CHADEMA wamefanya Maamuzi makini na magumu-Waziri Kombani

Naona kibao kimeanza kugeuka na ukweli karibia utakuwa wazi
Sasa kila mtu atakubali Chadema ni mpango wa Mungu na chama ni taasisi sio mtu mmoja.
 
Tanzania ni jamii ya kifisadi na ya hovyo hovyo kama zilivyo jamii zingine za Africa....walio kwenye system na walio nje ya system wote ni mafisadi kulingana na nafasi zao! Ni bahati kwamba hivi sasa CCM na serikali yake ndio wanaonekana mafisadi wenyewe kwavile wao ndio walio kwenye mfumo rasmi lakini am very system, yeyote atakayefuata nae atakuwa na serikali ile ile ya kifisadi kama ilivyo hii ya CCM. The reason is simple, leo hii chama chochote kitakachoingia madarakani viongozi wake watakuwa wanatoka kwenye jamii ile ile ya hovyo hovyo....jamii ya kifisadi! Jamii ya kifisadi haiwezi kutoa kiongozi bora mwenye kujali maslahi ya taifa imma faima!! Hata huko CHADEMA bado kila siku wenyewe hakukosi tuhuma za ufisadi wenyewe kwa wenyewe! CHADEMA wanaamini kwamba mwaka 2010 waliibiwa kura; ukiwauliza waliibiwa vipi wakati walikuwa na mawakala kwenye vituo; wanakuambia kwamba CCM ilihonga mawakala!!! Hii maana yake nini, kumbe nako kuna watu kadhaa waliaminiwa kulinda kura za chama lakini wakapewa chao mapema na wakasaliti chama...Huu ni UFISADI!!

Tusidanganyane unless kama mnasema for your political interest! Hakuna chama chochote Tanzania hii kinachoweza kusimama mbele na kujinadi kwamba ni wao ni safi, HAKUNA! CCM ni mafisadi wa sasa, UPINZANI ni mafisadi watarajiwa pindi watakapoingia madarakani. Suluhisho la kweli la ufisadi kwenye nchi hii ni jamii kubadilika; ama kubadilika kwa kupenda au kwa kulazimishwa kwa kutungiwa sheria kali! Mungu alipoona Wayahudi walizidi ufeddhuli, akawashushia sheria kali kupitia TORATI....am very certain kwamba sheria zile za Torat ingekuwa zimewekwa na serikali na kuzitekeleza, Wayahudi wangenyooka tu! Hiki ndicho kinachohitajika kwa jamii kama Tanzania. Kwanza, chukua mfumo wa Utawala Bora, tupa kule! Utawala Bora ni kichaka cha uovu ikiwa utatumika kwenye jamii ovu kama ya kwetu! Moja ya misingi mikuu ya Utawala Bora ni Utawala wa Sheria! Katika Utawala wa Sheria, mtu anapokuwa na tuhuma, basi ni lazima ithibitike BEYOND REASONABLE DOUBT kwamba mtuhumiwa ametenda kosa! Sasa sijui ni nani huyo atakayethibitisha beyond reasonable doubt wakati, DPP haaminiki, Ofisa Upelelezi haaminiki, Hakimu haaminiki, and so on! Hawa wote wanalindwa na mfumo ambao hata leo hii upinzani wakishika dola, kama ni smart watakachoweza ni uwafikisha watu wa mahakamani, basi! Kama watakuwa ni watu wanaozingatia utawala bora, hapo wataiachia mahakama na idara ya polisi wamalizie kazi!!
 
Kama unataka kupata Ukweli yanayao jiri CDM na ZITTO usisoma NIPASHE na TANZANIA DAIMA,Wengi wa Watumishi wao ni WACHAGGA.Wanaendekeza Ukanda kama kawaida yao.
 
