CHADEMA wameshindwa kwenda na kasi ya ukuaji wa chama hawafai kupewa nchi

kidole007

JF-Expert Member
Dec 22, 2012
3,094
1,873
Aids day, 1 Dec 2013

ukuaji ni hatua ya kuelekea ukomavu (maturity)

hata mwili wa binadamu unaanza na single cell unakua hadi kufikia kiumbe kamili

katika ukuaji kuna ukuaji wa kawaida, ukuaji uliozidi (rapid growth) na retarded growth.

Lengo lolote la ukuaji ni kufikia ukomavu

chadema kama chama kina experience rapid growth spurts

changamoto moja ya ukuaji wa haraka kuliko kawaida ni pamoja na migogoro

watoto wa miaka 1-5 ambao hu experience rapid growth spurts kama mwili utashindwa kwenda na kasi hiyo ya ukuaji ndio tunaona migogoro ya kifya kwa watoto kama iron deficieny anemia, na magonjwa mengine

chadema sasa ipo kwenye mgogoro wa ndani ambao ni matokea ya ukuaji uliozi kiwango ivyo kupelekea tofauti ya mitazamo na misimamo

uongozi wa juu wa CDM kama mwili wa CDM ni wazi umeshindwa kwenda na kasii hii ya ukuaji

ndo maana migogoro ambayo kimsingi ilipaswa kuwa ya ndani sasa tunaiona nje

wenye kumbukumbu ya enzi za mwalimu mtakumbuka kesi za uhaini enzi za Tanu chama kilikuwa kichanga lakini leo hayo hayapo CCM,

chama kimekomaa kina solve internal dispute ndani kwa ndani

kama healthy body inavyo pambana na infetions ndani kwa ndani..

Hivyo basi chadema haipo tayari kupewa nchi maana hakija komaa ipasavyo

even though CCM imefikia stationary growth patterns
ni salama kwa taifa mara mia zaidi ya chama pendwa cha cdm
ambacho kasi ya ukuaji imeanza kukishinda..

.....Ukimpenda utamlinda..
 
Hizi ni swaga za kutongezea demu, zinakuwa mbaya kwa sababu zinazorotesha jitihada za mapambano dhidi ya maambukizo mapya ya HIV kama ulivyotukumbusha kuwa leo ni siku mahsusi kwa mapambano dhidi ya virus vya HIV
 
CDM wameshindwa kushughuikia migogoro kichama wataweza ya kitaifa?
 
Hapo nakunga mkono coz tatizo cdm kila mtu muongeaji hakina muongeaji maalum wamekuwa kama timu ya mpira ugomvi Wa ndani ya chama utatangazwa mpaka nje. Hawafai siri za ndani wanatoa nje.
 
Kweli kabisa mkuu, mie nilikuwa namheshimu mno Tundu Lisu lakini kwa sasa naona amelewa uanasheria wake maana pahali popote yeye anaona ni mahakamani tu.
 
Lumumba b7 mmepima? Au akipima "mkubwa" na nyie mnajua hamna sio?
 
Like most opposition parties in Africa, Chadema rose very rapidly in the last eight years posing serious threat to one of the Africa's invisible and strongest ever ruling party, CCM. Through its manifesto-Haki Sawa kwa wote, strengthened by evidence of grant corruption during the reign of 3rd Government since Tanzania independence, Chadema wooed a majority of Tanzanians in support. Chadema took advantages of the fact that Tanzanians are slow thinkers, an inherited genes from the first Government led by Julius Nyerere. During this time most social services, i.e., education, health etc, were free for all, thanks to the two blocs in existence; East and West.

The fall of communism coupled with heavy spending in one of Africa's unnecessary wars that Tanzania ignited against Uganda plus breakup of east Africa community saw the upturn of events.The countries' budget for the last time balanced in 1977, and it has never done so ever since. Tanzanians were thus forced to dig deeper into their pockets to help the Government meet its means. It is from this time there have been a lot of complains from Tanzanians who before were living in the superficial heaven with free services. Many Tanzanians, surprisingly, even the new generations, would want to have everything in their hands with zero efforts. Majority think there will come a time by which they will get free education, medical services, money and housing based on what is available around as natural resources. Chadema strongly capitalized on this. despite knowing that they cant meet even a quarter of their promises, Chadema has kept Tanzanians in suspense with false givings. Some members from within the party have started sensing the danger of this precedence. Power struggle and high level of nepotism as well as tribalism shifting in a northerly direction has further complicated issues within Chadema. A very wrong timing of Zittos' drama and suppression of new ideas set a dangerous shift in the way Chadema is perceived todate.

