CHADEMA wakimbia kivuli cha ZITTO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA wakimbia kivuli cha ZITTO

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by GeniusBrain, Jan 30, 2011.

 1. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Katika kile kinachoonekana kama kukimbia kivuli cha mwanachama wake na naibu katibu mkuu Mh. ZITTO KABWE kwa kukubali kumrudishia cheo chake na naibu wa kiongozi bungeni , CHADEMA yaonekana kabisa kuwa mambo si shwari kama inavyo elezwa kwani kuna mgawanyiko wa waziwazi kati ya wabunge ambao walipendekeza ZITTO avuliwe madaraka yake na Kamati kuu ambayo wameona wabunge walikurupuka kwa uamuzi wao usio makini na wa busara. Hii ina maanisha kabisa kuwa ZITTO bado ana nguvu ndani ya chama na endapo wangekubaliana kumvua cheo chake chama kingesambaratika . Hongera kamati kuu kwa kuliona hilo na hii yaonyesha wabunge wa CHADEMA si makini kwenye maamuzi yao bali wapo kwa kulipiza visasi.
   
 2. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #2
  Jan 30, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,935
  Likes Received: 672
  Trophy Points: 280
  wewe mzenji ..kalale... pumba zako zinaboa kila kukicha.

  crap
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Jan 30, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Ni muhimu kujadili matatizo ya kitaifa zaidi! Zitto Zitto kila siku wazee hamna hoja zenye mashiko? Dowans na kufeli wanafunzi wa shule za kata, kupanda kwa ugumu wa maisha na mgawo wa umeme. Hoja za personalities za watu hazina tija. Waweza onana na Zitto mkanywa naye chai na kumsifia.
   
 4. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #4
  Jan 30, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ona hii , kumbe wa umejiunga leo, karibu JF

  Join Date : Sun Jan 2011
  Posts : 8
  Thanks 1 Thanked 0 Times in 0 Posts

  Rep Power : 0
   
 5. k

  kayumba JF-Expert Member

  #5
  Jan 30, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 654
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Zitto we are watching you!
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Jan 30, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Unaboa mno! wewe ni kujaza crap tu
   
 7. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #7
  Jan 30, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hakuna mwanasiasa makini na mwenye upeo CDM kama Zitto na wasipokuwa makini Zitto atakisambaratisha chama kama haki haito tendeka
   
 8. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #8
  Jan 30, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,935
  Likes Received: 672
  Trophy Points: 280

  ha haaaaa haaaaa angalia... wewe ndio kilaza kweli...hii ni style ya new comer ... angalia wewe una
  Posts : 460
  Thanks: 0

  Thanked 27 Times in 22


  yaani ulivyo selfish na mzenji hauja toa thanks hata moja

  pole sana
   
 9. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #9
  Jan 30, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Acha kuwa mbaguzi wewe, akisifiwa Slaa na Mbowe sawa, ila Zitto unaona si sawa. CDM sera ya ubaguzi itawamaliza
   
 10. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #10
  Jan 30, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Nina wasiwasi na hilo jina la aloanzisha mada kwani liko in the opposite direction na mada anazoanzisha!!!!:twitch:
   
 11. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #11
  Jan 30, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,935
  Likes Received: 672
  Trophy Points: 280

  you are very sure .. Genetic Modified Brain
   
 12. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #12
  Jan 30, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1,158
  Trophy Points: 280
  haka kitu huyo khabithil amal anaejiita genius brain, hata haelewi maana halisi ya code name yake. Mambo ya zito awaachie chadema ye abaki na udini wake kula urojo na kunywa kahawa asubuhi pale mkunazini huku wakiendele kusherekea muafaka wao wa kinafiki.
   
 13. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #13
  Jan 30, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  JF senior Expert Member na JF Member, nani wa kuonewa huruma ?
   
 14. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #14
  Jan 30, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Crap mazee hii ! Ni ajabu wewe umefikiria sana kuweka hizi pumba
   
 15. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #15
  Jan 30, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,935
  Likes Received: 672
  Trophy Points: 280
  hicho ni kilemba cha ukoka

  crap
   
 16. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #16
  Jan 30, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ha ha aaaaa, ndio maana nasema CDM sera ya ubaguzi wa kidini na kikabila itawamaliza. CHADEMAZ = A GROUP OF INSANE PEOPLE IN JUDA. Wewe ni mmoja wapo aisee
   
 17. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #17
  Jan 30, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Pewa na ww basi hicho kilemba mbona hauna
   
 18. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #18
  Jan 30, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,935
  Likes Received: 672
  Trophy Points: 280
  Genetic Modified Brain. hapa JF ninavyo vilemba hivyo... lakini mimi sio crap wala mkurupukaji
   
 19. M

  Mwera JF-Expert Member

  #19
  Jan 30, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani mashabiki wa chadema kubalini kukosolewa,nina iman viongozi wa chadema wapo wenye hekima watafanyia kazi ushaur wowote ule wanaopewa,sio kutaka kusifiwa tu,
   
 20. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #20
  Jan 30, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Duuuu mkuu wewe ni mtupu sana kichwani! Huwezi kuwa nje ya Madrasa al sul wakati wote? Kuna haja gani kuandika uupuuzi huu kwenye jukwaa la great thinkers? ama unaulemavu wa akili?
   
Loading...