CHADEMA waliwasamehe wabunge wao waliotaka kumteka mstahiki Meya wa ubungo. Je, CCM wana huo uvumilivu?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,785
141,674
Najaribu tu kutafakari kama CCM wana uvumilivu wa kifipa linapokuja swala la utovu wa nidhamu kwa wabunge wao

Pamoja na ukweli kwamba Chadema walijua wakiwafukuza akina Kubenea na Komu majimbo yale yataenda CCM, lakini bado Chadema ni chama cha kubembelezana sana.

Maendeleo hayana vyama!
 
CCM HUWA WANASAMEHE SANA TU.Kama tungekuwa kama kenya tuseme kesi zifunguliwe za mawaziri waliopita wa serikali za awamu zilizopita ambao walitumia madaraka vibaya au hela za umma hovyo mawaziri wengi ambao walikuwa mawaziri awamu zilizopita asilimia kubwa watakuwa jela,Sijui waziri yupi wa kipindi cha awamu zilizopita atakayenusurika kwenda jela simuoni.Nchi yaweza baki tupu bila viongozi labda mtu awe hakuwa waziri awamu hizo zilizopita.CCM MKUU IMESAMEHE MENGI.,Ingekuwa haisamehe tusingekuwa hata na serikali.Viongozi wengi ni waliosamehewa dhambi zao na CCM
 
#JamaaAmechanganyikiwa
 
CCM kila mara wanawasamehe Green guards wanaokata watu mapanga hadi kuua;

walimsamehe Ole Sabaya alikutwa na vitambulisho feki vya TISS, na akapewa u DC!

CCM walimsamehe Makonda akipomtandika makonde mzee Warioba!

CCM wana uvumilivu sana!
 
From comrade to mpumbavu wa mwaka.
 
Najaribu tu kutafakari kama CCM wana uvumilivu wa kifipa linapokuja swala la utovu wa nidhamu kwa wabunge wao

Pamoja na ukweli kwamba Chadema walijua wakiwafukuza akina Kubenea na Komu majimbo yale yataenda CCM, lakini bado Chadema ni chama cha kubembelezana sana.

Maendeleo hayana vyama!
Wale waliomba samahani. Na hawa waombe samahani CCM itaangalia kama wanastahili msamaha au la!
 
CCM kila mara wanawasamehe Green guards wanaokata watu mapanga hadi kuua;

walimsamehe Ole Sabaya alikutwa na vitambulisho feki vya TISS, na akapewa u DC!

CCM walimsamehe Makonda akipomtandika makonde mzee Warioba!

CCM wana uvumilivu sana!
Akikijibu haya ni TAG.
 
Huyo Meya ni nani ndani ya CDM?

Watishie maslahi ya Mwenyekiti uone kama watasamehewa.
 
CCM HUWA WANASAMEHE SANA TU.Kama tungekuwa kama kenya tuseme kesi zifunguliwe za mawaziri waliopita wa serikali za awamu zilizopita ambao walitumia madaraka vibaya au hela za umma hovyo mawaziri wengi ambao walikuwa mawaziri awamu zilizopita asilimia kubwa watakuwa jela,Sijui waziri yupi wa kipindi cha awamu zilizopita atakayenusurika kwenda jela simuoni.Nchi yaweza baki tupu bila viongozi labda mtu awe hakuwa waziri awamu hizo zilizopita.CCM MKUU IMESAMEHE MENGI.,Ingekuwa haisamehe tusingekuwa hata na serikali.Viongozi wengi ni waliosamehewa dhambi zao na CCM
Nothing else mkuu!!!
 
E cdm cdm mpaka unaboaa
Akili zimekuruka, ugomvi wenu hko mpk muwaingize cdm

Ova
 
Moja ya story zinazobamba mtaani ni kuifanya Kilimanjaro kuwa Nchi kabisa jambo la kujiuliza kwa muda wote huo ambao story hii imekuwa ikibamba kwenye vijiwe vya kahawa na ukichukulia nchi ya Tanzania ni kubwa kuliko BURUNDI, na RWANDA ni Mkoa GANI AMBAO HAUHITAJI KUWA NCHI?

TANGA?

MBEYA?

RUVUMA?

NJOMBE?

N.K

AU TUTUMIE REGRESSION ANALYSIS

KUGAWA MIPAKA == a + b (mbunu za kupatia uongozi) + c(NI MKOA GANI HAUTAKI KUWA NCHI) + d (KWANINI USIWE NCHI) + e(TUPELEKE WAPI MAOMBI) + ERROT (hela) TERM (awamu ya urais/hela za msimu)

KAMA KAWAIDA UKIWEKA MKOA WAKO (WEKA 1 WENGINE ZIRO (0)) MFANO IKIWA NACHIGWEA WEKA (1) ILI kwenye b upate NAMBA…

BAADA YA HAPO INAKUWA time SERIES (MWAKA 1, 2, 3, 5, n.k)
 
Back
Top Bottom