Should we regard this as a FALL of Chadema?
 
Ni ama hauelewi kinachotokea ndani ya CHADEMA au umeamua kupotosha kwa maksudi.
Kwanza; kinachotokea sio tofauti ya mitizamo bali ni uasi wenye lengo thabiti la kuua chama.
Pili ; njia bora ya kushughulikia wanaovunja katiba na kukiuka misingi na maadili ya sehemu yeyote ile sio kuyamaliza ndani ndani kama wewe unavyotaka kupendekeza, bali ni kuwachukulia hatua stahiki kwa mujibu wa katiba na miongozo husika, mbali na hivyo ni kuogopa watu waovu wasio na mapenzi mema.

Kushamiri kwa wizi, ufisadi, uhujumu uchumi, ujangili, matumizi mabaya ya madaraka na ukosefu wa maadili ya viongozi ndani ya Chama Cha Mapinduzi cha leo ni matokeo ya kuogopa kuchukulia hatua stahiki waovu.

Ndio maana hata leo hii CCM wanapinga kuwepo kwa kipengele cha maadili ya viongozi ndani ya katiba mpya, maana hawajazoea na hawawezi kufuata maadili ya uongozi. Hongera CHADEMA, maana imethubutu kuwachukulia hatua watovu wa nidhamu.
 
Hata mimi Tindu Lissu nilikuwa namuheshimu lakini perception yangu kuhusu yeye imebadilika kabisa. Suala la Zitto ana li personalize utafikiri ana ugomvi binafsi na Zitto. Yeye aliposhinda rufaa ya kupinga ubunge wake alitoa machozi lakini kwa mwenzake anasema wamefukuzwa akisahau yote waliyoyatendea chama.
Naanza kufikiria kuwa Ndugai yuko sahihi kuhusu behavior ya Lissu
 
Aids day, 1 Dec 2013

ukuaji ni hatua ya kuelekea ukomavu (maturity)

hata mwili wa binadamu unaanza na single cell unakua hadi kufikia kiumbe kamili

katika ukuaji kuna ukuaji wa kawaida, ukuaji uliozidi (rapid growth) na retarded growth.

Lengo lolote la ukuaji ni kufikia ukomavu

chadema kama chama kina experience rapid growth spurts

changamoto moja ya ukuaji wa haraka kuliko kawaida ni pamoja na migogoro

watoto wa miaka 1-5 ambao hu experience rapid growth spurts kama mwili utashindwa kwenda na kasi hiyo ya ukuaji ndio tunaona migogoro ya kifya kwa watoto kama iron deficieny anemia, na magonjwa mengine

chadema sasa ipo kwenye mgogoro wa ndani ambao ni matokea ya ukuaji uliozi kiwango ivyo kupelekea tofauti ya mitazamo na misimamo

uongozi wa juu wa CDM kama mwili wa CDM ni wazi umeshindwa kwenda na kasii hii ya ukuaji

ndo maana migogoro ambayo kimsingi ilipaswa kuwa ya ndani sasa tunaiona nje

wenye kumbukumbu ya enzi za mwalimu mtakumbuka kesi za uhaini enzi za Tanu chama kilikuwa kichanga lakini leo hayo hayapo CCM,

chama kimekomaa kina solve internal dispute ndani kwa ndani

kama healthy body inavyo pambana na infetions ndani kwa ndani..

Hivyo basi chadema haipo tayari kupewa nchi maana hakija komaa ipasavyo

even though CCM imefikia stationary growth patterns
ni salama kwa taifa mara mia zaidi ya chama pendwa cha cdm
ambacho kasi ya ukuaji imeanza kukishinda..

.....Ukimpenda utamlinda..

Sio nchi, mbona umekwenda mbali hata jimbo hawafai.

CHADEMA NI UKOMA usiotibika. Ni mavilaza tu huko.

Eti, Lissu anatamka Mapinduzi. Hivi anajua maana ya neno mapinduzi, huyu hata kiswahili hajui. Ni bonge la kilaza.
 
