CHADEMA wamekopa nje ya nchi kuendesha M4C-OPD... Watalipaje huo MKOPO?

cmm hauioni wanadaiwa mpaka na vikundi vya mama ntilie ,wanadaiwa usafiri wa malori hayo yote huyaoni chadm taifa kubwa kama wamekopa maana yake wanakopesheka na nyie kakopeni tuone
 
Leo hii kila mtanzania anadaiwa Tsh.500,000 deni la Taifa.

Haya zidisha mara idadi ya familia yako utajua unachodaiwa kisha linganisha na hali yako kifedha kisha jihurumie na jisamehe kwa kosa lako kuishabikia ccm.
 
Mandla Jr. Mbona serikali ya chama chako cha ccm inakopa kila siku kulipa wafanyakazi na mambo mengine mengi tu, na wanaolipa ni watanzania wote kupitia kodi wanazokatwa? Haya tema mate tuwachape.
 
Last edited by a moderator:
CDM wanapata ruzuku sasa kwa nini wasiweze kulipa?Kwani kupanga ni kuchagua.
 
cmm hauioni wanadaiwa mpaka na vikundi vya mama ntilie ,wanadaiwa usafiri wa malori hayo yote huyaoni chadm taifa kubwa kama wamekopa maana yake wanakopesheka na nyie kakopeni tuone

Swali ni kwamba watazilipaje hayo mabilioni waliokopa sehemu mbali mbali. ccm ina miradi mingi sana pamoja na jumuiya zake, wao hawana shida.
 
CDM wanapata ruzuku sasa kwa nini wasiweze kulipa?Kwani kupanga ni kuchagua.

Ruzuku wanayoipata chadema haiendani kabisa na gharama wanazotumia katika M4C OP. Huo ni mkopo, watalipaje hawa wachaga???
 
Ruzuku wanayoipata chadema haiendani kabisa na gharama wanazotumia katika M4C OP. Huo ni mkopo, watalipaje hawa wachaga???

Tatizo lako unachanganya mambo.Kwanza ondoa ukabila kwenye akili yako sababu kuwa MCHAGGA siyo dhambi,na wala kuwa MCHAGGA halafu ukawa chama cha upinzani haujavunja sheria,ni sawa tu na Aggrey Mwanri ambaye ni MCHAGGA na yuko CCM hajavunja sheria amechagua ni haki yake.Pili wananjia nyingine za kupatia ili kulipa huo mkopo na nina uhakika ruzuku yao italipa.
 
kwani wewe ndio mhasibu wa cdm? au ndio OPD imewatibua viongozi wenu hapo lumumba? maana sidhani kama kinana na nape wataenda tena kwa wananchi maana waliimba nyimbo nzuri sana za mawaziri mizigo watachukuliwa hatua, wanaogopa wakifika wataulizwa maswali.
 
kama total haifiki 1b,alaf tumekuw tunasikia habar za kukamatwa drugs zenye thaman hadi kufikia 4b.....naconclude kuwa Druglords ni untouchable,wanaweza kuanzisha chama.
 
Wana JF,
Taarifa ambazo bado hazijadhibitishwa ni kuwa chadema wamekopa
Fedha nyingi nje ya nchi ili kuendesha operation ya M4C Pamoja Daima.

Ikiwa kama ni kweli je hizi fedha zote walizokopa nje ya nchi watazilipaje
na kwa chanzo kipi cha mapato???

Mandla,

NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK/WRITE SASA UNATULETEA NINI HICHO?Kwa sababu wewe mwenyewe huna hakika alafu unapost.change your mind then usiwe mtumwa wa fikra zako mwenyewe.hapa siyo mahali pa kutuletea umbea try to verify your information b4 to write any thing that u think your right.
 
kwani wewe ndio mhasibu wa cdm? au ndio OPD imewatibua viongozi wenu hapo lumumba? maana sidhani kama kinana na nape wataenda tena kwa wananchi maana waliimba nyimbo nzuri sana za mawaziri mizigo watachukuliwa hatua, wanaogopa wakifika wataulizwa maswali.

Kwa taarifa tu;

Kinana alikuwa Zanzibar
Nape yuko Mbeya kote huko bado wanajenga chama.
 
Watakapo kuwa wanaahirisha kampeni zao Jumapili
naomba watueleze hizi gharama watazilipa vip????
 
Back
Top Bottom