Thanks, naomba Chadema kama wanataka kuonyesha wako serious wasihudhurie siku hiyo they will make a significant tone to the government and the world as a whole na itaweka historia kwa siasa za Tanzania bara, ingawa Kikwete ataendelea kuwa rais lakini kwa kiasi fulani heshima yake itapungua.Mkuu JK bado hajahutubia bunge Bila shaka atahutubia next week baada ya Bunge kupitisha jina la waziri mkuu
Thanks, naomba Chadema kama wanataka kuonyesha wako serious wasihudhurie siku hiyo they will make a significant tone to the government and the world as a whole na itaweka historia kwa siasa za Tanzania bara, ingawa Kikwete ataendelea kuwa rais lakini kwa kiasi fulani heshima yake itapungua.
Ushahidi kuwa kulikuwa na uchakachuaji wa kura kuwezesha ushindi wa JK upo. CHADEMA wanaweza kushiriki upigaji kura wa kum-endorse waziri mkuu, lakini wakiamua kutoka nje wakati JK akihutubia bunge itakuwa njia muafaka ya ku-protest ushindi wa JK uliotokana na uchakachuaji wa kura.