CHADEMA: Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi wapewe ajira za kudumu

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
4,052
2,000
CHADEMA wametaka wajumbe wanaoteuliwa kuwa katika Tume ya Uchaguzi waangaliwe historia yao ili kujua weledi wao kabla ya kuteuliwa kuwa wajumbe.

Kama ilivyo kwa majaji wa Mahakama Kuu ambao hawawezi kuondolewa muda wowote kabla ya kipindi chao kuisha, wametaka wajumbe wa Tume ya Uchaguzi nao wawe na ajira ya kudumu.

Wamesema hiyo itasaidia wao kufanya maamuzi bila hofu ya kuondolewa katika nafasi zao. Hayo ni kati ya mambo yatakayopelekea Tume Huru ya Uchaguzi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom