CHADEMA wamesema hawatoshiriki katika uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Muhambwe

Wanaelekea pabaya sana, uchaguzi mkuu walifanya kwa kuchangisha bakuli, hali ikawa mbaya sana.

Uchaguzi wa Muhambwe huko Kigoma wamekosa kabisa pesa ya kuweka mgombea. Wanasingizia maneno mengine...
Uko kwenye kipindi cha upumbavu na ujinga.

CHADEMA ni ya wanachama na mapenzi ina mabilioni ya fedha, haitaki fedha haramu ya serikali haramu.

Umesoma ripoti ya CAG wenu?
 
Uko kwenye kipindi cha upumbavu na ujinga.
CHADEMA ni ya wanachama na mapenzi ina mabilioni ya fedha, haitaki fedha haramu ya serikali haramu.
Umesoma ripoti ya CAG wenu?
Huwezi kunidanganya/kudanganya watu Chadema hii inayotafuna ruzuku ina mabilioni ya pesa?
 
Bwege kama wewe unatafuta kuolewa humu JF?
Hahahaha. Unawakilisha wajinga wenzio wewe! Akili kishida itaishia matusi tu huna lolote. Wenye busara hawatukani. Mwanume umejuaje kwamba kuna kuolewa kama hujawahi kufanya?
 
Nimeshangaa kuona Chadema ambayo ni chama kikuu cha upinzani hakishiriki chaguzi ndogo zinazoendelea mkoani Kigoma.

Kwanini Chadema inadai viti maalumu vya akina Halima Mdee na wenzake warejeshewe na wakati huo huo hawana uwezo wa kushiriki chaguzi ndogo?

Eid Mubarak!
 
Joni tupemawazo yako kwanza,halafu tutaanzia hapo.
 
Utaendaje kupigana na mtu ambaye ana silaha za moto huku wewe ukiwa na rungu tu, ila pamoja na hayo wewe mwenye rungu umefungwa mikono na miguu? Yaani pamoja na huyo mwenye kila aina ya silaha za moto bado anakuwa na mashaka kuwa wewe mwenye rungu unaweza kumpiga. Utakuwa ni punguani wa ajabu kama ukijua mazingira Yapo hivyo halafu eti na wewe unaenda vitani ukiamini kuwa utashinda. Nawasapoti Chadema,na wafanye hivyo hivyo mpaka akili itakapowajilia watanzania.
 
Baada ya Magufuli kufa chadema wako ikulu bwashee! Si unaona wanavyodemka wakisema mataga wanakiona cha moto?

Ccm ikishinda ni chadema imeshinda. Yote hii ni ili kumkomoa marehemu.

Chadema na ccm wote tunaimba, Samia mi 10 tena, ccm mbele kwa mbele.
 
Kwani Tume huru na katiba mpya imepatikana bwashee,,
Mwanawao:kwani waliposhiriki uchaguzi mkuu mwaka jana walisukumwa na nini?walisema kwanini wanashiriki?na ni kipi ambacho kimebadilika leo?

Just a curious !!
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom