CHADEMA wakata tama Ukonga, hali yao yazidi kuwa mbaya kila kukicha

Deo Meck Mbagi

JF-Expert Member
Apr 19, 2015
360
525
CHADEMA WAKATA TAMA UKONGA, HALI YAO YAZIDI KUWA MBAYA KILA KUKICHA.

  • Wapanga kumteka mgombea wao kupata kura za huruma.
  • Kete ya kuomba kura kutumia udini yashitukiwa, yakwama.
  • Wakazi wa Ukonga wakataa kuletewa mgombea toka Kimara.
  • Wanaomuombea kura wenyewe wakata tama.
Hali ya mgombea ubunge wa Chadema, Bi. Asia Msangi katika jimbo la Ukonga katika uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika mwisho wa wiki, tarehe 16 Septemba yazidi kuwa mbaya kila kukicha baada ya wao kufanya tathmini na kugundua kuwa mgombea wao hakubariki jimboni humo na wapiga kura wa Ukonga hawamjui kwa undani hivyo hawawezi kumuamini na kura zao maana wanafahamu changamoto za jimbo hilo zinahitaji mtu anayelifahamu na aliyeshiriki katika njia mbalimbali katika kuzitatua.

Kutokana na wao kunusa harufu ya kushindwa vibaya tayari wamejaribu mbinu mbalimbali za kutafuta kura za huruma na kutafuta sababu za kuhalalisha kushindwa kama ilivyo kawaida yao. Moja ya mbinu mbaya kabisa waliyopanga ni kumteka mgombea wao na kuutangazia umma kuwa mgombea wao ametekwa hivyo wapate kura za huruma, jambo hili linapaswa liangaliwe vyema maana Chadema wana tabia ya kutekana, kufichana, hata kuuana ili waseme ni serikali imefanya hivyo. Tahadhari hii pia ichukuliwe kwa umakini na mgombea Bi. Asia Msangi maana yawezekana hakijui vyema chama hicho.

Majuzi aliyekuwa mlinzi binafsi wa Mwenyekiti wa Chadema Taifa alikutwa amenyongwa katika nyumba ya wageni na chama hicho wala mwenyekiti Freeman Mbowe hawakutoa taarifa zozote na wadadisi wanasema mlinzi huyo alikuwa na siri nyingi hususani jinsi zoezi la kumshambulia Tundu Lissu lilivyofanyika, hivyo alitaka kutoa siri hizo kutokana na kutolipwa stahiki zake. Lakini pia tunakumbuka jinsi aliyekuwa msaidizi wa Freeman Mbowe, Ben Saanane alivyopotea na bosi wake hakutoa taarifa yoyote zaidi ya miezi miwili, hivyo tunaojua michezo ya chadema tunamshauri Asia achukue tahadhari kubwa ya usalama wake maana chama hicho kina viongozi wasio na utu ambao wako tayari hata kutoa uhai wa watu ili wapate hatua za kisiasa (political mileage).

Asia Msangi ni mkristo kama alivyo Halima Mdee, baada ya kugundua kura zao ni kiduchu katika uchaguzi huu mdogo chadema waliamua kuunda timu ya watu wachache na wakaanza kumzungusha Asia kwa waumini wa dini ya kiislamu haswa wakinamama na kuwadanganya kuwa tumpe kura huyu ni muislamu mwenzetu. Kwanza kabisa katika nchi yetu hatuombi kura kwa misingi ya kidini, kikabila, wala kwa aina yoyote ya ubaguzi, hii haikubaliki katika nchi yetu. Lakini inapotokea viongozi kwenda mbali zaidi na kuamua kuwadanganya wapiga kura kwa nia ya kupata kura unagundua chama hicho hakijitambui, kama kiko tayari kuwadanganya wapiga kura ili kupata kura, je ni mangapi kimewadanganya toka kampeni zianze hadi sasa? Baada ya utapeli huu kujulikana kura zao zimepungua maradufu katika jamii hiyo.

