Super Don
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 1,978
- 1,780
Tofautisha kati ya mzanzibar na mtanganyika ndo hoja yangu ilipoMbona Mtulia wa rufiji hujahoji?
Tofautisha kati ya mzanzibar na mtanganyika ndo hoja yangu ilipoMbona Mtulia wa rufiji hujahoji?
Tanzania hatuna kitu kinachoitwa dual citizenship, ukiwa bara na visiwani wewe ni mtanzania tuu..kweli.
..lakini tunaye Hussein Mwinyi aliwahi kuwa mbunge Mkuranga.
..sasa hivi Mh.Mwinyi ni mbunge huko Zanzibar.
..ndugu zetu wa Zanzibar wana "dual citizenship" wana haki za Uzanzibari na haki za Utanzania sisi waTanganyika hatuna.
Kuna majimbo yao huko zanzibar ya bunge la jamhuri na la baraza la wawakilishi, sasa mzenji huku bara hatakiwi kugombea kwenye nafasi ya ubunge,Ulitakiwa uanze na akina husseni mwinyi na mzee mwinyi
Samia suluhu na Ghalib Bilani
Wanafanya nini huku bara?
Wale wabunge wa zanzibari pale dodoma wanafata nini? Mbona hatumuoni makamba au nape ndani ya bunge la zanzibar watuwakilishe na kututetea watanganyika
Acha kutuabisha watu wa Rufiji.Mtulia kwa Kilwa.Acha kufananisha warufiji na watu kama hao.Mbona Mtulia wa rufiji hujahoji?
Ha! Ha! Ha! Hii siyo tinted kama ile yao .Nyie watu mnatumia Nissan Nyeupe View attachment 680881
Kuna majimbo yao huko zanzibar ya bunge la jamhuri na la baraza la wawakilishi, sasa mzenji huku bara hatakiwi kugombea kwenye nafasi ya ubunge,
Tanzania hatuna kitu kinachoitwa dual citizenship, ukiwa bara na visiwani wewe ni mtanzania tuu
Tofautisha kati ya mzanzibar na mtanganyika ndo hoja yangu ilipo
Uko sahihi ndugu nadhani tuna shida kwenye Muungano ambazo kwa wananchi wa kawaida ni kero sana!Ndo hapo hata mimi nashindwa kuelewa,hivi Mtanganyika anaweza kwenda kugombea Ubunge Zanzibar?
Hoja yako namba 5 ni kwamba katiba ya Zanzibar hairuhusu watanganyika kuajiriwa ktk serekali ya Mapinduzi ya Znz labda kwenye ofice za muunganoUko sahihi ndugu nadhani tuna shida kwenye Muungano ambazo kwa wananchi wa kawaida ni kero sana!
nimekaa Zanzibar miaka 7.
maisha ya watu wanaotoka bara sio rafiki sana kama ya wale wanaotoka Zanzibar wanavyoishi huku Bara.!
hasa ikifika wakati wa ramadhani ni tatizo kubwa kuna chembechembe za kibaguzi za wazi wazi.
Mfano..
1: uchumi..
Mtanzania anayetoka bara kwenda kuishi Zanzibar atakutana na changamoto kadhaa za manunuzi..hata kodi tu ya chumba yamkini kwake ikawa kubwa kisa (mbongo) yapo mengine lakini hili nimeliongelea katika mazingira ya kawaida.. nenda kiembe samaki, mbweni, kwa mchina, ama fuoni..!
2: Kijamii.
Japo tuna muingiliano kati ya jamii za bara na pwani lakini kwa watu watokao bara wanahesabika kama watu wa daraja la pili katika maeneo mengi ya Zanzibar.! hasa wanyamwezi na wasukuma walioko maeneo ya kati ya visiwa hivyo mfano maeneo ya Donge.!
hata ukienda Jambiani na baadhi ya maeneo ya kati..
4: Kisiasa.
kuna tatizo la kiuongozi kisiasa zanzibar kati ya watu wa Asili ya bara na Wazanzibar.!
kuna watu kutoka bara wengi walioshi Zanzibar kwa miaka nenda rudi lakini katika uongozi wa kisiasa majina ya Wabongo hawa ni ngumu sana kuyapata je hawana uwezo.?
Zaidi ya Marehemu Mwakanjuki.. na Mzee Mwakyembe.! Sio rahisi tena kupata jina la mtu anayetoka bara katika wadhifa fulani wa kisiasa.!
