Elections 2010 Chadema wamepata viti vingapi mpaka sasa?

silver25

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
743
44
JAMANI E NAOMBA MUNIPE MSTAKABALI WA USHABIKI TUNAOUSHABIKIA,, MAANA ISIJE KUWA TUNASHABKIA VUMBI KUMBE JAMAA KAKUACHA PAKUMBWATU..

NAOMBA NISAIDIWE MAJIMBO MANGAPI YALIYO CHUKULIWA NA CHADEMA KUTOKA CCM na Wabunge wangapi mpaka sasa ambao wapo chali :israel::sad:
 
jamani eeeh wacheni utani hadi Dada yetu Mary Nagu yakweli haya?
 
Jamani napenda kukumbusha naomba mtu anaye jua chadema imepata viti vingapi vinavyokwenda kutuwakilisha bungeni kuendeleza mapambano ya kimaendeleo?
 
jamani hayo juu ndiyo majibu ya thread husika?........mbona utani hivyo?..msaidieni wenye data kamili
 
24 majimbo ambayo chadema imechukua hadi sasa

MASWA MASHARIKI
ARUSHA MJINI
MEATU
NYAMAGANA
MASWA MAGHARIBI
IRINGA MJINI
MOSHI MJINI
ILEMERA
MBOZI MAGHARIBI
MBEYA MJINI
MBULU
UBUNGO
KARATU
UKEREWE
ROMBO
HAI
SINGIDA MASHARIKI
KIBONDO
ARUMERU MAGHARIBI
BIHARAMURO MAGHARIBI
MUSOMA MJINI
KIGOMA KASKAZINI
KAWE
BUKOMBE
 
Sokomoko sikukuambia uje uchangie kwenye hii thread kakojoe kalale
 
Oooo thaanks thaanks very much nashukuru sana, nisengwire sana gom apso mnita,, mbaya
 
thank you kwa taarifa, ila hebu hakikisha ARUMERU MAGHARIBI. Kama nakumbuka vzr CCM wamelichota hili jimbo.
 
24 majimbo ambayo chadema imechukua hadi sasa

MASWA MASHARIKI
ARUSHA MJINI
MEATU
NYAMAGANA
MASWA MAGHARIBI
IRINGA MJINI
MOSHI MJINI
ILEMERA
MBOZI MAGHARIBI
MBEYA MJINI
MBULU
UBUNGO
KARATU
UKEREWE
ROMBO
HAI
SINGIDA MASHARIKI
KIBONDO
ARUMERU MAGHARIBI
BIHARAMURO MAGHARIBI
MUSOMA MJINI
KIGOMA KASKAZINI
KAWE
BUKOMBE
KILOMBERO ...imeongezeka.
 
Back
Top Bottom