Kingine ambacho kinawagharimu Chadema ni kitendo cha kumleta mgombea kutoka Kimara, wilaya na jimbo jingine kugombea Ukonga wakati wana wagombea wazuri akina Ndugu Nyahende na wengine ambao ni wakazi katika jimbo hilo na ambao wanajua changamoto za jimbo hilo. Kufuatia hali hiyo chadema waliamua kumpangia mgombea wao Chumba na sebule maeneo ya Kitunda ili kuwahadaa wapiga kura kuwa Asia ni mkazi wa jimbo hilo lakini hiyo bado haijasaidia. Timu inayomuombea kura Asia ikiongozwa na Benson Kigaila na Makongoro Mahanga hivi sasa imekata tama kabisa hivyo hivi sasa wanasugua vichwa kutafuta sababu ya kuhalalisha kushindwa kwao, hivyo tutegemee sababu mbalimbali za kushindwa kwao watakazoanza kuzitoa kuanzia leo hadi matokeo yatakapotoka.

Imeandikwa na:

Deo Meck

Ukonga.
 
Ndio maana spika amewataka mawaziri na wabunge kuja kujibu hoja za wapinzani kwenye mitandao.. Maana wameona nyie wa buku saba Fc hamna mlifanyalo.. Mnakula hela za bure, na bado kazi inawashinda..
 
Watu wajinga kama hawa ni wa kuwapuuza tu.kaelimu kake ka diploma nako anavokatumia hata kumfikiria kumpa kuwa mtunza hazina wa tawi la ccm huwezi.Deo utalialia hadi lini wenzio wanalamba teuzi tu wewe kazi kudeki vyoo vya lumumba.?
 
"Majuzi aliyekuwa mlinzi binafsi wa Mwenyekiti wa Chadema Taifa alikutwa amenyongwa katika nyumba ya wageni na chama hicho wala mwenyekiti Freeman Mbowe hawakutoa taarifa zozote na wadadisi wanasema mlinzi huyo alikuwa na siri nyingi hususani jinsi zoezi la kumshambulia Tundu Lissu lilivyofanyika, hivyo alitaka kutoa siri hizo kutokana na kutolipwa stahiki zake. Lakini pia tunakumbuka jinsi aliyekuwa msaidizi wa Freeman Mbowe, Ben Saanane alivyopotea na bosi wake hakutoa taarifa yoyote zaidi ya miezi miwili, hivyo tunaojua michezo ya chadema tunamshauri Asia achukue tahadhari kubwa ya usalama wake maana chama hicho kina viongozi wasio na utu ambao wako tayari hata kutoa uhai wa watu ili wapate hatua za kisiasa (political mileage)".

Imagine hii kauli ingetolewa na mtu wa upinzani akimtuhumu mwenyekiti wa CCM au kada yeyote maarufu wa CCM...Angeishia kuwa kuwa mahabusu.

Hii ndio double standard ya vyombo vyetu, huyu mtu anaweza saidia polisi kujua kilichomkuta Saanane, Lissu, na mlinzi wa Mbowe.
 
CHADEMA WAKATA TAMA UKONGA, HALI YAO YAZIDI KUWA MBAYA KILA KUKICHA.

  • Wapanga kumteka mgombea wao kupata kura za huruma.
  • Kete ya kuomba kura kutumia udini yashitukiwa, yakwama.
  • Wakazi wa Ukonga wakataa kuletewa mgombea toka Kimara.
  • Wanaomuombea kura wenyewe wakata tama.
Hali ya mgombea ubunge wa Chadema, Bi. Asia Msangi katika jimbo la Ukonga katika uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika mwisho wa wiki, tarehe 16 Septemba yazidi kuwa mbaya kila kukicha baada ya wao kufanya tathmini na kugundua kuwa mgombea wao hakubariki jimboni humo na wapiga kura wa Ukonga hawamjui kwa undani hivyo hawawezi kumuamini na kura zao maana wanafahamu changamoto za jimbo hilo zinahitaji mtu anayelifahamu na aliyeshiriki katika njia mbalimbali katika kuzitatua.

Kutokana na wao kunusa harufu ya kushindwa vibaya tayari wamejaribu mbinu mbalimbali za kutafuta kura za huruma na kutafuta sababu za kuhalalisha kushindwa kama ilivyo kawaida yao. Moja ya mbinu mbaya kabisa waliyopanga ni kumteka mgombea wao na kuutangazia umma kuwa mgombea wao ametekwa hivyo wapate kura za huruma, jambo hili linapaswa liangaliwe vyema maana Chadema wana tabia ya kutekana, kufichana, hata kuuana ili waseme ni serikali imefanya hivyo. Tahadhari hii pia ichukuliwe kwa umakini na mgombea Bi. Asia Msangi maana yawezekana hakijui vyema chama hicho.

