CHADEMA walivyorejesha fomu za ubunge Kinondoni kwa mbwembwe

Mnatafuta kuhalalisha matumizi ya ruzuku kwa mwenyekiti na wateule wake wachache,
Hapo hamna kitu,
Hatutashinda na wacha tupigwe maana tumejitakia
kwa nini tusiendelee kususia?
 
Nyie watu mnatumia Nissan Nyeupe
tapatalk_1516470224857.jpeg
 
Unamfahamu mbunge wa zamani wa Mkuranga aitwaye Hussein Mwinyi ambaye sasa ni mbunge kutokea Zanzibar ?

Mimi huwa si mtu wa kuongea majina mimi ni mtu wa kuongea issues.

Issue ni kwamba mzanzibar ni mtanzania na anaweza kugombea hata Kigoma.

Uwe na akili inayoweza kupanuka mara moja moja.
 
Back
Top Bottom