CHADEMA wamejiandaa vipi KUENDESHA NCHI?

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,063
115,462
Mimi sijawahi kuwa mwanachama wa chadema wala ccm....but nikiwa kama mtanzania huru ambaye nafuatilia japo sio kwa undani saana siasa za nchi hii.....

Sasa niko convinced kabisa kuwa CHADEMA wanaelekea kuchukua uongozi wa nchi... na kwamba kifo cha CCM sasa ni uhakika.....tatizo langu ni hili .....

Je, CHADEMA wanajiandaa kweli kuendesha nchi?

Wasiwasi wangu ni kuwa wanatumia nguvu kuubwa kupambana na kuiondoa CCM na ikitokea kwa mfano huu uchaguzi wa Igunga CCM wametangazwa kushinda.....basi ni rahisi kwa viongozi wa CHADEMA kuamini kuwa KAZI BADO NI KUBWA MBELE... wakati kiukweli mimi naona CCM is done for good....

Tazama mfano wa Igunga....
Baada yaa kupeleka viongozi wa kitaifa na hila zoote wanatangazwa kushuinda kwa chini ya asilimia 50 kwa jimbo moja...

Je, ukifika wakati wa uchaguzi kwa majimbo yote? Wataweza kufanya fitina ya majimbo yoote?

Kama Igunga ilikuwa yao kwa miaka yote, leo hawapati hata asilimia 50, it's time kwa watanzania tukaanza na kujiandaa na LIFE AFTER CCM..... the sand is shifting beneath.....

Je, CHADEMA wataweza kujiepusha na mistakes za vyama vya upinzani vya Africa vinapopata madaraka?
 
Nimeipenda hii mkuu!! Kazi iliyopo sasa hata kama CHADEMA wakishindwa kwa kura chache kama inavyoelekea siyo kukata tamaa ila kujenga taasisi ya CDM ni muhimu sana.

Ukweli ni kwamba CCM hata wafanye nini wataondoka 2015. Haiwezekani kije chama kianzie sifuri na kutaka kuchukua jimbo waliloshikilia kwa miaka 18. Tuanze kujadili taasisi ya CHADEMA chama tawala kuanzia 2015. good idea!!
 
Ni makosa mno kusema na kuamini kuwa kwanza tuitoe tu CCM halafu tukishafika ndo tukae tujadili tuendeshe vipi nchi.....ni makosa.......

Sasa ndo wakati wa kupanga na kujiandaa ni vipi hii nchi itaendeshwa tofauti na invyoendeshwa na CCM sasa
 
Wana mageuzi wengi wachukuapo nchi mara nyingi huwa kuna mushkeli katika uendeshaji wa nchi. refer : Chiluba baada ya Kaunda. Bakili Muluzi baada ya Banda, you raised a very valid question, lakini hii isitutatize kuwaondoa hawa vibaka.
 
Sasa mpaka wanyamwezi wameichoka CCM na wameikataa.

Ushindi wa hila na mizengwe wa asilimia chini ya 50 ni ushahidi tosha kuwa CCM ile treni ya mabadiliko inazidi kupamba moto na kusimama tena ni haiwezekani......
 
Wana mageuzi wengi wachukuapo nchi mara nyingi huwa kuna mushkeli katika uendeshaji wa nchi. refer : Chiluba baada ya Kaunda. Bakili Muluzi baada ya Malawi, you raised a very valid question, lakini hii isitutatize kuwaondoa hawa vibaka.

kabisa kabisa....ndo maana nikasema CHADEMA sasa wajiandae kuongoza na kuendesha nchi

CCM sio tu inakufa lakini CCM iko kwenye SELF DESTRUCTIVE BEHAVIOR pia yenyewe....

adui wa CCM sio CHADEMA tena.....adui wa CCM sasa ni CCM yenyewe.......

sioni ni vipi watarudi .......hii ni safari ya mwisho ya CCM.....
 
Boss,

You have asked a very good question. It will be easier in the short run for CHADEMA to overturn the mistakes done by CCM than putting on good governance in the long run. I say this because just reversing the mistakes and policies made by CCM will not make Tanzania a paradise, will not reverse the escalating inflation, but they can do what Satta has been able to do in Zambia.

The challenge will be maintaining that momentum and giving Tanzania a new sense of direction.
 
You are pretty right kiongozi. CDM should establish a strong institution from now onward, Tanzanians have proved CCM is tired. They should make sure that during voters registers, young people must register heavily.

More so the capital of CCM 'wa mama na wazee' should be convinced with more strength. Rome was not built overnight guys. Ni hayo tu
 
Boss,

You have asked a very good question. It will be easier in the short run for CHADEMA to overturn the mistakes done by CCM than putting on good governance in the long run. I say this because just reversing the mistakes and policies made by CCM will not make Tanzania a paradise, will not reverse the escalating inflation, but they can do what Satta has been able to do in Zambia.

The challenge will be maintaining that momentum and giving Tanzania a new sense of direction.

Jasusi ... What a word..!

In any given time this nation must have a system of leadership in place ...

.... and at the moment in hand the CCM is on its last phase as Boss put it or as its very obvious. You may have NOTED this in history and in many Nations ... there this life circles of particular political system as a ruling system in Power. ... Many time and always it is an alternating life circle of different political systems and in our case we hope very soon CCM will be replaced by CHADEMA.

