Chadema wakimbiza mwenge mbeya

Ngomo

JF-Expert Member
Oct 15, 2009
200
95
Baada ya ziara ya chadema mkoani mbeya. Mpango wa kuwasha mwenge umefutika na sasa mwenge utawashwa butiama. Kuna tetesi hapa mwenge hautowashwa hapa kwasababu ya nguvu kubwa ya chadema. Hivyo ni mikoa mingapi itakimbiwa kwa nguvu hii ya cdm. Kumbuka hatakikao cha uwekezaji kilihamishwa arusha na kufanyika dar kwa sababu hii pia. Je tutafika?
 
How much does it cost kukimbiza mwenge Tanzania nzima? What is its value for tax-payers money? why?
 
inabidi chadema wapige kambi butiama hata ya siku moja butiama, tena ikiwezekana hata mama maria nyerere audhurie huo mkutano, then tuone huo mwenge utaamishiwa wapi?
 
Enzi za Mwalimu nadhani kulikuwa na maana ya kukimbiza mwenge, kwa sasa nadhani ni ubadhilifu na matumizi mabovu ya kodi zetu, kwa maana nyingine ccm wananufaika sana kwa kupitia mgongo huu, mbali na pesa kutumika vibaya inasemekana kwamba mikesha ya mwenge pia huchangia maambukizi ya VVU.
 
Back
Top Bottom