CHADEMA wamjibu spika Ndugai kama hatupo Dodoma tueleze tulipo

Daah haya ndio majibu ya chama kikuu cha upinzani we are doomed.

Jamaa wanacheza kombolela na Spika.

Huo muda wa kucheza kombolela na Spika mlipaswa kuwa bungeni.

Msisahau tu kurudisha hela mlizopokea.
 
Kuna kizazi kitakuja tushangaa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi kuona spika wa ajabu kama huyu. Na hatakaa atokee tena.
Ila CHADEMA wana takiwa kujifunza kutoka kwa Ndugai. Wakati bunge lina anza 2015 Chadema ndio walikuwa wapiga debe wa Ndugai kwamba ana faa kuwa spika. Sasa huu utumbo wote unao fanywa na Ndugai Chadema mna takiwa mjifunze...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah haya ndio majibu ya chama kikuu cha upinzani we are doomed.

Jamaa wanacheza kombolela na Spika.

Huo muda wa kucheza kombolela na Spika mlipaswa kuwa bungeni.

Msisahau tu kurudisha hela mlizopokea.
Hienda wanakula Kodi zetu Guest House, si unajua siku hizi Hakuna kwenda Dubal
 
Daftari la mahudhurio bungeni ndie msemaji wa kweli kuwa chadema wako dodoma au hawako dodoma sio.kazi yake kujua wako guest gani . Dodoma au dar !!!
Agenda kubwa inayojadiliwa ulimwenguni kuhusu Wabunge wa Chadema kutokuwepo Bungeni na kusababisha bunge kuwa kama kikao cha kitchen party ni sababu za kutoka kwao sio hayo mengine.
Imegundulika kuwa Bunge lina kawaida ya kuwalipa wabunge na mawaziri sitting allowance in advance kisha wengi wao wanaondoka na kwenda kwenye mambo mengine huku tayari wamelipwa. Na hao mawaziri ndio usiseme kabisa.
Bunge linawalipa perdiem na sitting allowance in advance, kisha wanatoka pale kwenda kwenye ziara zingine na Wizara zao zina walipa tena pet diem kwa siku hizo hizo. Wizi mtupu.
Ndugai kakurupuka, lakini hili jambo halina shida sana kwa wabunge wa Chadema kwani kulipwa in advance waweza kukatwa malipo ya vikao vitakavyo fuata. Jee hao waliolipwa Mara mbili fedha za umma kwa miaka kadhaa itakuwaje yakichimbuliwa?
Spika Ndugai, aangalie kuchamba kwingi ni kushika .....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugai kakurupuka, lakini hili jambo halina shida sana kwa wabunge wa Chadema kwani kulipwa in advance waweza kukatwa malipo ya vikao vitakavyo fuata..
Hakuna cha kukatwa vikao vijavyo mnajikopesha bila ruksa ya mwajiri? Mkopo wowote lazima uuombe na uidhinishwe na mwajiri huwezi amua tu kujikopesha kuwa ohhh Mimi hii hela niliyojichukia kinyume na taratibu najikopesha utanikata mbeleni ukifa Leo tutakukata wapi? Halafu huwezi tu jiamulia kuwa posho uw mkopo!!! Rudisha zote halafu omba mkopo kama unataka ndipo use me nitakatwa mbeleni rudisha kwanza
 
Back
Top Bottom