You talk of the CHALLENGES , which is very important observation and my concern too!

In My Opinion. To face this, all particular political systems/parties in question should be very conscious of the past, current and future political status of their environments and do/be ready for any kind of adjustment and modification to meet the current needs as the ultimate change we need is a long process which involves several alternating different political systems integrated into one in a particular moment. That is, CHADEMA should be very aware of all the political circles involved in this country in the past ...take all the weaknesses and the disadvantages and turn them into the objective advantages in oder to get ..the momentum which will maintain and give Tanzania a new sense of direction.

The question is ... Is CHADEMA real working on this..? ... any Indicators? ... Is there any ways we can have Dr Slaa/or any CHADEMA official here to help us on this? ..of course after Igunga dust has settled down..
 
Kufikiria kuwa CHADEMA wanaweza kuongoza kupata kuongoza nchi ni alinacha. Igunga kipimo tosha.
 
Afrika haiwezi kuendelea kwa style hii, kuwaza na kuuliza wakina flani wamejiandaa vipi? watafanya nini? akati wenyewe mpo pembeni, chamsingi jiungeni chadema ili mkawe part of contribution.
 
Swali hilo ni la msingi? Hilo ni wazi haliwezi kuulizwa na mtu ndani ya fikra dumaa za ccm, ukweli ni kwamba watu kama akina Nape ndio wanaoweza shangilia ushindi hafifu kama huo ndio maana wanafukuzwa kuhuduria igunga. Chadema inalijua hilo na inatafuta watu makini kama wewe, jitokeze sasa, ndio maana cdm inag'oa magugu na sio kujivua gamba, angalia nini kimetokea arusha madiwani 5 wamen'gollewa
 
Mimi sijawahi kuwa mwanachama wa chadema wala ccm....but nikiwa kama mtanzania huru ambaye nafuatilia japo sio kwa undani saana siasa za nchi hii.....

Sasa niko convinced kabisa kuwa CHADEMA wanaelekea kuchukua uongozi wa nchi... na kwamba kifo cha CCM sasa ni uhakika.....tatizo langu ni hili .....

Je, CHADEMA wanajiandaa kweli kuendesha nchi?

Wasiwasi wangu ni kuwa wanatumia nguvu kuubwa kupambana na kuiondoa CCM na ikitokea kwa mfano huu uchaguzi wa Igunga CCM wametangazwa kushinda.....basi ni rahisi kwa viongozi wa CHADEMA kuamini kuwa KAZI BADO NI KUBWA MBELE... wakati kiukweli mimi naona CCM is done for good....

Tazama mfano wa Igunga....
Baada yaa kupeleka viongozi wa kitaifa na hila zoote wanatangazwa kushuinda kwa chini ya asilimia 50 kwa jimbo moja...

Je, ukifika wakati wa uchaguzi kwa majimbo yote? Wataweza kufanya fitina ya majimbo yoote?

Kama Igunga ilikuwa yao kwa miaka yote, leo hawapati hata asilimia 50, it's time kwa watanzania tukaanza na kujiandaa na LIFE AFTER CCM..... the sand is shifting beneath.....

Je, CHADEMA wataweza kujiepusha na mistakes za vyama vya upinzani vya Africa vinapopata madaraka?

You know what Mr. Boss can you imagine sera za CCM sasa hivi ni kuwaeleza wananchi jinsi gani CHADEMA ilivyo mbaya??????? All in all mjdala huu utakuwa continuous maana hakuna jibu fupi kwa hili swali, cha maana tunaweza kuanza kuchambua eneo kwa eneo mfano elimu, afya, miundombinu, uwekezaji, madini etc. Haya mambo yapo kwenye ilani ya uchaguzi ya CHADEMA 2010 na pia kwenye katiba ya CHADEMA. lakini si vibaya tukaanza ku-brainstorm kila kipengele na kwa sababu wahusika baadhi nimemba humu basi nadhani mjadala constructive unaweza kuendelea.
 
Nchi gani hiyo unayo ongelea hapa? Jifunzeni ustarabu kwanza halafu acheni udini. Hii nchi itaongozwa na watu wenye akili timamu na sio wavuta bangi.
 
Kufikiria kuwa CHADEMA wanaweza kuongoza kupata kuongoza nchi ni alinacha. Igunga kipimo tosha.
Ni kipofu kama wewe ambaye huwezi ukaona kila dalili ya CDM kushika nchi kutokana na matokeo ya Igunga. ccm hakikuwa chama cha kutumia msuli na nguvu kiasi hicho katika uchaguzi mdogo. Hii nguvu iliyotumika inaonyesha kabisa kwamba wananchi wameshachoka na siasa uchwara.
 
Nchi gani hiyo unayo ongelea hapa? Jifunzeni ustarabu kwanza halafu acheni udini. Hii nchi itaongozwa na watu wenye akili timamu na sio wavuta bangi.

bora wavuta bangi kuliko mafisadi.
 
Chadema waweke nguvu vijijini.matokeo ya igunga yanatoa picha kuwa 2015 Chadema watachukua nchi.Kura wamepata nyingi hata kama wameshindwa
 
21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom