Uchaguzi 2020 CHADEMA wakipata Wabunge zaidi ya watatu tuwapongeze

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,607
141,429
Kiukweli endapo CHADEMA watabahatika kupata wabunge watatu au zaidi basi watastahili kupongezwa.

Kwa mfano hapa Dar es Salaam nimepita katika viituo vingi vya kupigia kura na kushuhudia CCM ikiwa ina mawakala katika kila chumba cha kupigia kura wakati vyama vya upinzani wakiwemo CHADEMA wana wakala mmoja au wawili.

Hii inaonyesha vyama vya upinzani havioni umuhimu wa mawakala ila siwalaumu yawezekana ni kwa sababu za kiuchumi.

Nipo JNICC tukiendelea kusubiri matokeo kutoka Tume.

Maendeleo hayana vyama!
 
Ahaa sasa hata wakikosa mbunge kule kijijini Wazazi wako Baba na Mama wataacha kuvaa kandambili zilizotoboka

Mambo mengine ni vichekesho

Wakipata wabunge wawili wewe ndie utakuwa tajiri kama Barhresa au Mo Dewji

Mkuu kama wewe na ukoo wako ni choka mbaya ni choka mbaya tu

Jaribu kuwasaidia watoto wa ndugu zako kijijini iwe Dada, Binamu au Mjomba

Yaani badala ya kuwaza umaskini wa ukoo wa akina Baptist John wewe unawaza wabunge wa CHADEMA

Kabla ya ubunge wa chadema kwanini wazazi wako hawakuwa matajiri kama Bahresa au Mo Dewji? Miaka ya 1980 au mwanzoni mwa 1990

Wazazi wako walikuwa wapi achana na story za CHADEMA ,

CHADEMA ni taasi imemfanya hata mzazi wako leo apate lami na taa kwa kuwatisha CCM
 
Kwa kuwa kura yangu ya uRais sikumpa Magufuli, na ubunge sikuwapa CCM, hata wakiiba Mimi najua sitamtambua moyoni mwangu Magufuli Kama Rais wa nchi nzuri ya Tanzania hata mkimtangaza.

Leo nina furaha sana kwa kumchinjilia mbali jiwe.
 
Kila kona ya nchi mawakala wa CHADEMA wamezuiliwa kuingia vituoni alafu wewe unasema hawajaweka mawakala! Yaani CHADEMA wameweza kuweka wagombea na kampeni wamefanya tena ya kufaana alafu washindwe kuweka mawakala! To hell with you.
 
No watatu wengi, upinzani hata ukipata Mbunge 1, anastahili pongezi.
P
😂🤣😂🤣😂😂😂🤣😂😂😂😂😂😂🤣😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣 Waoneeni Huruma Hawa ni ndugu zetu Maana walitegemea mitandao sasa wanaikimbiaa barabarani hawapo sijui wapi Anganiiii ...Tundu Lissu hatarudia Tena kuwadharau watanzaniiii
 
Back
Top Bottom