CHADEMA walivyorejesha fomu za ubunge Kinondoni kwa mbwembwe

Tatizo lenu nyny watanganyika kila kitu mnadhani ni udini wakati katiba inaeleza kila kitu sas iyo hoja ya ukristo kaileta nan apa ?
Mudhamil.. natumai upo Zenj hebu nambie hakuna Wazanzbr wenye asili ya Tanganyika walio zanzibr walio na uwezo hata wa kuwa makatibu wakuu katika wizara za huko!? Mie namfahamu Marehemu Mzee Mwakanjuki. Na Mzee Mwakyembe. Aliyekuwa mawasiliano na Uchukuzi hebu nitajie wengine unao wafahamu wewe!
kisha tuzungumze suala la ubaguzi..!

Usisahau mnapodai masuala ya haki sawa kwenye Muungano kuna watu kutoka Unguja wanamiliki hekta za mashamba kule Mpanda katavi, kigoma wana mashamba ya viazi Mbeya! Wanalima Mpunga Morogoro wanamiliki majengo Dare salaam.!
Hawa watanganyika hawajaanza bado kudai usawa wa huo Muungano.!
hawajadai bendera yao wimbo wao Rais wao Katiba yao.! Nk..
si kuwa hawana akili ila ni wastaarabu, wakarimu na wapole kiasili.!
endapo kuna ubaguzi bayana namna hiyo kwa maelezo yako je wanajisikiaje dada na kaka zetu wanaoshi zanzibar na kujiona wao ni wananchi wa Daraja la pili (watwana) wakati ninyi ni mabwana?
 
Getrusa.... Labda tu nikwambia kuwa hata ukaishi Znz miaka elfu 1000 kama sio mzanzibar huwezi kupata kitambulisho za ukaazi cha Zanzibar ambacho icho ndo kinakupatia fursa ya kuajiriwa kama mzanzibar maaana unapokwenda kuomba ajira popote ktk eneo la znz kitambulisho cha ukaazi cha Znz ni moja wapo ya sharti unalokutana nalo na ujue kila mzanzibar anahaki uko bara kama mntanzania ndio maana ukaona wanamiliki ardhi Tz popote anapotaka coz hata kitambulisho cha taifa cha Tanzania yeye anacho ambacho ww kama mtanzania cha uzanzibar huna ila mzanzibari cha Tz anacho

Halaf ivi watu zaid ya milion 50 kweli mnataka haki sw na wa Znz ambao ni kama m1½ kama skosei sas mkiruhusiwa ayo mnayoyaona ni maonevu kwenu si mtakuwa mshawanyima waznz haki yao maana mkiamua kwenda Znz mikoa 5 tu kutoka uko bara bc naamini mtakua mshaijaza Znz
 
Back
Top Bottom