Chadema wameshindwa kabisa kuonyesha kuwa wao ni chama kikuu cha upinzani Tanzania. Ni wakati muafaka wa kukikataa kupigia boks la kura

Bia yetu

JF-Expert Member
Apr 14, 2020
6,923
8,314
Miaka minne imeisha Chadema imeshindwa kubeba jukumu kubwa walilopewa na upinzani matokeo yake hiyo kazi imefanywa na vyama vyenye wabunge wachache kama NCCR-Mageuzi, CUF na ACT Wazalendo.

Wenyewe Chadema wamekuwa wakiona fahari muda mwingi kushinda mahakamani kwa kesi ambazo hazina msingi badala ya kuhudumia Wananchi. Utasikia wakihamasishana mitandaoni "Makamanda kesho tuhudhurie mahakamani" ila huwezi kuwaona kwenye kuhamasisha Maendeleo.

Pale bungeni ndio wamepwaya kabisa, hawatoi hoja za sera mbadala ila ni vinara wa kuleta vurugu bungeni.

Chadema hawajawatendea haki Watanzania, sisi kama Watanzania tutawaacha Chadema na kuchagua chama kingine kinachoipenda Tanzania na sio hawa wajanja wajanja kisiasa.

Tuipende Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kachukue buku 7 yako wewe ni nani hata uwasemee watanzania?je hukuona yaliyojiri baada ya ile hukumu mapesa yalivyochangwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom