazo yako ili mradi unayaamini. Haya ni mapambano ya fikra na hoja hujibiwa kwa hoja.

Wakati mwingine ni ngumu sana kwa kila mtu kuona upande wa pili wa shilingi lakini hilo si hoja, bora tunajadiliana na kuelemishana bila kutukanana au kupigana mangumi/risasi.
 
KadaMpinzani versus Mwanakijiji? Hapa na wapi!

Tena sio embe dodo versus, nini? starfruit ... if you know what I mean!

Mkjj, hata kujitetea kwako katika mambo kama hayo kunakuchafulia jina. It is not for you to......., let open minded people judge by what is on record in JF
.

Mwanakijiji hatupendi kukuambia nani wa kumjibu au nini cha kuandika ila Moto wako wa kuwa makini na mijadala naona umepungua sana.Nimequote hapo juu kukuonyesha namna watu wanavyoona sasa.
Ni vigumu kusoma issue ambayo inaboa kisha ukashindwa kuanza kumfikiria mtu aliyeandika uwezo wa akili yake,umri wake nk. Mfano Kada Mpinzani.
Inawezekana mwanakijiji ukawa unajibizana na katoto kadogo ambako babayake ni MwanaCCM na kametokea kukuwekea ugimbi kutokana kuikosoa CCM.Kanaandika issues nyingi lakini ni pumba kwelikweli na zinaboa hata kuzisoma.
 
Lakini Chadema kama isue kama hii Zito kuchaguliwa kwenye kamati mkaitisha vikao ili kujadili kwangu hiyo inaonyesha jinsi msivyokuwa na mambo ya maana ya kufanya na upotevu wa muda...issue gani hii ya kujadili chama kikubwa kama hiki,big dissapointment wakubwa hapo nani dalili mbaya
 
Back
Top Bottom