Kuandaa mkakati wa ushindi kwa mgombea unayemtaka ndio uasi? Hebu tuwe serious ina maana hata Mbowe hana mkakati wake wa kushinda atakapogombea? Kuna uchaguzi wowote wa ubunge ambao CDM walishirikai bila mkakati? Kama ulikuwepo wapinzani wao ambao ni vyama vingine vya siasa waliuona kabla ya muda wa uchaguzi husika? Acheni porojo leteni hoja zenye mashiko, ndio maana mmeanza kuukana huo waraka wenyewe. Mkakati wa ushindi siyo mkakati wa kuondoa umasikini ambao kila mtu anaruhusiwa kuuona, mkakati wa ushindi ukishawekwa wazi kabla ya muda wake huo si mkakati tena maana mshindani wako anajua tayari utakavyofanya hivyo anakukabili kirahisi
 
now kuna CDM family na asilia
tukiwapa nchi hamchelewi kuigawa Tz yetu

Kweli kabisa. Hiyo ilikuwa inaonekana dhahili tokea mwanzo. Mimi nadhani ni muda muafaka kujivua ukabila pamoja na ukanda na kujivika utaifa. Hiyo wakiweza, Chadema kitachukua nchi
 
Aids day, 1 Dec 2013

ukuaji ni hatua ya kuelekea ukomavu (maturity)

hata mwili wa binadamu unaanza na single cell unakua hadi kufikia kiumbe kamili

katika ukuaji kuna ukuaji wa kawaida, ukuaji uliozidi (rapid growth) na retarded growth.

Lengo lolote la ukuaji ni kufikia ukomavu

chadema kama chama kina experience rapid growth spurts

changamoto moja ya ukuaji wa haraka kuliko kawaida ni pamoja na migogoro

watoto wa miaka 1-5 ambao hu experience rapid growth spurts kama mwili utashindwa kwenda na kasi hiyo ya ukuaji ndio tunaona migogoro ya kifya kwa watoto kama iron deficieny anemia, na magonjwa mengine

chadema sasa ipo kwenye mgogoro wa ndani ambao ni matokea ya ukuaji uliozi kiwango ivyo kupelekea tofauti ya mitazamo na misimamo

uongozi wa juu wa CDM kama mwili wa CDM ni wazi umeshindwa kwenda na kasii hii ya ukuaji

ndo maana migogoro ambayo kimsingi ilipaswa kuwa ya ndani sasa tunaiona nje

wenye kumbukumbu ya enzi za mwalimu mtakumbuka kesi za uhaini enzi za Tanu chama kilikuwa kichanga lakini leo hayo hayapo CCM,

chama kimekomaa kina solve internal dispute ndani kwa ndani

kama healthy body inavyo pambana na infetions ndani kwa ndani..

Hivyo basi chadema haipo tayari kupewa nchi maana hakija komaa ipasavyo

even though CCM imefikia stationary growth patterns
ni salama kwa taifa mara mia zaidi ya chama pendwa cha cdm
ambacho kasi ya ukuaji imeanza kukishinda..

.....Ukimpenda utamlinda..

It is always good to have day dreams unajua inasaidia sana,kuliko kukaa bila,so keep it up
 
Hata mimi Tindu Lissu nilikuwa namuheshimu lakini perception yangu kuhusu yeye imebadilika kabisa. Suala la Zitto ana li personalize utafikiri ana ugomvi binafsi na Zitto. Yeye aliposhinda rufaa ya kupinga ubunge wake alitoa machozi lakini kwa mwenzake anasema wamefukuzwa akisahau yote waliyoyatendea chama.
Naanza kufikiria kuwa Ndugai yuko sahihi kuhusu behavior ya Lissu

Hiyo ngoma inatumiwa bila kujijua. Haifikirii nje ya box, kazi kubisha tu. Kila kitu yeye ni kubisha. Lakini uamuzi huu wa sasa waliofanya kumfukuza Zitto, unakimaliza chama kabisa kabisa. Zitto kama mtanzania yoyote yule, anastahili kusema chochote ili mradi havunji sheria. Nia yake ya kutaka urais ingemalizwa kwenye mkutano mkuu wakati wa kuteua mgombea na si kumfukuza kabla kabla ati kwa sababu kuna mtu aliyeandaliwa!
 
Cha kuudhi katika sakata hili,wapo ambao UTII wao upo si kwa sababu wanaamin itikadi au maono ya viongozi wao bali kwa sababu MATUMBO yao na mifuko yanawategemea watu hawa.hivyo wamekua watetezi wa kimaslai zaid,siku minofu hiyo ikikatwa watatafuta mahali pengine pa kuegememea
 
Back
Top Bottom