Mnaliwazana baada ya kulikoroga!? Poleni sana wabakaji wa demokrasia jipangeni tena kukijenga chama kwani kimekwisha. Itakuchukueni miaka 30 mpaka mtakaporudi hapa mlipokuwa. Poleni sana. Ni zamu ya wengine mlitesa na sasa tesekeni. Comeon CUF,NCCR,CHAUMA,CCJ et al.
 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma), Celina Kombani, amekipongeza Chadema kwa utaratibu kilichoutumia kuwawajibisha viongozi wake kwamba ulikuwa ni mzuri na ulifuata taratibu za haki kwa pande zote.

Kombani alitoa kauli hiyo bungeni jana na kufafanua kuwa utaratibu wa kila upande kusikilizwa ni mzuri katika kutafuta makosa ya mtu.

chanzo:gazeti la nipashe
 
Taratibu taratibu,watatambua tu na kuujua ukweli,haiwezekana taasisi kubwa kama ile iliyosheheni watu wenye weledi wa kila aina,halafu mtu mmoja anakurupuka tu kwa kusema eti M.M kaonewa na hoja zinazotumiwa na mashabiki wake wa kununua ni udini,ukabila na ukanda-propaganda za mpinzani wa democrasia
 
Mpwa wangu aliujua ujasiri wa Chadema ila alitaka ku jaaribu ila kakosea namna ya kujaribu .Ailiingia na mwili mzima kutoka lazima awe na mabaka ya joto kali au mifupa kuvunjika .Si kwamba CCM hawajui kwamba Chadema ni makini na si kweli kwamba huyu mpwangu Zitto hajui kwamba amekuwa akiyumbisha kwa kigezo cha kuwa wa mwisho kutoka Chademana kuingia na miaka 16 .Kesha kuwa tajiri na miaka yake 16 amesha vuna .Aende tu akaanzishe chama chake .
 
Wazee wa buku 7,hii thread hawaipendi kabisa,so mleta mada could you pls fine tune a little bit so as to suit the book 7 guys?otherwise imeshadoda tayari
 
haya sasa nazani huu ni mkakati pia wa kujiwekea kinga mapema ili zito akitimuliwa chadema aspokelewe magambani.
 
Bora ningekuwa sijamsikia waziri nimemsikia neno baada ya neno....Huu ni uongo mwingine wa kimataifa.

Umemskia kasemaje ? Si uandike hapa ukinyoosha yale aliyo yasema na kuounga yanayo andikwa hapa ?Unalalama nini sasa .
 
[h=5]HISTORIA FUPI YA MAREHEMU CHADEMA

MAREHEMU ALIZALIWA 1992 NA AMEFARIKI 2013 , ALIPITIA CHANGAMOTO NYINGI SANA, KWANI MAREHEMU HAKUWAHI KWENDA SHULE KABISA. MAREHEMU AMEFARIKI AKIWA ANATIBIWA NA DAKTARI ALIYEPATA ZIRO FORM SIX BADALA YA KUMPASUA MAREHEMU MGUU AMEMPASUA KICHWA NA KUTOA UBONGO (ZITTO).

MAREHEMU AMEACHA MAMBULULA WENGI SANA MTAANI AMBAO HAWANA MSAADA WAMEBAKI OMBA OMBA.

CCM ILITOA NA CCM IMETWAA. JINA LA CCM LIDUMU
[/h]



aisee nimechoka, Yan sasa ccm ina uwezo wa kutoa na kutwaa. naona sasa mnavuka mpaka.
 
chadema mnahangaika kama kuku anayetaka kutaga


Bora kuku anayetaka kutaga maana hana madhara ila ccm inavyohaha kama mbwa mwenye kichaa ni hatari sana akikuuma unaweza kufa. Mfano ni kama yaliyompata Kolimba,Mwangosi,Ulimboka nk.

Ccm ni MAJANGA tupu. Mchukueni Zitto aungane na Mwigulu maana mmemtumia sana kufanikisha machache mliyokusudia nafikiri sasa atawasaidia vizuri mkimpa uenyekiti wa ccm Taifa.
 
Back
Top Bottom