CHADEMA wameuza utu na Chama chao. Je, watapata nini 2025?

Kijakazi

JF-Expert Member
Jun 26, 2007
6,398
8,883
Je, CCM ya ,, wenyewe“ itawapa walichoahidiana 2025 au itawasaliti ? Chadema watafanyaje watamwaga mboga? Kwani ukweli ni kwamba hawatapata kitu kutoka kwa ,,wenye Chama“ .

Kesi ya Mbowe ni kiini macho, chadema wame-sale out, tena, walifanya kwa Lowasa sasa hivi wamefanya tena …
 
"CCM ya wenyewe" inajua check & balance, wapinzani watakuwa wengi tuu bungeni na mambo yatarudi kama zamani.
 
Bora ile CCM 'asilia' ya iliyoishia Awamu ya Nne,sio ile ya Wauwaji ilioasisiwa na Awamu ya Tano.

Hiyo ya Awamu ya Tano iliyokuwa inamsikiliza Musiba na Majungu yake.
 
Back
Top Bottom