Chadema wamepata viti maalumu rasmi bungeni!!

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
4,587
577
Nimesikia kwenye heading za magazeti ya kwamba chadema wamepata viti maalumu rasmi bungeni,nini kinamaanishwa hapa?kama kuna mdau anaelewa vizuri kuhusu hili basi atupe data.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom