CHADEMA walinishangaza sana na bado wananishangaza

lendomza

JF-Expert Member
Jun 11, 2016
396
228
CHADEMA walinishangaza sana!!how can you compare Dr slaa versus Lowassa? good comparison was Dr slaa versus Dr Magufuli!!

Bado CHADEMA wananishangaza sana!eti lowassa amewasaidia chadema kupata kura nyingi ,majiji etc this is very wrong!! kwanza walipoteza vitu vingi mpaka sasa!!

simple mathematics hii hapa
1.2005: chama kimoja CHADEMA versus CCM :Mbowe about kura 600,000

2.2010:chama kimoja CHADEMA versus CCM :D Dr Slaa:kura about 2700000

3.2015:vyama 4 (UKAWA) versus CCM pekee. Lowassa about 6 million

kuwa hiyo 6000000:4(viama 4 ukawa)=1500000.
kuwa hiyo kama lowassa angesimama peke yake angepata kura milioni moja na nusu wakati Dr. Slaa alipata 2.7 million!!kuwa maana nyingine Dr. Magufuli alimshinda vibaya Lowassa!!na kama Dr. Slaa angegombea kushindana na Lowassa ,Dr. slaa angemshinda ile mbaya sana!!na Leo Dr. Slaa akirudi chama chochote bado ni tishio kuwa CCM lakini siyo Lowassa!!
 
Lowassa kwenda CDM
Alisaidia sana kwa Ccm,
Kelele zoote zile sio kwa sababu ya lowassa
Zilikuwa mbwembwe za vijana
Has a Wanywa Viroba.
 
Mafuta yanasumbua, na sukar nayo ndo kama vile mabei yapo juu, yan ni mateso, Lumumba wap mnatupeleka
 
Muwe mnaonyesha misimamo yenu nyakati husika. Kuna wakati kulikuwa na maoni sana kuwa wapinzani wajitahidi kuungana ili kutokugawa kura zao, huo ndio wakati ungekuja wewe na maoni yako ya kupinga wasiungane kwa sababu siyo vibaya kuwa na mawazo/mtazamo tofauti.

Sasa angalia, unashangazwa na chama kimoja ila hushangazwi na hesabu zako kama za mganga wa kienyeji! Hivi kweli mkuu, kama umekuwa na uwezo wa kutumia takwimu za kura za CHADEMA tangu 2005, umeshindwa kuwa na takwimu za kura za hivyo vyama vingine vitatu?! Haya tuseme uko sawa hebu eleza NLD na NCCR walipataje hizo kura unazowapa?!

Halafu kuna kitu huwa mnaruka kila mnapojadili ujio wa Lowassa upinzani, kabla ya yeye kutangaza kujitoa CCM, tuliwaona kabisa kwenye tv viongozi kadhaa wa vyama vya upinzani wakimtolea wito aje ajiunge nao. Unaweza kukumbusha walikuwa akina nani? Walishikiwa mitutu wamwalike Lowassa?! Yeye ni binadamu asingeweza kuwa mwanachama wa vyama vyote vinne kwa mara moja. Mlitaka alipohamia awe mwanachama wa chama gani hasa?!
 
Chadema chama cha mafisadi kwa sasa ndiyo maana mambo yao yote kwa sasa lazima yaamuliwe na mafisadi.
 
CHADEMA walinishangaza sana!!how can you compare Dr slaa versus Lowassa? good comparison was Dr slaa versus Dr Magufuli!!

Bado CHADEMA wananishangaza sana!eti lowassa amewasaidia chadema kupata kura nyingi ,majiji etc this is very wrong!! kwanza walipoteza vitu vingi mpaka sasa!!

simple mathematics hii hapa
1.2005: chama kimoja CHADEMA versus CCM :Mbowe about kura 600,000

2.2010:chama kimoja CHADEMA versus CCM :D Dr Slaa:kura about 2700000

3.2015:vyama 4 (UKAWA) versus CCM pekee. Lowassa about 6 million

kuwa hiyo 6000000:4(viama 4 ukawa)=1500000.
kuwa hiyo kama lowassa angesimama peke yake angepata kura milioni moja na nusu wakati Dr. Slaa alipata 2.7 million!!kuwa maana nyingine Dr. Magufuli alimshinda vibaya Lowassa!!na kama Dr. Slaa angegombea kushindana na Lowassa ,Dr. slaa angemshinda ile mbaya sana!!na Leo Dr. Slaa akirudi chama chochote bado ni tishio kuwa CCM lakini siyo Lowassa!!
I agree. Mbowe alipata kura za mkoa fulani Lowassa angeongeza za mkoa jirani. Wao hawafuati hoja wanafuata mtu atokako. Ni jizo hizo alizopata Mrema mwaka ule.
 
Lowassa kwenda CDM
Alisaidia sana kwa Ccm,
Kelele zoote zile sio kwa sababu ya lowassa
Zilikuwa mbwembwe za vijana
Has a Wanywa Viroba.

ImageUploadedByJamiiForums1468220784.633457.jpg
 
Muwe mnaonyesha misimamo yenu nyakati husika. Kuna wakati kulikuwa na maoni sana kuwa wapinzani wajitahidi kuungana ili kutokugawa kura zao, huo ndio wakati ungekuja wewe na maoni yako ya kupinga wasiungane kwa sababu siyo vibaya kuwa na mawazo/mtazamo tofauti.

Sasa angalia, unashangazwa na chama kimoja ila hushangazwi na hesabu zako kama za mganga wa kienyeji! Hivi kweli mkuu, kama umekuwa na uwezo wa kutumia takwimu za kura za CHADEMA tangu 2005, umeshindwa kuwa na takwimu za kura za hivyo vyama vingine vitatu?! Haya tuseme uko sawa hebu eleza NLD na NCCR walipataje hizo kura unazowapa?!

Halafu kuna kitu huwa mnaruka kila mnapojadili ujio wa Lowassa upinzani, kabla ya yeye kutangaza kujitoa CCM, tuliwaona kabisa kwenye tv viongozi kadhaa wa vyama vya upinzani wakimtolea wito aje ajiunge nao. Unaweza kukumbusha walikuwa akina nani? Walishikiwa mitutu wamwalike Lowassa?! Yeye ni binadamu asingeweza kuwa mwanachama wa vyama vyote vinne kwa mara moja. Mlitaka alipohamia awe mwanachama wa chama gani hasa?!
Una karama ya kuongea na watu wajinga. Mimi nilishindwa hata nianzie wapi. Yaani 6000000 anagawanya kwa 4 anabandika jibu ilhali mwanzo alitoa takwimu za CDM peke yake.

Kesho mtu wa ubongo mchache kama huyu unasikia kawa DC, kazi tunayo!
 
Mkuu MMP, inaumiza sana kuona kuwa katika nchi hii kuna watu tena kwenye nafasi muhimu katika ofisi za umma ni waongo na wanafiki hata kuliko shetani. Binafsi sijawahi kuvutiwa na Lowassa kiasi hicho, lakini kama kweli watu wana hasira na ufisadi wanawezaje kuchukuliana na kuridhika na Mwakyembe aliyetamka kwa kinywa chake kuwa kamati yake ilificha mambo ili kuilinda serikali ya kikwete? Chenge je, yuko wapi?! Hawa wanaochukia hivyo ufisadi lakini wako kimya kuhusu Lugumi! Kivuko feki cha Dar-Bagamoyo?! Ufisadi woote uliofanyika nchi hii kwa nini wanakuwa kimya na kubaki kudanganya umma kuwa ufisadi uko upinzani?! Na hata kama uko huko kwa nini wasiwachukulie hatua za haki?!
 
