Chadema wako bize na Zitto kuliko hata M4C

Chilisosi

JF-Expert Member
Oct 19, 2008
3,051
747
Ndugu sanguni.

Kama mjuavyo, siku hizi rais wa chadema anazunguka kigoma kujielesa kwa nini kamtimua Zitto

Hii imedhihirisha kuwa chadema wakichukua nchi watakuwa bize na wanaowaita maadui kuliko kujenga inji


Jitambue
 
Mkuu Chilisosi, Zitto amejitafutia dhahama baada ya kuhoji matumizi ya pesa za ruzuku babu amekasirika sana kwa nini hakumtonya.
 
wewe kweli ni chilisosi haya njoo amerikan chips kinondoni utumike,fikra ndogo fupi nani kakiambia dr anaenda kigoma kitangaza kumngoa mnafki zzk.kama huna cha kichangia kiwa tomato soiurce?
 
Kweli U-CAMERUN ni mbaya sana. Kumbe ndio madhara yake yanakuwa haya. Nenda Lumumba Nepi na Chemba wanakusubiri ukatoe huduma.
 
999715_489976517760801_1475071726_n.jpg
 
wewe kweli ni chilisosi haya njoo amerikan chips kinondoni utumike,fikra ndogo fupi nani kakiambia dr ihyganaenda kigoma kitangaza kumngoa mnafki zzk.kama huna cha kichangia kiwa tomato soiurce?
nasikia siku hizi babu akisema pipoos watu wanasema zittooooo!
 
Ndugu sanguni.

Kama mjuavyo, siku hizi rais wa chadema anazunguka kigoma kujielesa kwa nini kamtimua Zitto

Hii imedhihirisha kuwa chadema wakichukua nchi watakuwa bize na wanaowaita maadui kuliko kujenga inji


Jitambue
.........mkuu naona nyumba ndogo yako mitaa ya london imeamua kupiga picha za utupu

FLORA+HOW+TO+LOOK+SEXY+AT+HOME+AND+ALL+PHOTOS+23.11.2013+046.JPG
 
Back
Top Bottom