Uchaguzi 2020 CHADEMA wamepoteana Zakhiem Mbagala, subirini mziki wa CCM leo mtajutia mlivyobugi

Wajumbe

Senior Member
Jul 26, 2020
136
379
Hakukuwa na sababu ya msingi kwa MC, DJ Mbowe na Mwalimu kuwapa watu waliohudhuria tension zisizo na maana eti kuna maamuzi mazito yatokanayo na uenguaji wa wagombea wa ACT na CDM.

Taarifa yenyewe ambayo imesisitizwa na hawa wasanii ni

1. Kutokuwa tayari kujitoa uchaguzi huu.
2. Kudai katika kila mkutano wa kampeni, wagombea walioenguliwa na NEC warudishwe.
3. Kufanya maandamano ya amani na wagombea kabla ya mikutano yao ya kampeni

Khaaaaaa!

Yaani haya ndo maamuzi mazito yaliyomsubiri mgombea urais ayaseme. Na kwa jinsi bwana Mwalimu alivyosisitiza wananchi wawe na utayari, basi nikadhani kinanuka leo. Hahahaaaaa

Duh, kwa kweli hawa watu walitakiwa wapimwe akili kwanza.

Kwa sababu hizo tatu, mgombea urais ameahirisha kusoma ilani ya chama chake ambayo ameiandika katika kurasa 24.

Lakini cha ajabu, akaweza kuhutubia kuhusu kuwekewa damu ndoo tatu, operesheni 24, gari iliyompeleka hospitali, na kuchangisha michango.

Yaani Lissu kuzurura kote kule Ulaya ameshindwa kupata msaada wa kugharamia kampeni.

Duuuuuuh

Hakyamungu, CHADEMA imefeli vibaya katika siku ya kwanza. Sasa subirini mziki wa CCM leo. Mtajutia mlivyobugi Zakiem.
 
Mnywa gongo ni baba yako aliyesahau kuvaa condom siku ya tendo akatuzalia we kinyaa!
Nakupuuza kwa kuwa unasaka ban ya mods uepuke aibu hii, kwa jinsi mlivyoingizana chaka. Mods mwacheni huyu chizi aliyetoroka na shuka za mirembe.
 
Lengo lao ilikuwa nikuchangisha hela tu mkuu kisha wakazipige faru John. Sema wananchi nao siyo wajinga Kama walivyodhani walikuwa wanamkwepa tu huyu mchangishaji mpaka akaamua kujiengua.

FB_IMG_1598649080628.jpg
 
Wazungumzaji kesho.
Waitara
Silinde
Katambi
Kafulila
Kibajaji
Sumaye
Lowasa
Lijualikali
Mashinji
Godwin moleli
Mwambe,
Wasanii wotee
N.k, n.k
Mungu ibariki CCM.
 
Chadema walitumia wasanii hawa uzinduzi wao MBAGALA wakitegemea watu wangejaa wakaona hamna kumbe watu wanafuata sera Sio wasanii tu.

Walialika wasanii Uzinduzi mkutano wao huu wa kwanza mkutano ukadoda.

 
Back
Top Bottom