Elections 2010 Chadema wamehudhuria?

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,269
Nauliza kama JK kesha lihutubia bunge na kama kahutubia wapinzani wamehudhuria?
Msaada jamani.
 
Mkuu JK bado hajahutubia bunge Bila shaka atahutubia next week baada ya Bunge kupitisha jina la waziri mkuu
 
Mkuu JK bado hajahutubia bunge Bila shaka atahutubia next week baada ya Bunge kupitisha jina la waziri mkuu
Thanks, naomba Chadema kama wanataka kuonyesha wako serious wasihudhurie siku hiyo they will make a significant tone to the government and the world as a whole na itaweka historia kwa siasa za Tanzania bara, ingawa Kikwete ataendelea kuwa rais lakini kwa kiasi fulani heshima yake itapungua.
 
Kuna ulazima gani wa CHADEMA kuhudhuri mkutano wa JK? Kwani kuna kipengele cha katiba kinachosema ni lazima wabunge wote kuhudhuria mkutano wa rais? Kama hakuna CHADEMA wasihudhuri kabisa hotuba za kinafiki za JK. Tena ikiwezekana siku JK anahutubia Rais wa watu wa TZ Dr. Slaa naye alihutubie bunge lake pembeni. Undava undava tu!! JK alishalikoroga.
 
Ushahidi kuwa kulikuwa na uchakachuaji wa kura kuwezesha ushindi wa JK upo. CHADEMA wanaweza kushiriki upigaji kura wa kum-endorse waziri mkuu, lakini wakiamua kutoka nje wakati JK akihutubia bunge itakuwa njia muafaka ya ku-protest ushindi wa JK uliotokana na uchakachuaji wa kura.
 
Thanks, naomba Chadema kama wanataka kuonyesha wako serious wasihudhurie siku hiyo they will make a significant tone to the government and the world as a whole na itaweka historia kwa siasa za Tanzania bara, ingawa Kikwete ataendelea kuwa rais lakini kwa kiasi fulani heshima yake itapungua.

Ushahidi kuwa kulikuwa na uchakachuaji wa kura kuwezesha ushindi wa JK upo. CHADEMA wanaweza kushiriki upigaji kura wa kum-endorse waziri mkuu, lakini wakiamua kutoka nje wakati JK akihutubia bunge itakuwa njia muafaka ya ku-protest ushindi wa JK uliotokana na uchakachuaji wa kura.

Good guys! mawazo mazuri sana, ila chadema hii ninayoifahamu hawana muda wa kuwaza hizi political weapons!
 
ningekuwa mimi mbunge ningemrushia kiatu JK wakati anahutubia
 
Ndg zangu wana jf, msisahau kuwa idadi yetu pale mjengo itakuwa 46 au 47 kama tutashinda pale mpanda na nkenge, nadhani tunaendelea kutafuta uhalali kwa watanzania hawa walionyimwa elimu na uelewa wao uko chini sana + umaskini, nadhani ni vizuri kama wabunge wateule wa Chadema wataamua kufanya hivyo wajiulize what impact it will happem kwa wafuasi wao? Tusisahau ktwa Dr Slaa aliliona hilo na ndiyo maama akawa silance, unajua impact yake kwa umma? Dr amesoma mazingira ya mtanzania wa leo yuko tayari kwenda mtaani kutetea kura yake? Akagundua bado watz hawako tayari, kwenda mtaani, alichokifanya ni kuwa kimya sasa 2010- 2015 iomgezwe elimu kwa mpiga kula. Sasa swali la kujiuliza je kuna unalazima wa wabunge wateule wa Chadema kutoka nje wakati kikwete akihutubia? Je ina logic?
 
Back
Top Bottom