Siasa si hasa ni sayansi ya muendelezo wa mambo wa wanao fanya wanasiasa. Inakutaka uwe na elimu ya siasa kujua uwezo wa wanasiasa. Si wote ndani ya siasa ni wana siasa hasa ktk vyama vya siasa. Wengi ni bumbu wa siasa na aidha mashabiki wa watu ndani ya vyama au vyama vyenyewe kama kufurahishwa na rangi za vyama vyao, nyimbo (TOT), maigizo ktk halaiki na kadharika. Chadema imekuwa ktk siasa muda mrefu, na ktk siasa imesaidia Watanzania kutambua ktk ni muda mrefu kuwa Watanzania kimaendeleo tumekuwa tumemebakia kusimama tu. Na ili ku trig brains za watanzania kujua kuwa Tanzania siyo nchi maskini kama tulivyokuwa tukiaminishwa na ccm (Unaweza kujikumbusha juu ya kamsemo ka watu wa ccm ka kasungura ketu). Chadema iliwaimanisha Watanzania kuwa utajiri upo na tatizo ni jinsi ya kuu- manage, ukakusanya surplus na ukaigawia watu wake kwa usawa. Chadema kwa muda mrefu kiliwaindua Watanzania kuwa ccm ina wenyewe waliowekeza kupindukia ktk ccm Ili miaka nenda rudi kiwe heaven ya wenyewe, watoto wao na vizazi vyao vinavyofuata baada ya wao kufa. Wengine walio wa brand kuwa ni vibao wadhurumiwe tu kupitia rushwa, ufisadi, ubadhirifu, afya mbovu, elimu mbovu, bila maji safi na salama kwa kupigwa na kufugwa na Polisi yao inayo linda wenyewe tu. Katika hivyo wakatengeneza katiba mbovu na kupitisha sheria rukuki kuwalinda ktk malengo yao. Wakaunda demokrasia feki yenye maamuzi yao ambapo kifanyikacho ktk uchaguzi sio kiletwacho kwa kutawala na kushika dola. Watanzania wote tukapumbazika kwa hilo. Watengenezaji wa siasa wa Chadema iliwawia taabu kuvuka kihunzi hiki cha uchaguzi usio chagua vipngozi. Viongozi ikaonekana hawawezi kupatikana kwa kupiga kura. Options zipo nyingi na iliyo bayana ni kupigana lakini Chadema hilo hawakulitaka vinginevyo 2015 zingedundwa. Hii option ya kumchukua Lowassa ilikuwa wakati huo, na ni nzuri hata kwa wakati huu. Chadema ktk imani yao kuwa ccm wote walikuwa panya na sasa upanya wao wanauvutia pumzi kwa uelewa walio upata Watanzania na kupata sauti kuwa wanataka Mabadiliko. Mabadiliko yalikuwa kuondoa CCM na kuweka chama kingine. Chadema walijua Watanzania wanataka hivyo na sio rahisi kulifanya hilo bila mbinu. Mbinu ikawa kuwagawa ccm. Njia ya kuwagawa ni ku-side na yule wengi walikuwa wakimpenda sana. Lowassa sio siri alikuwa na huenda bado ni kipenzi cha wengi ndani ya ccm. Wakati Kikwete anaingia ukumbini wote waliimba Lowassa Lowassa kiasi na Jk kuimba hivyo hivyo. Walio kuwa wote ndani ya ccm bila ubishi ndio walio tufikisha tuliko kwa uovu wao na kwa kujua na ndio walikusudiwa wawatenganishe ili ccm ipate kusambaratika. Hivyo aliyelengwa kuchukuliwa aingie Chadema ni yule aliyekuwa kipenzi cha wana ccm na sifa za uccm wake. Chadema hilo walifanikiwa bali wakaangushwa na ubabe ambao kwa busara usingeripwa kwa ubabe kwa imani ya Watanzania. Chadema ni wabunifu siku nyingine watakuja na option nyingine isipokuwa vita. Zipo nyingi na kwa Chadema watu wengi wapo nyuma yao hata ktk mazingira haya ya Magu kuonekana anakarabati aliyo kuwa ameharibu kabla.
 
Kila Lowasa akiongea lazima CCM wapanic.

mnaogopa nini hasa??
CHADEMA walinishangaza sana!!how can you compare Dr slaa versus Lowassa? good comparison was Dr slaa versus Dr Magufuli!!

Bado CHADEMA wananishangaza sana!eti lowassa amewasaidia chadema kupata kura nyingi ,majiji etc this is very wrong!! kwanza walipoteza vitu vingi mpaka sasa!!

simple mathematics hii hapa
1.2005: chama kimoja CHADEMA versus CCM :Mbowe about kura 600,000

2.2010:chama kimoja CHADEMA versus CCM :D Dr Slaa:kura about 2700000

3.2015:vyama 4 (UKAWA) versus CCM pekee. Lowassa about 6 million

kuwa hiyo 6000000:4(viama 4 ukawa)=1500000.
kuwa hiyo kama lowassa angesimama peke yake angepata kura milioni moja na nusu wakati Dr. Slaa alipata 2.7 million!!kuwa maana nyingine Dr. Magufuli alimshinda vibaya Lowassa!!na kama Dr. Slaa angegombea kushindana na Lowassa ,Dr. slaa angemshinda ile mbaya sana!!na Leo Dr. Slaa akirudi chama chochote bado ni tishio kuwa CCM lakini siyo Lowassa!!

Hivi huko CCM watu wameishiwa kabisa uwezo wa kujenga hoja za maana? Always shits....
 
Back
Top Bottom