CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Kilimanjaro kimelaani vikali tukio la kuchomwa moto gari la diwani wa kata ya Uru Kaskazini (CCM) Evarist Mumburi tukio ambalo liliambatana na kujeruhiwa vibaya kwa diwani huyo
Chadema si chama cha kisiasa ni janga la kitaifa ni chama kinachopandikiza mbegu za chuki kwa wananchi ili waichukie serikali yao, wanapandikiza chuki vyuoni ili wanavyuo wagome,wafanye maandamano ili waichukie serikali yao,alisema kazidi.
WANAVYUO MPOOOO??? JE NI KWELI JAMANI?
HABARI HII NIMEIFUPISHA KWA KUCHUA POINT MUHIMU
UKIITAKA IPO HAPA << CHADEMA WALAUMIWA>>
WANAVYUO MPOOOO??? JE NI KWELI JAMANI?