Chadema wakishinda Urais 2015 ina maana wakuu wa Wilaya na Mikoa, wote kubadilishwa?

Kuna post moja niliongelea hili wazo ni nyuma sana.

Wakuu wa mikoa na wale wa wilaya waondolewe na nafasi zao zitajazwa na mameya wa miji na madiwani.

Kwa kupata maendeleo ya haraka na uboreshwaji wa ukusanyaji wa mapato na matumizi, mameya wa miji na madiwani itabidi wachaguliwe na wananchi kwa kura.

Halafu mameya watatafuta maofisa watendaji wakuu wenye sifa za utendaji na uchapaji kazi kwenye manispaa na miji hiyo kusimamia maendeleo.

Mkuu Richard, Mameya na madiwani wa miji wanachaguliwa (wote huanza na udiwani) . Hivyo tutakuwa tunaharibu hata zaidi kuweka watu wa chama kwenye kazi ya kiserikali
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom