CHADEMA, wakati mwingine muwe mnakubali ushauri

Ukiona maneno meeengi kama haya eti ni "USHAURI" ujue ni Uzandiki mkubwa...

Uzuri decision makers wa Chadema sio wajinga unawewa-swing kwa paragraph hovyo kama hivi.....

Ndio maana nawakubali sana CDM....Kuna vichwa wenye kufanya decision making
Kwani umekatazwa nawe kutoa ushauri wako, au vema kabisa kupuuza huu unaoukandia? Andiko hili ni bora kabisa KWA WENYE AKILI na si vilaza waliokwepa umande
 
Kwani umekatazwa nawe kutoa ushauri wako, au vema kabisa kupuuza huu unaoukandia? Andiko hili ni bora kabisa KWA WENYE AKILI na si vilaza waliokwepa umande

Huwezi nikuta natoa ushauri kwa CCM....

Mimi sio mnafiki..naishabikia CDM huwezi nikuta eti najifanya expert wa kumsaidia CCM eti kwa "Ushauri" ,mimi sio mnafiki na dishonest like you CCM cockroaches!

Wewe sio kilaza maana umesoma mpaka wapi?Mpuuzi mkubwa,unadhani UDSM nacho ni chuo au mavi?Nimesoma hapo na nikaenda mbali zaidi,kama unataka njoo DM

CCM mmejaa unafiki,mashikuna nyie!
 
Na nyie CCM muwe mkubaki ushauri kwamba Mwenyekiti wetu awe anagombea nafasi na candidates wengine na si kupitishwa!!
 
Back
Top Bottom