Huenda aliyebakia ni Mzee Sylivesta Mabumba.! Balozi Nchini Commoro kwa sasa! Lakini nae ukimuuliza machungu aliyopitia katika maisha yake ya kawaida. Ni siri yake!
5: Nafasi za kazi serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
hii pia ni changamoto ya wazi kabisa mwenye macho haambiwi tazama.
kuna watu kutoka Bara ama wenye asili ya Bara wangapi walioshika nafasi za juu katika serikali ya mapinduzi ya zanzibar..! Anzia wizara ya Fedha nenda Afya nenda Elimu ukiweza pitia na Wizara nyingine jibu liko wazi zaidi ya yule Dada pale wizara ya Elimu uhasibu sijui kama kuna wengine.
(ntakuwa tayari kukosolewa katika hili) kama siko sahihi.
swali je hakuna watu wenye asili ya bara walio na uwezo wa kuwa watendaji serikalini katika nafasi zisizo za kisiasa?
6: kidini.
kuna changamoto za kidini.
japo ni kweli naomba kukiri kuwa baadhi ya waanzishaji wa madhehebu hasa ya kikristo zanzibar ni kero na wanachangia kwa kiasi kikubwa umomonyoaji wa maadili..
lakini upande wa pili wa shilingi jambo hili ni kikwazo kwa watu wengi wasio kuwa waislam zanzibar!
7:Umiliki wa ardhi.
sheria za umiliki wa ardhi zanzibar sio rafiki sana ukilinganisha na hizi za bara katika hili wenye ujuzi nalo ni kama wapo wanaweza kulifafanua zaidi. Sina hakika ila najua kuna malalamiko sana kwa wananchi hasa watokao upande wa bara.
Mwisho:
hii ni Nchi yetu sote sisi sote ni raia wa Tanzania ni rai yangu kuwa endapo kuna changamoto zozote ambazo zinaweza kuondolewa basi ni vema zitatuliwe kwa faida ya Wananchi wote
Mungu Ibariki Tanzania.
Uko sahihi ndugu nadhani tuna shida kwenye Muungano ambazo kwa wananchi wa kawaida ni kero sana!

Kwakuwa pote panaitwa tanzania mbona kunawagombea wengi tu toka mikoa tofauti na bara au kwann magufuri ni rais mpaka zanzibar?Huyu jamaa si ni mzanzibar, inakuwa je agombee ubunge huku bara
Mtanganyika ni yupi?Hoja yako namba 5 ni kwamba katiba ya Zanzibar hairuhusu watanganyika kuajiriwa ktk serekali ya Mapinduzi ya Znz labda kwenye ofice za muungano
Na hoja yako namba 7 pia ni vile vile katiba ya Znz hairuhusu mtanganyika kumiliki ardhi ndani ya Znz
Kwanini Dr shein naye Ni Rais.?Kwakuwa pote panaitwa tanzania mbona kunawagombea wengi tu toka mikoa tofauti na bara au kwann magufuri ni rais mpaka zanzibar?
Kwanini Dr shein naye Ni Rais.?
Angalia hio coin ya sh 500.Huyu jamaa si ni mzanzibar, inakuwa je agombee ubunge huku bara
Unajua nn maana ya muungano auKwanini Dr shein naye Ni Rais.?
Shitshimo!Ww kilaza hujitambue, nahisi mwalimu wako alipata tabu sana kukuelimisha wew . Kama mambo madogo tu haya yanakusumbua
Tatizo lenu nyny watanganyika kila kitu mnadhani ni udini wakati katiba inaeleza kila kitu sas iyo hoja ya ukristo kaileta nan apa ?Mtanganyika ni yupi?
Kuna watu wamezaliwa Zanzibar wamesoma Zanzibar na wanaishi Zanzibar! hawa pia hawana haki ya kuajiriwa Zanzibar? Huenda hoja mficho ikawa majina yao ya kikristo. Zaidi ya huo Uzanzibar..
hata hivyo..
ahsante kwa kunijuza pale juu nilikuwa sijui kama ni kwa mujibu wa katiba
Wewe endelea kufuatilia sababuJe sababu zilizopelekea wakasusia uchaguzi mdogo uliopota zimekwisha? Waambie viongozi wao wanawachanganya wapiga kura kwa maamuzi yao ya kukurupuka.