Majuzi aliyekuwa mlinzi binafsi wa Mwenyekiti wa Chadema Taifa alikutwa amenyongwa katika nyumba ya wageni na chama hicho wala mwenyekiti Freeman Mbowe hawakutoa taarifa zozote na wadadisi wanasema mlinzi huyo alikuwa na siri nyingi hususani jinsi zoezi la kumshambulia Tundu Lissu lilivyofanyika, hivyo alitaka kutoa siri hizo kutokana na kutolipwa stahiki zake. Lakini pia tunakumbuka jinsi aliyekuwa msaidizi wa Freeman Mbowe, Ben Saanane alivyopotea na bosi wake hakutoa taarifa yoyote zaidi ya miezi miwili, hivyo tunaojua michezo ya chadema tunamshauri Asia achukue tahadhari kubwa ya usalama wake maana chama hicho kina viongozi wasio na utu ambao wako tayari hata kutoa uhai wa watu ili wapate hatua za kisiasa (political mileage).

Asia Msangi ni mkristo kama alivyo Halima Mdee, baada ya kugundua kura zao ni kiduchu katika uchaguzi huu mdogo chadema waliamua kuunda timu ya watu wachache na wakaanza kumzungusha Asia kwa waumini wa dini ya kiislamu haswa wakinamama na kuwadanganya kuwa tumpe kura huyu ni muislamu mwenzetu. Kwanza kabisa katika nchi yetu hatuombi kura kwa misingi ya kidini, kikabila, wala kwa aina yoyote ya ubaguzi, hii haikubaliki katika nchi yetu. Lakini inapotokea viongozi kwenda mbali zaidi na kuamua kuwadanganya wapiga kura kwa nia ya kupata kura unagundua chama hicho hakijitambui, kama kiko tayari kuwadanganya wapiga kura ili kupata kura, je ni mangapi kimewadanganya toka kampeni zianze hadi sasa? Baada ya utapeli huu kujulikana kura zao zimepungua maradufu katika jamii hiyo.

Kingine ambacho kinawagharimu Chadema ni kitendo cha kumleta mgombea kutoka Kimara, wilaya na jimbo jingine kugombea Ukonga wakati wana wagombea wazuri akina Ndugu Nyahende na wengine ambao ni wakazi katika jimbo hilo na ambao wanajua changamoto za jimbo hilo. Kufuatia hali hiyo chadema waliamua kumpangia mgombea wao Chumba na sebule maeneo ya Kitunda ili kuwahadaa wapiga kura kuwa Asia ni mkazi wa jimbo hilo lakini hiyo bado haijasaidia. Timu inayomuombea kura Asia ikiongozwa na Benson Kigaila na Makongoro Mahanga hivi sasa imekata tama kabisa hivyo hivi sasa wanasugua vichwa kutafuta sababu ya kuhalalisha kushindwa kwao, hivyo tutegemee sababu mbalimbali za kushindwa kwao watakazoanza kuzitoa kuanzia leo hadi matokeo yatakapotoka.

Imeandikwa na:

Deo Meck

Ukonga.
Kwenye ile buku saba utakayolipwa ntakuongezea buku tatu ili iwe kumi kamili.
 
Hawa nao teuzi zao
Kinondoni mwalim kutoka zanzibar
Huyu nae kumbe kimara
Hamna watu wa ukonga!!!
Mengine ni kujitakia wao
 
Kwanini muda uliotumia kuandika insha hiyo usingeandika barua ya kuwaeleza wazazi wako unachofanya huko ukonga?
 
Samahanini wakuu kwa ku Quote uzi wote kama ulivyo kwa urefu wake.
Nilitaka tu kumkumbusha mheshimiwa mtarajiwa kuwa amesahau kuweka namba yake ya simu.
 
Musiba tumekusikia
 
Kama sio ugolo umeandika nini au unazungumzia ukonga ya chato
 
Na wewe umeandika nini sasa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom