CHADEMA wameshindwa kwenda na kasi ya ukuaji wa chama hawafai kupewa nchi

Kweli kabisa mkuu, mie nilikuwa namheshimu mno Tundu Lisu lakini kwa sasa naona amelewa uanasheria wake maana pahali popote yeye anaona ni mahakamani tu.
Kweli kabisa huu mgogoro au ubishani tu wa viongozi umetupa fursa au somo wengi kwa kuijua CHADEMA na viongozi wake vizuri.Nimekuwa nikimpa Tundu Lissu benefit of doubt hasa nilipokuwa napima hoja na behaviour zake bungeni. Lakini sasa nimegundua kuwa ana upeo mdogo mno wa kiuongozi hasa wa kisiasa. Yeye hoja zake anazitoa kama yuko mahakamani mbele ya hakimu au jaji bila kujitambua kuwa mamilioni ya watu ndio majaji.
 
Kweli kabisa mkuu, mie nilikuwa namheshimu mno Tundu Lisu lakini kwa sasa naona amelewa uanasheria wake maana pahali popote yeye anaona ni mahakamani tu.
Kweli kabisa huu mgogoro au ubishani tu wa viongozi umetupa fursa au somo wengi kwa kuijua CHADEMA na viongozi wake vizuri.Nimekuwa nikimpa Tundu Lissu benefit of doubt hasa nilipokuwa napima hoja na behaviour zake bungeni. Lakini sasa nimegundua kuwa ana upeo mdogo mno wa kiuongozi hasa wa kisiasa. Yeye hoja zake anazitoa kama yuko mahakamani mbele ya hakimu au jaji bila kujitambua kuwa mamilioni ya watu ndio majaji. Tumepata fursa nzuri ya kuifahamu CDM na viongozi wake na hasa vijana. Hawafai kabisa.
 
Mkuu, nasikia kuwa moja ya shutuma kwa Zito ni kuanzisha makundi lakini wakati huo huo inasemekana Mbowe nae ana kambi yake kama huyu Lisu, Mnyika n.k. Sasa hili kwa Mbowe ni sahihi?
 
Anzisha ndugu yangu Chama kingine tukupe nchi,maana hatupo tayari kuwapa magamba tena nchi
 
Back
Top Bottom